marekani

  1. JamiiForums Tanzania Raia wa Marekani Wanapenda kuvaa nguo Zinazofanana na Sare za Jeshi, Pia wanaweka Bendera ya Taifa Nyumbani

    Naamini kati ya majeshi 6 bora duniani ambapo jeshi letu (JWTZ) ni la 6, naamini kwenye ma 5 yajuu jeshi la Marekani litakuwepo. Sasa kwanini raia wa Marekani wanavaa nguo zinazofanana na jeshi na hawachukuliwi hatua? Wanashindwaje kudhibiti hili jambo? Au wao hawapo kwenye orodha ya majeshi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Toleo jipya la simu janja ya Huawei ladhihirisha maendeleo ya teknolojia ya mawasiliano ya China licha ya vikwazo vya Marekani

    Hivi karibuni, kampuni kubwa ya mawasiliano na teknolojia ya China, Huawei, ilifanya mauzo ya awali ya simu yake mpya ya kisasa (smartphone) aina ya Huawei Mate 60 Pro, hatua iliyozusha mjadala mkubwa katika jamii ya Wachina, ikiwa ni tofauti na hali inavyokuwa wakati wa kuzindua bidhaa mpya...
  3. JamiiForums Tanzania Scholarship zote hizi hapa ushindwe wewe tu

    1. Singapore International Graduate Award (SINGA) https://opportunityportal.info/singapore-government-singa-scholarship/ 2. Deakin University Scholarship https://opportunityportal.info/deakin-university-scholarship-2023/ 3. Boston University Scholarships...
  4. JamiiForums Tanzania Watu 70,000 wazingirwa na matope Marekani,wako hatarini kufa

    Kundi kubwa la watu wako hatarini kufa huko jimbo la Nevada nchini Marekani baada ya kuzingirwa na matope mazito kwenye eneo walilokwenda kushiriki sherehe za kila mwaka za kumchoma mtu "Burning man". Eneo kikawaida huwa ni vumbi kali lakini mwaka huu wakati watu wako katikati ya sherehe hizo...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yazishtukia Urusi na Korea Kaskazini, yadai zina mazungumzo ya siri

    Ikulu ya White House ya Marekani, imesema kuwa Urusi inaendelea na mazungumzo ya siri na Korea Kaskazini ili kupata risasi na nyenzo nyingine za kivita dhidi ya Ukraine. Mtandao wa BBC umeripoti kuwa msemaji wa usalama wa taifa hilo, John Kirby, amesema kuwa pamoja na vifaa vya kijeshi, Moscow...
  6. JamiiForums Tanzania Pendekezo: Tuombe Nchi ya Marekani Ituletee Watu 100 kuja kuongoza Nchi yetu

    Maendeleo hayana ubaguzi, kwakuwa ndani ya miaka zaidi ya 60 tumeshindwa kufanya mapinduzi kwenye sekta hata 1 niombe kwa heshima na taadhima tuiombe nchi ya Marekani itupatie vichwa 100 vitusaidie kutengeneza mfumo utakaoleta matokeo haraka na kutengeneza katiba mpya yenye tija. Kwanza hao...
  7. JamiiForums Tanzania Wamarekani weusi wanaokuja Tanzania wanalalamika sana tunawabagua, maisha magumu, wanarudi Marekani pesa yote imekata, Shida ipo kwao sio kwetu ?

    ukiingia Youtube sikuhizi kuna wamarekani weusi wana ajenda yao ya go back to Africa, yaani kurudi Afrika, wanakuja nchi za Afrika ikiwemo Tanzania lakini wanafeli maisha wakifika huku, kinachofuata huwa ni kuandaa video za malalamiko kwamba tunawabagua, maisha magumu, n.k. Mimi kwa mtazamo...
  8. JamiiForums Tanzania Dunia bila ya Ukiranja wa Marekani itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana

    Huu ndiyo ukweli hata kama ni mchungu. Siku Urusi au Uchina, au Iran mojawapo ikawa ndiyo inasimamia maslahi ya ulimwengu wetu huu, dunia itageuka kuwa uwanja wa kuchinjana na mwenye nguvu mpishe apite.
  9. JamiiForums Tanzania Kama ilishindwa EU ndiyo BRICS itaweza kupambana na Marekani?

    Kuna watu ni waja kwenye medani hii ya kimataifa, ngoja tuwakumbushe kidogo. Nchi za ulaya ziliungana ziwe na mfumo mmoja wa kiuchumi Ili kushindana na Marekani. Leo BRICS wanaungana Kwa lengo hilo hilo. Swali ni je fupa lililowashinda wajuvi wa Ulaya wasauzi wataliweza?
  10. JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani: Demokrasia inabidi iangalie mazingira ya nchi

    Katika mkutano wa wadau wa Demokrasia ulioandaliwa na TCD, Balozi wa Marekani Nchini Tanzania, Michael Battle amesema demokrasia sio lazima ifanane kwa kila nchi, lazima kila demokrasia izingatie mazingira yake. Amesema demokrasia ya Tanzania, inabidi izingatie mazingira ya Tanzania, ifanane na...
  11. JamiiForums Tanzania Unaweza kupata Tsh. bilioni 12.5 ukitoa taarifa za waliolipua Ubalozi wa Marekani mwaka 1998

    Miaka 25 baadaye, tunakumbuka milipuko ya kutisha ya mabomu katika balozi za Marekani nchini Kenya na Tanzania. Tunaheshimu na kuwakumbuka watu 213 waliopoteza maisha Agosti 7, 1998, na tunaapa kuwafikisha wahusika mbele ya sheria. Tufahamishe habari yako; unaweza kustahiki tuzo. Ooh...
  12. JamiiForums Tanzania Haji Manara ndiyo kaenda Marekani kwa mara ya kwanza nini?

    Wanasema mtu akitoka kijijini akaja mjini kwa mara ya kwanza basi kitu cha kwanza lazima aagize soda na mkate. Na mtu kutoka mkoani akifika Dar kwa mara ya kwanza lazima aende Coco Beach halafu apite Manzese darajani kupiga picha akiwa kwenye daraja.. This is true of Haji in the USA, akifika...
  13. JamiiForums Tanzania Harakati za Ukombozi na utetezi wa mtu mweusi huko Marekani zilifanyika Kanisani. CCM acheni kupindisha Mjadala wa Bandari

    Kamwe huwezi kuwazuia Viongozi wa dini kukemea maovu hasa pale serikali inapokuwa na moyo mgumu na usio kuwa na huruma kwa wanchi wake. Kilichofanywa na kanisa Katoliki ni kutimiza wajibu wao wa kichungaji na hakuna tatizo lolote. Kanisa halijaanza leo kuwakalipia wanasiasa wa hovyo. Leo hii...
  14. JamiiForums Tanzania JKCI kushiriki Kongamano la 8 la Dunia la wataalam wa magonjwa ya moyo kwa watoto nchini Marekani

    Madaktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto watano kutoka Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) kushiriki Kongamano la nane la dunia la watoa huduma za matibabu ya magonjwa ya moyo kwa watoto linalofanyika nchini Marekani. Kongamano hilo linatarajiwa kuanza tarehe 28 agosti hadi 3 septemba...
  15. JamiiForums Tanzania Waziri Wa Urusi Aikimbia Nchi Yake Na Kwenda Kuwa Dereva Wa Malori Marekani

    Ni maajabu ya Karne Kwa Waziri kuacha kazi yake ya uwaziri toka nchi kubwa, superpower ,na kwenda kuwa dereva wa Malori 🤔 ..... https://www.theguardian.com/us-news/2023/aug/18/one-big-adventure-the-russian-minister-who-fled-the-draft-to-drive-trucks-in-the-us
  16. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yavuruga usalama wa kijamii duniani kwa kuuzia nchi nyingine silaha

    Katika miaka ya hivi majuzi, mauaji ya kufyatua risasi yamezidi kuwa ugonjwa sugu wa kijamii nchini Marekani. Wakati huo huo, Marekani inasafirisha maafa haya kwa nchi nyingine duniani kupitia kuziuzia silaha, na kusababisha tishio kubwa kwa usalama wa kijamii duniani. Shirika la Habari la...
  17. JamiiForums Tanzania TOP 10: Tanzania ni kati ya Nchi 10 za Afrika zinazoongoza kwa kupokea Misaada kutoka Marekani

    Takwimu za World Population Review kwa kipindi cha takriban miaka 5 Nchi za Afrika pekee zinakadiriwa kupokea 32% ya misaada ya Kifedha kutoka Marekani, 31% ni Nchi za Mashariki ya Kati na 25% katika Nchi za Asia. Nchi 5 za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ni kati ya Nchi 10 Barani Afrika...
  18. JamiiForums Tanzania Ufaransa imekasirishwa na mwenendo wa Marekani kuhusu Niger

    Gazeti la kila siku la Ufaransa 'Le Figaro' liliripoti ya kwamba Marekani "imefanya kinyume kabisa na kile tulichofikiri wangefanya. Paris inahofia kwamba Washington inaweza kufikia makubaliano na serikali ya kijeshi ya Niger nyuma ya Ufaransa,wasiwasi umetanda ya kwamba Kuna uwezekano wa...
  19. JamiiForums Tanzania Miradi ya Marekani ni sawa na kuhonga vigogo hakuna kitu kusaidia maendeleo

    Nimekaa hapa naona TBC marekani eti wametoa bilioni 70 mradi wa mazingira kuhifadhi chimpanzee wa Gombe. Namuona yule mama mzungu wa chimpanzee. Eti ndio msaada wa Marekani. Tena balozi kasema wazi misaada yao ni kusaidia maslahi ya Marekani. Kama kawaida ya misaada ya wamarekani hela...
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania huwa wana "feel at home" mara tu baada ya kuingia USA?

    Sababu kuu inaweza kuwa nini wadau? how comes mtu upo kwenye "strange land" but still you feel at home. Hata ' home sickness' hakuna! Mimi sababu ninazo zihisi ni 2, mosi ;kwa sababu mhusika anakuwa tayari yupo Marekani kiakili (mentally) kwa muda mrefu so anapo fika Marekani physically...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…