Hiki kifo cha Chivayo, kinanipa mashaka

Hiki kifo cha Chivayo, kinanipa mashaka

Expensive life

JF-Expert Member
Joined
May 2, 2020
Posts
4,051
Reaction score
12,894
Wakuu,
Isijekuwa huyu mwamba kajichimbia mahali kuwahadaa hawa wakuu wa baadhi ya nchi alizokuwa anaonekana nao.

Katika nchi zote alizokuwa anazitembelea na kukutana na marais wa hizo nchi, haijawahi kuwekwa wazi, ni nini hasa huwa anakifuata

Kenya raia walihoji, hakuna majibu,
Tanzania, south Africa na nchi zingine raia walihoji pia, hakuna majibu ya moja kwa moja kuwa, nini hasa hukifuata.

Napata walakini na hiki kifo, baada ya ajali kutokea, miili ilienda kuopolewa siku inayofuata.🤔

Vichwa vya yeye na mkewe havipo, nawaza, je! Kama hawa marais washirika wake kama walikuwa wanampa mapesa ameamua kuwatapeli kwa kushirikiana na rais wa Zimbabwe? Kisha yeye kujichimbia kwenye hilo hilo jumba lake? Nawaza.
 
Chopa mbili zilianza safari, moja ikafika salama.
Mwamba yupo duniani hajafa,
 
Kuna viwango vya kumiliki mali ukivifikia huwezi kuwaza kuigiza kifo hata angekuwa na kesi gani. Mtu ana donate land cruiser hardtop zero kilometer 10 za ambulance kwa serikali, awaze kuigiza amefariki!?, yule alikuwa na back up ya raisi wa nchi yake, angeogopa nini mpaka aigize amekufa!?,sema wafuasi wake hawaamini amewatoka ndo wanaanzisha hizi story.
 
Yeap . Mimi naona kafa tu kama watu wengine wanavyokufa .. kuna mentality fulani watu wanayo kwamba ukiwa na mali na pesa haufi kizembezembe ..shida ndio inapoanzia hapo
 
Wakuu,
Isijekuwa huyu mwamba kajichimbia mahali kuwahadaa hawa wakuu wa baadhi ya nchi alizokuwa anaonekana nao.

Katika nchi zote alizokuwa anazitembelea na kukutana na marais wa hizo nchi, haijawahi kuwekwa wazi, ni nini hasa huwa anakifuata

Kenya raia walihoji, hakuna majibu,
Tanzania, south Africa na nchi zingine raia walihoji pia, hakuna majibu ya moja kwa moja kuwa, nini hasa hukifuata.

Napata walakini na hiki kifo, baada ya ajali kutokea, miili ilienda kuopolewa siku inayofuata.🤔

Vichwa vya yeye na mkewe havipo, nawaza, je! Kama hawa marais washirika wake kama walikuwa wanampa mapesa ameamua kuwatapeli kwa kushirikiana na rais wa Zimbabwe? Kisha yeye kujichimbia kwenye hilo hilo jumba lake? Nawaza.
Amini Amekwendaa Udongoni....🙏✍️
 
Matajiri wengi wakubwa wakubwa maisha Yao yanaamriwa ardhi ya kwanza kule walipozipatia mali zao Kwa mikataba fulani!!

Hakuna mwenye mali nyingi bila kuwa na kina kwenye ulimwengu wa roho!!aidha huko juu mbingu ya Saba au chini ardhi ya kwanza kwenye Moshi moshi wa ukungu hakuna jua wala mwanga wa kueleweka plus ardhi kavu kama majivu na damu ndio kinywaji Chao kikuu!!!

Walio deep wananielewa!
 
Back
Top Bottom