Doto Mashaka Biteko (born December 30, 1978) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Bukombe in 2015.He was appointed as the Minister of Minerals on 9 January 2019.
Sehemu ya kwanza (01)
Binafsi niweke wazi, mimi si kada au mfuasi wa chama chochote kile cha kisiasa , ila huwa sikubaliani na utawala huu usiofaa wa ccm maana ni kama wamejimilikisha nchi na wanafanya chochote kile wanachojisikia .
Tamani langu siku moja tuwe na nchi ambayo inajali haki...
Pasipo shaka yoyote, Samia Suluhu Hassan kawaondlea mashaka waTanzania ni nani mhusika katika matukio mbalimbali ya hovyo yaliyotokea humu nchini tongia aingie madarakani.
Pamoja na kwamba akina Mafwele na kikosi chake hawawezi kujivua lawama za kutekeleza unyama wa kuteka, kupoteza na kuua...
Mambo si mambooooo!!
Vijana wadogo lakini Wenye Akili kubwaaaa ,Akili nyiiingi !!.
Toeni Pesa Bank.
Nunueni Vyakula Kwa ajili ya Wanafamilia.
Waandamani tuonane Field !!
Kuna jambo sijaelewa hapa kinachoendelea tanganyika.Naona wanzabari wakianza kurudisha kwao na wengine kuuza mali kwa bei kubwa kwa watanganyika.
Kabla ya uchaguzi alivyoshika madaraka kama kuna ajenda ilikuwa kisiri maana uwekezaji wa wanzanzibari umekuwa wa kuepeleka kwao sio utanganyikani...
Ukiingia kwenye website ya flightradar, kulionekana ndege yetu , mali ya wananchi (air Tanzania) imeruka mapema asubuhi, lakini hivi sasa Kuna nyingine iko scheduled kuruka saa nane mchana..
MAADUI WANATOROKA kupitia airport, yawezekana jeshi limewaruhusu watoroke!!.. AIRPORT PASALIMIWE
Ninahisi mke wangu ni aina ya wanawake ambao upo nae kwenye ndoa lakini na yeye anajenga nyumba yake kwa Siri
Niliwahi kumwambia kwamba tufungue biashara na yeye ndie aisimamie biashara yetu lakini alikataa na kusema kwamba anataka nimfungulie biashara yake mwenyewe na sio ya familia yaani...
Intelijensia ya vyombo vya ulinzi na usalama vinanipa mashaka.
Polepole yupo zake Ununio siku zote wao hata hawakujua!!
NB:
Tafadhali mfikisheni mahakamani, msimuhukumu nyie
Kuna usemi "Dunia imejaa Werevu wenye Mashaka na Wapumbavu wenye kujiamini sana"
Uzoefu unaonyesha kwamba watu wenye akili nyingi mara nyingi wana shaka, wakati wasio na maarifa mengi huwa na imani kubwa na uthubutu.
Maarufu kama "Dunning-Kruger Effect," ambapo wapumbavu huamini sana bila...
Awamu ya 5 ilikuwa na comedy sana.
Kwenye hoja yake ya kumshauri aache kugombea Urais pamoja na Salum Mwalimu wa ACT na Luhaga Mpina wa CHAUMA maana yake ni kwamba Samia akafanya udikteta kumminya Lissu mpinzani wa kweli kabisa ili akaokote Urais kwa vitawi vidogo vya CCM kama ACT na CHAUMA...
Ni uvivu tu wa kufikiri na kutambua kuwa KUAMINI kitu ni mashaka badala yake ni KUJUA ni kujua kitu.
Waafrika wengi wamepotoshwa kuwa kuna kumwamini yesu na muhamadi ambao ni njia ya kwenda kwa Mungu.
Inakuaje uamini kitu ambacho hukijui iwapo tunaamini kuna kufa kwa sababu tunajua watu...
THE CIVIC UNITED FRONT(CUF- Chama Cha Wananchi-Cuf
CUF- Chama Cha Wananchi imepata ushindi kwenye Kesi iliyofunguliwa na ACT- Wazalendo ya kudai Ofisi ya CUF Wilaya ya Kilwa kwamba ni mali yao waliyopewa na Seleman Bungara (BWEGE).
Mahakama jana Julai 30,2025 imetupilia madai hayo (Madai Na...
1.Kifo ni kifo tu.
2.Hayo madini tembo hawali kayachimbeni ila kitalu C msikiguse.
3.Bandari ni maji tu watu awahami nayo leteni watu wakabidhini waiendeshe.
4.Utekaji ni drama za wapinzani.
5.Katiba ni kijitabu tu.
6.Kula urefu wa kamba yako ila usivimbewe.
Ongezea kauli za Rais Samia...
Inaonekana sababu CHAUMMA wamekuwa “kimya” ni kwamba hawajakuwa na shughuli za kampeni au matukio makubwa ya vyombo vya habari hivi karibuni. Katika miezi ya hivi karibuni:
Chamsha taarifa tu kuhusu uteuzi wa safu ya uongozi wao (wakati huu kumekuwa na uteuzi wa kaimu Mwenyekiti) .
Pia...
Kwa mujibu wa Ma engineer wazuri wa ujenzi wa barabara duniani, barabara bora yenye viwango vya uhakika inayoweza kudumu kwa muda mrefu inapaswa kujengwa kwa viwango hivi;
Kinachonipa hofu ni namna ujenzi wa barabara zetu nchi nzima unavyofanyika. Nyingi hazijengwi kwa ubora huu na ndo mana...
Wakuu afya njema iwe nanyi.
Nina swali kwenu, mfano una mashaka au wasiwasi na usalama wa chakula cha sherehe fulani kama vile harusi au msiba nikiwa na maana ya labda kimefanyiwa ulozi au mavitu fulani ili kuchukua faida fulani kwa walaji.
Nini cha kufanya kwa haraka haraka hapo endapo kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.