maskini

Maskini is a union council of the Lower Dir District in the Khyber Pakhtunkhwa province of Pakistan.
Lower Dir District has 37 union councils with a population of 797,852, according to the 1998 census report. The population growth rate of the Lower Dir District was 3.42% per annum between the 1981 and 1998 censuses.

View More On Wikipedia.org
  1. Kanyawela

    JamiiForums Tanzania Nchi maskini na kulialia

    Sasa hivi nchi nyingi maskini hasa za kiafrika ziko katika kulia na kulalamikia hatua ya Marekani kuondoa ruzuku na misaada mbalimbali inayogharamiwa na tax payers wa Marekani. Ninajiuliza hivi kwa nini tunakaa kulialia badala ya kutafuta njia ya kuweza kujiendesha na kujisaidia bila kutegemea...
  2. kingphisher

    JamiiForums Tanzania Uhalisia wa madeni ya taifa letu na urejeshwaji wake kupita wananchi maskini kwa kukandamizwa na kodi za ajabu, rushwa na unyonyaji

    wananchi masikini wanahangaika ila mabeberu wapo bize kununua magari ya milioni mia nne ++ wakiendelea kula rushwa na kurundika madeni nchini, mwisho wa siku wanaachia ngazi na madeni yakushiba
  3. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Katiba mpya sio Katiba ya CHADEMA au ya fulani ni Katiba ya Watanzania maskini

    Watu wanaposikia hoja ya katiba mpya wanazani ni katiba ya flani sijui ni ya chadema hapana ni katiba ya watanzania wote itakayo waweka kwenye viwango vingine vikubwa vya juu kidemokrasia, haki, uhuru na maendeleo endelevu kwahiyo Kuna haja ya kupata katiba mpya.
  4. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Watanzania wengi maskini wanafia ndani kwa kukosa matibabu

    Jana nilitoka nje ya wilaya niliyopo kwa ajili ya jambo flan flan, sasa wakati nikiwa huko ugenini mwenyeji wangu alichelewa kunifuata baada ya kumsubiri kwa muda alikuja. Basi akasema amechelewa kuna jirani yake anaumwa sana yupo nyumbani basi wakati tunaongea kumbe alisahau simu huko...
  5. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Kwa aina ya uwekezaji unaofanyika bado Afrika itaendelea kuwa maskini

    Huu uzi ningeshauandika kitambo ila wakati nataka kuandika ndo likatokea janga la moto huko Marekani. Wataalamu wameshaongea kuhusu sababu za moto na kutaja kuwa chanzo ni moto wa mwituni ulioenea kwenye makazi ya watu. Ni janga la asili. Wakati uchunguzi ukiendelea ndo wamejitokeza baadhi ya...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kabendera, Kitabu pekee hakina nguvu ya kumfanyia Mtu Character Assassination kwenye nchi Maskini hasa za Afrika

    Habari Wakuu! January hii imeanza na mambo mengi lakini Mpaka sasa kwa humu JF kuna mambo Makuu mawili yaliyovuta usikivu wa wengi, Jambo la Kwanza ni Uchaguzi wa CHADEMA, na lile la Pili, ni Kitabu cha Kabendera. Kwanza nikiri, Sina hicho kitabu, hivyo sijakisoma. Lakini kupitia utangulizi...
  7. Hyrax

    JamiiForums Tanzania Betting na michezo yote ya kubahatisha ni mfumo maalumu uliobuniwa ili kuwandaa watu kuwa maskini

    Mbali na dhambi kadha wa kadha zinazozalishwa baada ya mtu kuingia katika mfumo huu jambo kubwa na baya zaidi kwa mtu huyu ni kwamba mfumo utamdai UMASKINI in long term hata kama atafanikiwa kubutua hata bilioni 1+ bado mfumo utamdai awe MASKINI Kama sio uchumi kuporomoka basi atabaki na pesa...
  8. kwisha

    JamiiForums Tanzania Manabii wamekuwa wengi mpaka sasa inakera

    Manabii wamekuwa wengi mpaka unajiuliza Mungu gani uyu ambaye anaonyesha manabii wake habari tofauti tofauti. Mara uyu anakuja na ili. Uyu naye anakuja na ili tofauti na la yule wakwanza God , GOD, GOD, GOD. Na wakibahatisha jambo fulani tu ndo kwisha habari zenu Kuna mmoja uko youtube...
  9. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Make Kilimo Great Again: Tunahitaji Movement ya Vijana kurudi Vijijini, maana hii miji inazaa kizazi maskini

    Kila ninapofikiria taswira ya mkulima, mara nyingi namwona mtu aliyechoka, akiwa na mavazi yaliyochakaa. Hii inatokana na jinsi kilimo kimekuwa kikichukuliwa kama kazi ya watu wa kipato cha chini. Hata matangazo ya pembejeo za kilimo mara nyingi huwahusisha watu wenye lafudhi nzito za vijijini...
  10. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Maskini nyama wataila kwenye sherehe na misibani tu. Safi sana karibu tutafika

    Ni heri ukose vyote lakini usikose akili , maskini anapumbazwa na vitu vidogo vidogo tu maana akili yake haiwezi kutazama hata umbali wa hekari 5 mbele. Maskini anasifia wema wa mbunge kwakuwa aliwahi kusaidiwa sh. 20000 ya viatu vya shule vya mtoto wake ili akanze kidato cha 1 kwenye shule...
  11. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Leo ni siku ya familia na kufurahi na maskini

    Kwa sasa maisha ni magumu mno,vipato ni vidogo na matumizi ni makubwa sana.Kinachotakiwa ni kuacha tamaa na uvumilivu mkubwa sana,ama wewe na mkeo au wewe na mmeo,au kwa mabachela,bila hivyo kuangamia ni rahisi sana
  12. chakii

    JamiiForums Tanzania CHADEMA imetajirisha wengi huku Lisu akizidi kuwa maskini akipigania misingi ya chama

    Wakuu.... Kati ya watu waliopata hasara pale CHADEMA Lisu anaongoza , Kwanza alihatarisha maisha yake kwa kupigania misingi ya Chama. Kuna pesa chafu zinazoingia CHADEMA Ili kuwaziba mdomo watu kama kina Lisu lakini Lisu yeye pesa hizo hazitaki na hazijawahi kuingia mfukoni kwake, mwisho wa...
  13. Damaso

    JamiiForums Tanzania Maskini hana aibu, kimbia ukiona hivi

    Siku ya kwanza unamuomba mtoke chakula cha jioni ili kufahamiana (dinner date), anakuomba nauli na hela ya kusuka, mara hana viatu, nusu saa kabla amekuomba umnunulie salio. Achana na hayo matatizo ndugu unakaribisha umaskini. Maskini huwa hawana aibu rafiki yangu, muache atafute kwanza shughuli...
  14. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Hakuna utajiri wa kishetani, Kama kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina, Kwanini watu maskini wasiutumie kuondokana na umaskini wao?

    Waafrika wengi hasa watanzania wamekuwa wakiamini kwa muda mrefu kwamba kuna utajiri wa kishetani, kichawi na kishirikina. Cha kushangaza hali zao za kiuchumi ziko vilevile miaka nenda rudi. Kama kweli kwa hakika unajua na kuamini kuna utajiri wa kishetani, kichawi au kishirikina. Kwa nini...
  15. Narumu yetu

    JamiiForums Tanzania Utafiti: Watu milioni 17.5 ni maskini nchini Ujerumani(DW)

    Utafiti uliochapishwa Jumamosi, umeonyesha kuwa watu wengi zaidi nchini Ujerumani, wanaokadiriwa kufikia milioni 17.5 wanaishi katika umaskini kuliko ilivyodhaniwa hapo awali. Hali hiyo imetokana na viwango vya juu vya kodi na gharama zinazohusiana na kodi za nyumba. Kulingana na data za Ofisi...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Matajiri wana mfumo wa kuvuta hela na maskini wana mfumo wa kuvuta majungu

    MATAJIRI WANA MFUMO WA KUVUTA HELA NA MASKINI WANA MFUMO WA KUVUTA MAJUNGU. Maskini anajua wapi apate umbea wa moto yaani kama unataka umbea kwake utaupata ila tajiri anajua wapi kuna mchongo wa pesa yaani anajua nani amtafute apate mchongo wa pesa. Hapa nazungumzia maskini wa asili na...
  17. Mwalimu wa field

    JamiiForums Tanzania Bora kufia jela kuliko kufa maskini

    #usiue #usikabe #usipore
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Kijana maskini unataka nyota yako ing'ae kisiasa na wakubwa wakuchague. Hivi ndivyo utakavyofanya

    KIJANA MASKINI UNATAKA NYOTA YAKO ING'AE KISIASA NA WAKUBWA WAKUCHAGUE. HIVI NDIVYO UTAKAVYOFANYA. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Kuna vijana maelfu kwa maelfu wapo kwenye siasa miaka na Miaka lakini hawatambuliki, hawajulikani, hawaonekani na zaidi wanaishia kuwa vibaraka vya wakubwa...
  19. Infropreneur

    JamiiForums Tanzania Karma Haipo, Karma ni dhana ya kimaskini kuwafariji maskini

    Karma Doesn't exist. Karma ni dhana ya kimaskini inayowapa matumaini uchwara watu maskini kujifariji na matatizo yao dhidi ya watesi wao. Mababu zetu waliteswa sana na kusulubishwa ipasavyo wakati wa utumwa na ukoloni, Lakini hiyo karma haijawahi kufanya, haijafanya na haitakaa ifanye chochote...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Aliyeridhika chanzo kimoja na asiye na chanzo wote ni maskini tena mwenye chanzo ni maskini zaidi anayejidanganya kuwa ni tajiri

    Umaskini una tafasiri pana pia una nyanja nyingi kujieleza ila umaskini wa kiuchumi huelezwa zaidi kupitia vyanzo vyako vya pesa na uhuru upatao wa kiuchumi. Moja ya kitu ambacho wengi hujidanganya ni kujiona tajiri kwa kuwa na chanzo kimoja huku ukimcheka asiye na chanzo kabisa kuwa ni maskini...
Back
Top Bottom