Mods, tafadhali naomba isomeke MASHAMBULIZI, na siyo MASHULIZI.
Siku zote nchi inapokuwa katika shida ya amani, chanzo huwa ni watawala waovu wenye kiburi. Israel na Marekani, wanajua kuwa:
1. Wahanga wakubwa wa kwanza wa utawala katili wa Ayatollah, ni wananchi wa kawaida wa Iran.
2. Wananchi...
Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran, Esmail Baghaei, leo alitaka mkutano wa dharura wa Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ili kuzuia kile ambacho Iran inakitaja kama mashambulizi ya anga yanayoendelea ya Israeli na Marekani. Amesema " Huu utakuwa mwisho wa taasisi za kimataifa."
Vyanzo...
Saudi Arabia imeitoa onyo kwa Iran kufuatia mashambulizi ya makombora dhidi ya mataifa ya Ghuba ya Uarabuni ikiwa ni pamoja na UAE na Qatar, ikiwa inasema mashambulizi hayo ni ukiukaji mkubwa wa usalama na wa sheria za kimataifa na ikionyesha ushirikiano kamili na nchi zilizoathirika.
Ni jambo la kusikitisha kuona mataifa mawili ya Kiislamu yakiingia kwenye mapigano, hasa katika mwezi mtukufu kama Ramadhani. Uhusiano kati ya Pakistan na Afghanistan umekuwa wa mashaka kwa miongo mingi, lakini hivi karibuni hali imechafuka zaidi kutokana na sababu kadhaa za kiusalama na...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo, Chama cha Demokrasia na Maendeleo, kimetangaza kuwa Umoja wa Mataifa kupitia Kikundi Kazi chake kimetoa uamuzi unaoitaka Tanzania kumuachia huru mara moja na kulipa fidia Mwenyekiti wa chama hicho, Tundu Lissu.
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa umma...
Inadaiwa umoja wa mataifa umeitaka mamlaka ya Tanzania imuachie Lissu mara moja kutokana na habari zinazosambazwa na BBC, DW
Vyombo hivi vimekuwa viki ripoti habari zote ya kinacho endelea mahakamani na inaonesha kwamba kesi ni ya uongo hali ambayo imechochea shinikizo la kimatifa kutaka Lissu...
Tanzania to the World!!!!!
Tunasonga mbele, Tanzania imepongezwa kwa kutuo Jumla ya Wanajeshi na Polisi 1,500 kwa ajili ya kuilinda amani katika mataifa mbalimbali Duniani.
Hali inatisha sana, Watanzania ni watu wanaojidharau sana sikuwahi kufahamu hili tangu mwanzo
Hawajiamini kabisa hasa wanapojilinganisha na watu mashuhuri duniani
Hawaoni kama wao wana thamani kubwa wala hawaoni thamani ya Taifa lao
Mtanzania anaposema anamfahamu Barack Obama basi watakataa...
Mashirika ya Ujasusi ya Mataifa ya Rwanda, Kenya, Marekani na Uingereza sasa yanapambana kuyafanya Mataifa yao kama maeneo ya msingi ya kukamata Uchumi wa kikanda na Kidunia.
Kwenye vyombo mbalimbali vya habari sasahivi, habari zinazotrend ni namna wakuu wa mashirika ya kujasusi ya Mataifa ya...
Angalia picha ya Mke wa Boby wine akiwa amekaa kwenye sakafu huku akiwa chini ya ulinzi wa polisi. Hii ni kinyume na haki za kibanadamu na utu.
Kwa nini Wanamchi wa Afrika mashariki wanafanywa wajinga?
Mataifa yao kugeuzwa nchi za kisultani?
Mapinduzi ya kifikra na hata kimwili yanahitajika...
Mwaka 2024 Canada ikishinikizwa na Marekani iliweka ushuru wa 100% kwa magari ya umeme ya China kama ilivyofanya Marekani.
The table has turned, hivi karibuni Waziri Mkuu wa Canada Mark Carney alikuwa na ziara nchini China. Katika ziara hiyo alifungua milango ya kibiashara kati ya mataifa hayo...
Changamoto inayoisumbua Tanzania ni kulega kwa misimamo ya kusimamia Sheria zake na si vinginevyo
Tanzania ijikite zaidi kwenye kusimamia Sheria zake itafanikiwa kuliko hata Mataifa makubwa
Tanzania ina Sheria nzuri sana za kukuza Uchumi wa Taifa lake lakini bado haijaweka mkazo kwenye...
Yes habari za masiku ndugu zangu na poleni nyote Kwa kadhia tuliyoipata kwa kusimamishwa Kwa muda Kwa platform yetu pendwa ila hope now tupo sawa.
Happy new year pia nawatakiwa kila lakheri katika huu mwaka mpya wa 2026.
Binafsi nimekaa nikafanya utafiti wa historia mbali mbali na kutafakari...
Huyu mchambuzi ana media nzuri na mpaka Azam wanamtumia na BBC.
Ila swala la IRAN kama mda mwengine unaona ni la nchi yake kutaka kutoa dukuduku lake.
Ila umefikisha ujumbe japo kama makonda kupewa uwaziri ,Ndugu yetu tumekusoma sasa.
Kumekuwa na upotoshaji mkubwa sana kuhusu China kutoingilia kati pale mataifa ambayo yamekuwa na uhusiano wa karibu na China yanapovamiwa.
Wengine wamefikia hatua ya kusema China ni waoga na sio wa kuwaamini.
Gumzo lilianza Marekani na washirika wake walipovamia Syria na Iran na sasa...
Marekani imekiuaka sheria za kimataifa.
Mkataba wa Montevideo juu ya uhalali wa dola huru kutoingiliwa umekiukwa.
Hakuna aliyepinga kwa kukemea chochote.
TAFSIRI YA KAULI ZA KATIBU MKUU WA UMOJA WA MATAIFA: TANZANIA KAMA NURU YA AMANI, UMOJA NA USALAMA DUNIANI
Na GULATONE MASIGA
Kauli ya Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Bw. António Guterres, wakati akipokea ujumbe maalum wa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan uliowasilishwa kwake na Waziri wa Mambo ya...
Picha anayoonyesha Kombo baada ya kumbabatiza Katiba Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayosema ni ofisini kwa Katibu Mkuu, siyo kweli. HAIKUWA OFISINI kwa maana nyingi, hakuna, Mkutano rasmi wa Kombo na Katibu Mkuu uliofanyika hili alipokea document tu
Mazingira ya ofisi za Katibu Mkuu wa UN ni...
Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
Great Thinkers, Umofia kwenu!
Kwa miaka mingi kumekuwepo malalamiko kwamba Tanzania haijawahi kufikia viwango vya kweli vya demokrasia ya ushindani. Tangu mfumo wa vyama vingi urejeshwe mwaka 1992, mjadala umekuwa ule ule: je, mfumo wetu wa kisiasa umejengwa kwa namna inayoruhusu ushindani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.