Waziri Gwajima: Marufuku kuwauzia kadi za kliniki kina mama wajawazito

MPUNGA MMOJA

JF-Expert Member
May 30, 2015
304
401
Waziri wa Afya Dkt Gwajima amepiga marufuku kina Mama Wajawazito, hakuna utaratibu huo.

Awali kadi zilikua zikiuzwa sh 5000/= mpka 20,000/= na baadhi ya vituo vya kliniki ilifika sh 50,000/=.
 
Watakuwa wanazinunua wenyewe kwenye madili yao ya kubambikiza watoto, acha biashara iendelee...
 
Kandi za clinic za serikali zimeandikwa "kadi hii haiuzwi" hao wanao uza ni akina nani? Binafsi ama hukohuko serikalini..!?
 
Back
Top Bottom