Kwa nini mapenzi ya vyuoni huisha baada ya kumaliza masomo?

Twyn

JF-Expert Member
Dec 19, 2020
998
545
Hivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..?

Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule ikiisha tuu mkirud majumbani mambo yanaharibika taratibu mpaka mna~brake up.

1632133819991.jpeg

brake up=break up
umepatia elimu yako ya astashahada/stashahada/shahada chuo gani mkuu?
 
Mimi nilidate nae siku tatu tuu tukaachana.

Nikirudi chuo nitatafuta mwingine wa kudumu nae hadi ndoa.

Mapenzi ni uzushi mtupu
 
Boom linawachanganya watu aisee
Ndo linapelekea ku-fake maisha na ujuaji mwingi
 
Hivi kwanini mahusiano ya vyuoni i.e college/university huaga hayadumu..?

Unakuta mmekutana mumeelewana kabisa na mnaweza mkaishi miaka yote mtakayokua chuo kama wapenzi/wachumba ILA shule ikiisha tuu mkirud majumbani mambo yanaharibika taratibu mpaka mna~brake up.

shule
Ikiisha we mzee mbnhueleweki
 
Back
Top Bottom