Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
Great Thinkers, Umofia kwenu!
Kwa miaka mingi kumekuwepo malalamiko kwamba Tanzania haijawahi kufikia viwango vya kweli vya demokrasia ya ushindani. Tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992, mjadala umekuwa ule ule: je, mfumo wetu wa kisiasa umejengwa kwa namna inayoruhusu ushindani wa...
Matatizo ya nchi yetu ni sawa na jipu lililolelewa na muda wake wa kupasuka umefika na sasa halikwepeki kutumbuliwa.
Inasikitisha sana, kuona viongozi wetu wakiendekeza propaganda na wakati ukweli unaujua na wanajua wazi Dunia inajua na wananchi sote tunajua,
Kweli kwa dhama hizi, na katika...
Umoja wa Mataifa kupitia baraza lake la usalama utume mchunguzi huru na ukweli ufahamike. Maana haya hayakuwa mauaji dhidi ya waandamanaji bali ni mauaji dhidi ya raia wasio na hatia.
Jana kuna familia wamefanya ibada ya mazishi kwa kutumia picha ya mpendwa wao ambae hajaonekana tangu oktoba...
Kwa yale yaliyodhihirika kufanywa na jeshi la Polisi Tanzania, kuanzia utekaji, mauaji ya maelfu ya wananchi, na Ufukiaji wa miili ya watu waliowaua;
Hatua ya kwanza, ni vema Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, Jumuiya ya Ulaya, Umoja wa Afrika na SADC, wakatangaza rasmi kuwa kinachoitwa...
Huyu bibi anawafanya Watanganyika ni viumbe wasio na akili. Eti anathubutu kutamka kuwa ataunda kamati ya uchunguzi dhidi ya Mauaji yaliyofanywa kuhusiana na uchaguzi! Hii ni kejeli, matusi na dharau kubwa kwa Watanganyika.
1. Wachunguzi binafsi wametamka wazi kuwa waliowaua Watanganyika, ni...
Oktoba 31, 2025
Tumeshtushwa na vifo na majeraha yaliyotokea katika maandamano yanayoendelea yanayohusu uchaguzi nchini Tanzania.
Ripoti za kuaminika tulizopokea zinaonyesha kuwa angalau watu 10 waliuawa Dar es Salaam, Shinyanga na Morogoro wakati vikosi vya usalama vilitumia silaha za moto na...
Hawa ni viongozi wa kijeshi Africa waliotwaa madaraka kutoka tawala za kiraia zilizoharibika na kujaa udhalimu kisha kuyaweka mataifa yao katika mkondo sahihi wa mageuzi, haki na utawala bora.
1. Jerry Rawlings- Ghana
2. Olusegun Obasanjo- Nigeria
3. Thomas Sankara- Burkinafaso
4. Meles...
Waziri Mkuu wa India, Modi, ameukubali mpango wa Trump wa kumaliza vita Gaza, na kusema kuwa mpango huo umegusa mambo yote kwa kina, na hivyo wahusika wote wanatakiwa kuuunga mkono kwani mpango huo unalenga kuleta amani, usalama na maendeleo kwa wapalestina, waisrael na Asia Magharibi yote...
Rais wa Colombia, Gustavo Petro, amekosoa vikali Marekani baada ya kufutiwa viza kwa sababu ya msimamo wake dhidi ya vita vya Gaza.
Gustavo alionekana mjini Newyork akiungana na waandamaji kupinga mauaji yanayofanywa na Israeli ,Pia amenukuliwa akikosoa Marekani na Israeli kwenye ushirika wao...
Baraza Kuu la Usalama la Kitaifa la Iran siku ya Jumamosi lilisema kuwa litasitisha ushirikiano na Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) baada ya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kupiga kura ya kupinga kuondolewa kabisa vikwazo dhidi ya Tehran.
Katika taarifa iliyochapishwa na...
Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa wito wa kusitishwa mara moja kwa mapigano katika jimbo la Darfur nchini Sudan baada ya shambulio baya la ndege isiyo na rubani siku ya Ijumaa kuwauwa waumini zaidi ya 70 huko El-Fasher, na kueleza hofu kubwa kuhusu hali inayozidi kuzorota.
"Mapigano lazima...
Wanakumbi.
Mataifa ya Kiarabu yameamua kuunda kikosi cha kijeshi cha kwa mtindo wa NATO.
Nchi za Mashariki ya Kati zinaungana kupigana na Israel pindi atakaposhambulia nchi yeyote ya Mashariki ya Kati naona kumeanza kuchamgamka sasa Netayahu kamchokoza tajri alikuwa anadhani Qatar ni kama...
Jameni Israel hunifurahisha hadi naumwa, waliikalisha Iran na kuteka anga lao lote na kupiga popote walipokua wanataka, juzi wamechezea kwenye anga ya Qatar bila hata ndege moja kudunguliwa, tena wamesafiri zaidi ya kilomita 1,000
Yaani madude yanapaa kwenye anga lenu bila kugunduliwa...
Kutokana na figisu za Trump na Netanyahu, UN imesema isiwe taabu.
Tunaondoka,tunahamia Geneva
Chanzo ni kumkatalia member wa UN Mahmud Abbas wa Palestina kuingia Marekani kwenye kikao cha General Assembly cha mwaka huu 2025
---------------
The United Nations General Assembly will convene its...
BREAKING: Viongozi wa Palestina WAPIGWA MARUFUKU kuingia Marekani.
Katibu wa Jimbo Rubio anazuia visa vyao kwa sababu ya uhusiano wao wa kigaidi na "kulipa-Fadhila kwa Magaidi" pesa za damu. Marekani HAITAWAPA thawabu wale wanaotukuza mauaji.
Tangu wiki hii kuanza na Ufaransa kutoa tamko la kuja kuitambua Palestina mwezi Septemba imekuwa ni habari kubwa bila sababu.
Mataifa mengine matatu ambayo ni UK na Canada nayo yametia nia hiyo muda huo ambao kwa mwendo wa vifo vya njaa wapalestina watakuwa wamebaki wachache sana.
Habari hizo...
China inaendelea kuongoza katika masuala ya teknolojia ya akili mnemba (AI) ndani ya nchi za BRICS ikiwa na 47.2% ya tasnifu zilizotajwa zaidi za AI na kushika nafasi ya juu katika kuweka hataza za AI kimataifa. Ukiungwa mkono na zaidi ya dola bilioni 150 za ufadhili wa serikali, mkakati wa AI...
Kuondolewa kwa chudai ni kutokana na EU na UK kutaka age verification kwa watumiaji, hivyo wamepiga kufuli au censorship kwa mahudhui yote ya ngono.
Majanja wa Ulaya na Uingereza wamekuwa waraibu wa porno kwenye X (twitter)
Kwa wale wapenzi wa video za kirumi au pilau, watasha wanaita adult...
China imeanza maandalizi ya mradi mkubwa wa ujenzi wa bwawa la kuzalisha umeme kwenye ukingo wa mashariki wa jimbo la Tibet, katika mto Yarlung Tsangpo. Bwawa hili linatarajiwa kuwa kubwa zaidi duniani, likigharimu takriban dola za Kimarekani bilioni 170, sawa na takriban TZS trilioni 443.5...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.