marekani

  1. JamiiForums Tanzania Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

    MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kipekee wa kutoifunga Tanzania (lockdown) katika kipindi hiki cha Ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka wananchi wake kuendelea kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari za kujikinga...
  2. JamiiForums Tanzania Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

    Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar. Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
  3. JamiiForums Tanzania Marekani yaishutumu China kudukua tafiti za chanjo ya COVID-19

    Wataalamu wa usalama wa mtandao wa Marekani wameishutumu China kuwa inawadukua kujaribu kuia taarifa kuhusu tafiti zilizofanyawa kuhusu COVID19 FBI na Idaya ya Usalama imepanga kutoa onyo kuhusu kwa wachina wanaoshutumiwa kudukua taasisi za Afya zinazofanya tafiti kugundua chanjo ya CoronaVirus...
  4. JamiiForums Tanzania Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yadaiwa kupanga njama za kumteka Rais wa Venezuela

    Venezuela imeonesha mkanda wa video inayomuonesha mmoja wa askari mamluki raia wa Marekani ambaye ni miongoni mwa askari 13 waliokamatwa baada ya kushindwa kwa shambulio la kigaidi Katika video hiyo Luke Daenman amekiri kuwa katika shambulio lililokuwa limepangwa aliagizwa kuuteka Uwanja wa...
  6. JamiiForums Tanzania Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika. Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya...
  7. JamiiForums Tanzania Marekani yaidhinisha kuanza kutumia dawa ya Ebola kuwatibu wenye CoronaVirus

    MAMLAKA ya Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya ebola ‘remdesivir’ itumike kutibu wagonjwa wenye virusi vya corona. Ruhusa ya kutumika kwa dawa hiyo kwa sasa imetolewa kwa watu waliolazwa hospitalini tu kwa ugonjwa wa homa ya mapafu Covid-19. Jaribio la...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani inahesabu 'Probable deaths' ya wagonjwa wa Corona Virus

    Chuo Kikuu cha John Hopkins kimeripoti jumla ya visa 1,039,909, huku vifo vikikaribia 61,000 Kwa kuwa nchi inahesabu hadi vifo vinavyotarajiwa, Chuo Kikuu cha John Hopkins nacho kitaanza kuhesabu vifo vinvyotarajiwa kwa siku, zoezi ambalo linaonekana kuja kufanya idadi kuwa kubwa zaidi Watu...
  9. JamiiForums Tanzania Baadhi ya majimbo nchini Marekani yameanza kulegeza masharti licha ya maambukizi ya Corona na vifo kuongezeka

    Baadhi ya majimbo yameanza kulegeza masharti ili kufungua uchumi katika maeneo yao licha ya vifo na maambukizi kuendelea kuongezeka nchini humo Magavana mbalimbali wakiwemo wa Oklahoma, Alaska and Georgia wameangaza kulegeza baadhi ya masharti ya kudhibiti maambukizi ya Corona Virus Marekani...
  10. JamiiForums Tanzania Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

    Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao. Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
  11. JamiiForums Tanzania Virusi vya Corona vinakufa kwenye miale ya jua hivyo basi msimu wa kiangazi Corona itatoweka?

    Mwanasayansi mmoja nchini Marekani leo Aprili 24 ameeleza kuwa virusi vya corona vinaharibiwa kiurahisi na na miale ya jua hivyo kuna matumani makubwa ya ugonjwa huo (Covid-19) unaoitesa dunai ukaisha wakati wa kiangazi. hata hivyo tayari Shirika la Afya Duniani WHO lilisema mwanzoni mwa mwezi...
  12. JamiiForums Tanzania CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

    Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani? Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi...
  13. JamiiForums Tanzania USA PROTESTERS: We don't need more Lockdowns its better to be contracted with SARS-CoV-2 than Lockdown

    Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'. Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya...
  14. JamiiForums Tanzania China yatangaza vifo vipya baada ya Marekani kutishia kufanya uchunguzi

    Baada ya Marekani kuwa na Mashaka na china juu ya takwimu alizotoa na kusema atafanya uchunguzi mwenyewe ili kuthibitisha hiyo idadi, china imetoa ripoti mpya inayoonesha vifo 1,290 na kujitetea kwamba ilikuwa umesahaulika hivyo kufanya vifo kufikia 4,623 na wagonjwa 82,692 ikiwa ni ongezeko la...
  15. JamiiForums Tanzania Tanzania tumeikosea nini Marekani?

    Marekani imetoa pesa dollar ml 37 kusaidia nchi masikini 25 afrika kupambana na corona cha kushangaza sisi hatupo huku Rwanda na Kenya wamepokea pesa hizo kupitia shirika la USAID nimeshangaa na kujiuliza Kenya wamepewa kama bili I.2 hivi je kwanini sio Tanzania tena? tuna tatizo na Marekani...
  16. JamiiForums Tanzania Trump asema magonjwa ya akili yanayosababishwa na msongo wa mawazo kwa amri ya kutotoka nje yameongezeka Marekani

    Trump amesema kuwa kuendelea kuwafingia watu ndani ni kuwaua zaidi kuliko CORONA yenyewe Watu wanaopiga namba za dharua imepindukia alisema Trump Trump amesema wataandaa muongozo wa kukabiliana na janga hili alhamisi hii atatangaza namna ya watu watavyokabiliana na hili janga huku amri ya...
  17. JamiiForums Tanzania Ni vigumu kwa Mwafrika Dr Tedros Ghebreyesus kuendelea kuongoza WHO, Marekani yaondoa fedha za mchango nyuma ya pazia, yashinikiza Tedros aondolewe

    Dr Tedros alianza kuonekana kwenye televisheni duniani akitoa maelezo mbalimbali kuhusiana na ugonjwa wa COVID-19. Pia aliweza kuonekana akijibu masuali mbalimbali ya waandishi wa habari juu ya maendeleo ya ugonjwa huo na taarifa zingine nyingi tu kupitia mitandao kama ya twitter na kadhalika...
  18. JamiiForums Tanzania China yaiomba Marekani kutimiza wajibu wake kwa WHO

    China imeiomba Marekani hii leo kutimiza wajibu wake kwa shirika la afya ulimwenguni, WHO baada ya Rais Donald Trump kusimamisha ufadhili kwa shirika hilo akilituhumu kushindwa kulishughulikia ipasavyo janga la virusi vya corona. Waziri wa mambo ya kigeni wa China Zhao Lijian amewaambia...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani inataka kujiondoa kuwa Mwanachama kuficha idadi ya wagonjwa wa Corona na vifo kusitisha mchango wake WHO ni mwanzo wa Safari

    Kwa mnaofuatilia siasa za Marekani huwa hayuko tayari. Kukubali kushindwa anapopata aibu hutafuta wa kumsingizia ili yy aendelee kuilinda heshima take kwa propaganda Mmarekani amesema atafikia kilele cha maambukizi wiki hii huku akijua wazi mdudu huyu haonekani na hatabiriki kwa hiyo mmarekanii...
  20. JamiiForums Tanzania Rais Trump asitisha ufadhili wa Marekani kwa Shirika la Afya Duniani (WHO)

    Rais wa Marekani Donald Trump amesitisha mchango wa kifedha ambao Marekani imekuwa ikiutoa kwa Shirika la Afya Duniani WHO kufuatia namna walivyolichukulia suala la COVID-19. Pia WHO wanalaumiwa kwa kuchelewa kutoa taarifa za mlipuko wa ugonjwa huo kwa mataifa mengine kwa wakati. Amewaambia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…