Kariakoo derby 10.10.2026 ipo? Kuna mashaka

Kariakoo derby 10.10.2026 ipo? Kuna mashaka

mugah di matheo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2018
Posts
6,342
Reaction score
12,472
Habari za muda huu wadau

Napenda kuuliza wataalamu wa mambo derby ya jumamosi ipo kwelii?? Simba ambao ni wenyeji hadi muda huu hawajatangaza viingilio halafu promo ni ndogo sio kama miaka yote na timu mgeni yaani yanga wao wapo kimya na hapo ni bado siku tatu,,je derby ipo kwelii au washaahirisha??tunaomba maoni

NB.TFF Nako hawajatoa majina ya waamuzi
 
Unataka utangaziwe na nani wakati ratiba unaijua?, yanga unataka wafanyeje?. Hili wanalpfanya yanga ni matokeo ya alichofanya simba huko nyuma... Kila mmoja apromote mechi yake.
Mbona hata simba Hana amsha amsha tulizozizoea?
 
Habari za muda huu wadau

Napenda kuuliza wataalamu wa mambo derby ya jumamosi ipo kwelii?? Simba ambao ni wenyeji hadi muda huu hawajatangaza viingilio halafu promo ni ndogo sio kama miaka yote na timu mgeni yaani yanga wao wapo kimya na hapo ni bado siku tatu,,je derby ipo kwelii au washaahirisha??tunaomba maoni

NB.TFF Nako hawajatoa majina ya waamuzi
Tff wamesema ingieni kwenye mfumo mkate tiketi na kuhusu hamasa yanga wameamua kukaa kimya baada ya wa wachezaji wao kutukanwa na mashabiki wa simba hivyo naye simba kakosa hamasa.
 
Japo Simba ndio walianzisha mtindo wa kukataa kufanya promotion lakini mashabiki wao wana utamaduni wa kwenda/wanapenda kwenda utamaduni uwanjani hata wasipohamasishwa. Uwanja utajaa hata bila promotion
Simba na yanga toka zamani walikuwa wanacheza bila prom9, wanaojifanya wanapiga promo wanatafuta umaarufu kupitia derby
 
Back
Top Bottom