marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani watoa donge la Dolar milion kumi kupata taarifa za Hashim Finyan Rahim al-Saraji!!

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani inatoa zawadi ya hadi dola milioni 10 kwa taarifa kuhusu Hashim Finyan Rahim al-Saraji, anayejulikana pia kama Abu Ala al-Walai, kiongozi na Katibu Mkuu wa kundi la Iraq linaloungwa mkono na Iran, Kataib Sayyid al-Shuhada.
  2. JamiiForums Tanzania Marekani yarupia macho njia ya baharini ya Bahari Nyekundu ya Eritrea

    Mlango-Bahari wa Hormuz umefungwa kutokana na vita kati ya Marekani, Israel na Iran, na jamii ya kimataifa imeanza kutafuta njia mbadala baharini. Hivi karibuni Marekani inafanya mawasiliano ya kidiplomasia na Eritrea, ambayo ni nchi muhimu ya njia za meli za Bahari Nyekundu. Kabla ya hapo...
  3. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aagiza boat za Iran zilizoko Mlango bahari wa Hormuz zizamishwe!!

    Baada ya boat za Iran kuonekana zinateka meli na zingine kuonekana kutega mabomu kwenye Mlango bahari wa Hormuz, Rais wa Marekani Donald Trump ameliagiza jeshi la majini na la anga kuzizamisha boat zote zinazofanya uhalifu kwenye mlango bahari wa Hormuz!!
  4. JamiiForums Tanzania Milango nusu ya vyoo vya umma Marekani inahitaji ujasiri sana kwa watumiaji

    Hii milango ya katika vyoo vya umma huwa inashangaza sana, unakuwa unajisaidia huku mtu mwingine kutoka nje anaweza kukuona akitaka na kusikia kila kitu unachofanya Hivi vyoo ukiwa na tumbo la kuhara lile la vuvuzela au tarumbeta ni shughuli pevu, inabidi ukimaliza usubirie kuhakikisha hakuna...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Marekani anachezewa hivi na Irani? Kweli hakuna marefu yasio na mwisho

    Iran kagoma kabisa kuendeshwa na kuamrishwa na Trump. Anataka haki kamili na sio vitisho. Amegoma kwenda Karachi kuhudhuria mazungumzo ambayo marekani anamwakilisha Isreal. Marekani anataka Iran na silaha yoyote huku yeye na Isreal wao wamiliki silaha. Iran asiwe na mshirika lkn wao katka...
  6. L

    JamiiForums Tanzania Vita vilivyosababishwa na Marekani vimeipa hasara Afrika

    Wakati makombora ya jeshi la Marekani yalipochana anga la Iran mwishoni mwa Februari, watu wa Afrika labda walikuwa hawaujui kwa undani zaidi mlango bahari wa Hormuz. Hata hivyo, wamejua haraka madhara ya vita hii – kupitia kupanda kwa bei ya mafuta, upungufu wa mbolea, na vyakula vinavyozidi...
  7. JamiiForums Tanzania China yatoa onyo la mwisho kwa Marekani

    Wanaukumbi. "China imezingatia kukamatwa kinyume cha sheria kwa meli ya mizigo ya raia inayosafiri kutoka China hadi Iran na Marekani. Turuhusu tuwe wazi kabisa: Marekani inaweza kufanya mambo mengi duniani. Lakini kushambulia, kushikilia, au kusumbua meli zinazosafiri kutoka China, au...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Marekani inaipenda Facebook kwasababu ni yao China wanaipenda TikTok lakini Tz hawaipendi sana JamiiForums

    ilibidi wa Tz waithamini zaidi Jf
  9. JamiiForums Tanzania Marekani wamekuwa maharamia baharini!

    Kwa sasa Wamarekani hawana tofauti na wale maharamia wa Somalia waliokuwa wanazivamia meli na kuzichukua mateka, US wanavamia na kuiba meli za Venezuela, Cuba na sasa Iran, huu ni uharamia wa kitaifa(state sanctioned piracy).
  10. JamiiForums Tanzania Baada ya kuilemaza, Marekani yazuia Meli ya Iran

  11. JamiiForums Tanzania Rais wa Marekani Donald Trump aisifu Israel!!

    Trump awasifu Israeli kupitia Mtandao wake wa Truth Social, akiiita "Mshirika MKUBWA wa Marekani" na kuangazia nguvu na uaminifu wake. "Ni Jasiri, Jasiri, Waaminifu, na Werevu... Israeli inapigana vikali, na inajua jinsi ya KUSHINDA!" aliandika. Wafuga Midevu na Majini najua watanuna sana...
  12. JamiiForums Tanzania Iran kuanza ishambulia Marekani hasa katika majiji yake ya New York na Las Vegas?

    Naona haijaanza kutumia yale makombora yake ya masafa marefu mpaka sasa. Inasubiri nini? Marekani imeharibu sana Iran. Iran ya sasa inatembea kwa magongo, inachechemea. Siyo Iran ya miezi 10 iliyopita. Mambo yameharibika sana kijeshi. Sasa nawaza je huu si wakati muafaka wa kuishambulia...
  13. JamiiForums Tanzania Marekani na Israel zaanza maandalizi ya kuipiga tena Ira

    Rais wa Marekani Donald Trump alifanya mkutano wa usalama wa faragha leo na Mwenyekiti wa Wakuu wa Majeshi wa Pamoja, Jenerali Dan Caine na Katibu wa Vita, Pete Hegseth. Chanzo cha habari cha ujasusi cha Marekani kimesema kwamba maandalizi yanafanywa ili kurudi vitani na Iran ikiwa hakuna...
  14. JamiiForums Tanzania Iran wanaweza juta kwa hili maana mapato yao yanategemea meli kutoka na kuingia kupitia hormuz, Marekani wataufunga tena

    kuna ripoti mpya leo kuhusu matukio ya risasi katika Mlango-Bahari wa Hormuz yakihusisha meli za kibiashara. kinachoripotiwa – Aprili 18, 2026: 1. Risasi zilizopigwa kwenye meli ya mafuta karibu na Oman Shirika la UK Maritime Trade Operations (UKMTO) lilisema meli ya mafuta ilikaribiwa maili...
  15. JamiiForums Tanzania Hakuna jipya chini ya jua: Kinachomkuta Maekani nchini Iran kiliwahi wakuta watangulizi wake

    Huwa nalipenda sana somo la historia. 1. Ukisoma historia kwa kina utafahamu ukweli kwamba hakuna jipya chini ya jua. 2. Yote unayoyafanya yalishafanywa na wenzako huko nyuma. 3. Wewe unachofanya ni kujenga juu ya msingi wa mwingine tu. 4. Wanaoamini kwamba historia ina vitu vipya ni...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani umezumgumzia kifo Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026

    Ubalozi wa Marekani Nchini Tanzania, umezumgumzia kifo cha Mwanamitandao ya kijamii kutoka Miami, Ashly Robinson (31), aliyefariki dunia April 9, 2026, kwa mujibu wa Jeshi la Polisi akiwa Visiwani Zanzibar, Kauli ya Ubalozi huo, inatokana na maswali yaliyoulizwa na AyoTV, iliyotaka kufahamu kwa...
  17. M

    JamiiForums Tanzania Baadaya Trump kuwasaidia Iran kufunga njia, Marekani ndie msambazaji mkubwa wa mafuta duniani, Hakuna tozo ya kuingia wala hofu ya kulipuliwa na Iran

    https://truthsocial.com/@realDonaldTrump/posts/116384077225474834 Trump ameichapisha mwenyewe. Ramani inaonyesha wazi. Meli kubwa za mafuta Supertanker tupu (VLCC), kila moja ikiwa na uwezo wa kubeba mapipa milioni 2 ya mafuta, sasa hivi zinakimbilia Pwani ya Ghuba ya Marekani. Hormuz...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Polisi inamshikilia Joe McCann, Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee kwa mahojiano

    Jeshi la Polisi Visiwani Zanzibar linamshikilia Joe McCann ni Mchumba wa marehemu Ashly Robinson maarufu kama "Ashlee Jenae" kufuatia tukio la kifo chake lililoripotiwa kutokea siku kadhaa zilizopita baada ya kukutwa amejinyonga katika chumba cha hoteli. Akizungumzia tukio hilo leo April 14...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kwenu wachambuzi wa Mashariki ya Kati ( Iran, Israel na Marekani)

    Nimefuatilia Chambuzi nyingi hapa Tanzania, zinaegemea Iran na kuilaumu marekani kwa kitendo chake cha kuivamia Iran kuwa ni uchokozi pamoja na ubabe! Swali lenu wachambuzi 1: Mbona hamuongelei mauaji yanayofanywa na magaidi duniani wenye msimamo mkali wa kidini huko nigeria, Lebanon, huthi...
  20. H

    JamiiForums Tanzania Iran Ndani ya Kibano Kikali cha Marekani, Hakuna meli yoyote inayoruhusiwa Kuingia au Kutoka Bandari za Iran

    Kama njia ya kulipiza kisasi kwa kitendo cha Iran kuzuia meli za baadhi ya mataifa kupita kwenye mkondo wa bahari wa Hormuz, tangu jana majira ya saa 4 asubuhi, Jeshi la Marekani limeweka zuio la meli yoyote kuingia au kutoka kwenye bandari zote za Iran. Na Marekani imeweka wazi kuwa kwenye zuio...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…