ditopile

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mariamu Ditopile anatumwa na nani?

    Sote tunajua kuwa Mhe.Mariamu Ditopile ni Mbunge wa viti maalumu Mkoa wa Dodoma. Kilichonisukuma kuandika uzi huu ni nguvu kubwa anayotumia kusaka ubunge Jimbo la Kondoa Mjini,kwa kweli anacheza rafu mbaya sana Kuna maswali mengi ya kujiuliza kwani anatumia pesa nyingi Sana kutoa misaada...
  2. R

    Mbunge Mariam Ditopile: Wakili Mwabukusi akemewe, ataleta machafuko katika nchi yetu

    Hili limetokea baada ya Wakili Mwabukusi kutoa kauli mbalimbali kuhusu bandari ikiwemo kusema Watanzania wasimuamini Waziri Mkuuu kwani ni muongo, na kwenda kufungua kesi ya kuishtaki Serikali ya Tanzania kuingia Mkataba wa Bandari na kampuni wa DP World. Mariam amesema Wakili Mwabukusi amekuwa...
  3. Replica

    Leo nimekumbuka kesi ya Ukiwaona Ditopile Mzuzuri, ilipelekea mahabusu kugoma kwenda mahakamani siku tano Dar wakidai dhamana yake ifutwe

    Katika suala lililoitikisa fani ya sheria na utoaji haki ni tukio la miaka 17 iliyopita kutokana na mlolongo wa matukio yaliyojiri baada ya kufunguliwa mashitaka ya mauaji kwa Mkuu wa Mkoa wa Tabora wa wakati huo, Ukiwaona Ditople Mzuzuri baada kumpiga risasi dereva wa daladala, Hassan Mbonde...
  4. A

    Ditopile, The saint or a sinner?

    Ditopile- The saint or a sinner? Unajua hapa watu wengi wamekataa tusimjadili Ditopile eti kwa kuwa tayari ameshakufa. Lakini watu hao hao wanaokataza Ditopile asijadiliwe, wanamjadili Hayati Mwalimu Nyerere kwa undani wote kama vile si marehemu. Sasa nashauri Hayati Ditopile naye ajadiliwe- Is...
Back
Top Bottom