Mtabe wa mathematics na masomo ya science kwa secondary nipo hapa

Maths Teacher

Member
Jul 24, 2021
6
3
Habari za mda huu wadau wa JamiiForums,
Mimi ni Kijana. Naishi Dar es Salaam. Natafuta wanafunzi wa kuwafundisha tuition mfumo wa TABLE TEACHING.

MASOMO YA KUFUNDISHA
O-level : Physics, Chemistry, na Basic Mathematics.
A-level : Advanced Mathematics pekee

OMBI
Ewe mdau hususan wazazi/walezi kama utakuwa unahitaji mwalimu, naomba tuwasiliane au kusambaza ujumbe huu kwa unaodhani watahitaji.

OFA
Ili kujenga uaminifu wako kwangu juu ya uwezo wangu wa kufundisha ,, nitamfundisha mtoto wako bure kwa siku tatu kisha utamuuliza kama ninafaa au laa.. Kama nitafaa basi tutazungumza. Kama sifai basi heri utatafuta mwalimu mwingine.

Nicheki PM tuyajenge
 
Hivi hili neno special school ambayo tunaitafsiri kwa kiswahili kua ni kipaji maalum ni kweli? au tunapotoshana kuanzia kwa viongozi wetu.
 
Hivi hili neno special school ambayo tunaitafsiri kwa kiswahili kua ni kipaji maalum ni kweli? au tunapotoshana kuanzia kwa viongozi wetu.
Wewe unauwezo au vigezo vya kusoma kibaha ,mzumbe ,iliboru ..

Huko ndio special ,mengine yaache kama yalivo
 
Wewe unauwezo au vigezo vya kusoma kibaha ,mzumbe ,iliboru ..

Huko ndio special ,mengine yaache kama yalivo
Mkuu sina vigezo ila nina kigezo cha kusoma shule maalum nikimaanisha special school. Kwa taarifa yako mimi ni mzuri sana kwenye uchoraji hivyo nahitaji shule maalum kwa ajili ya kutoa elimu bora kwa upande wa uchoraji.

Hii neno special school ni sawa na wale wanaosema magari yaendao haraka mnasema magari ya mwendo kasi wakati still neno kasi haitumiki kwenye hayo magari.
 
Kwanini mkuu ? Unataka tuziite jina gani ?
Kwangu mimi tungeziita shule bora; neno special imetokana na specialization.Sasa unawachukuaje watoto wenye specialization mbalimbali unawaweka pamoja alafu hiyo shule unaliita special school?
Ingekua special kwa minajili ya somo au masomo flani ingekua sawa.
Kwa upotoshaji zaidi neno special school wakalitafsiri kua shule ya vipaji maalum...angalia neo ''maalum'' inatumika wapi na kwa wakati gani.
 
Ingia barabarani uihoji serikali kuu
 
Kila la heri. Huwa najisikia vibaya sana kuona watabe hawapewi fursa kubwa na serikali.. wewe ni jembe
 
Back
Top Bottom