Salaam,Shalom!!
(Mithali 19:17)
Amhurumiaye maskini, humkopesha BWANA.
Mungu anachukia sana Umaskini, lakini anawapenda sana maskini,
Mungu ndiye hufukarisha, na ndiye hutajirisha!!
Maskini wa Leo ni tajiri kesho, maana Mungu ndiye huwapandisha maskini na kuwaketisha pamoja na wakuu na...