mariam ditopile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R

    Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

    Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World. Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa...
  2. B

    Ditopile afuturisha Dodoma, wamuombea Rais Samia

    Katika Muendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Dodoma Mhe. Mariam Ditopile ameaandaa Iftari na Dua Maalum ya Watoto Yatima na Wajane kuiombea Nchi na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan. Hafla hiyo ya Iftari imefanyika...
  3. J

    Mariam Ditopile amlipua Lema, amtaka ajitokeze kuomba radhi

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Dodoma Mhe Mariam Ditopile amemtaka aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Godbless Lema ajitokeze aombe radhi kutokana na kauli yake aliyoitoa kuhusu Vicoba ambayo ni yakuwadhihaki wanawake. Katiba hotuba...
  4. CM 1774858

    Bungeni: Mariam Ditopile Makamu M/kiti Viwanda, Biashara, Kilimo & Mifugo kuukabili mfumuko wa bei ya Vyakula nchini

    HATIMAYE MHE MARIAM DITOPILE AMECHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO. ====== Mbunge wa Wanawake kupitia Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa Mariam Ditopile Mzuzuri amechaguliwa leo Februari 10, 2023 kushika nafasi ya Makamu Mwenyekiti wa...
Back
Top Bottom