Mbabe wa vita ni Urusi na Uchina, kwa sasa naona Marekani ni wa tano

Umemaliza kuandika? Au kuna maelezo umeenda kuyachukua ya kuongezea?

Kama umemaliza, unamaanisha nini kusema "mbabe wa vita"?
Umesema marekani kwenye vita kabaki jina tuu, hapa unamaanisha vita ipi?

Okay, namaanisha kinachofanya ujue nchi fulani ni mbabe kuliko mwingine unaangalia nini?

Vilete sasa tujadili.
 
Usa ananiudhi anavyoonea Nchi changa

Umemaliza kuandika? Au kuna maelezo umeenda kuyachukua ya kuongezea?

Kama umemaliza, unamaanisha nini kusema "mbabe wa vita"?
Umesema marekani kwenye vita kabaki jina tuu, hapa unamaanisha vita ipi?

Okay, namaanisha kinachofanya ujue nchi fulani ni mbabe kuliko mwingine unaangalia nini?

Vilete sasa tujadili.
 
Venezuela kawekewa vikwazo chungu nzim,North Korea vilevile, iran pia

Africa ndio kabisa kila kona kabana watu hawapumui Kwasababu ya ukorofi wake

Napata chakula sasa sio mvivu
Kawaoneaje? Bia yetu inaonekana wewe ni mvivu wa kuandika.
 
Trump anaifanya Marekani kukosa ushawishi iliyokuwa nao, muda siyo mrefu sasa ataanza kupigwa sanctions yeye na makampuni ya nchi zake, analiwa timing tuu
Huwezi mpiga sanctions America wakati unategemea pesa yake, tech yake na akili yake!
.
Let's assume apewe kikwazo na Samsung ya S.K itauza bidhaa zake ghali soko gani?
Itauza kwa pesa gani?
.
Akipigwa pin ya kutumia vifaa mbalimbali vya ndani ya sim ambavyo ni tech ya america atafanya nini?
Huawei amepigwa pin ila bado anatumia tech ya mmarekani
 
US anachojivunia ni ubabe na kuwa mbele kwenye technology ambazo sasa hivi anapitwa kila mahali, walifanya grave mistake kuifungia huawei after one or two month wakafungua biashara, la sivyo walikuwa wanashushwa chini, kinachofanyika sasa hivi ni hizo nchi kunafaika na biashara enjoying the economy of scale of USA products, ila kwa tech wanazo wanamlia timing akiingia king analiwa kichwa na hawataki kuingia gharama kubwa kuanzisha kitu kipya ila hawashindwi

Kuna currencies nying sana duniani zinazoweza kutumika, hata mmarekani hawezi ku survive bila kushirikiana na currency nyingine...soma "BRICS payment system"
 
Huwezi mpiga sanctions America wakati unategemea pesa yake, tech yake na akili yake!
.
Let's assume apewe kikwazo na Samsung ya S.K itauza bidhaa zake ghali soko gani?
Itauza kwa pesa gani?
.
Akipigwa pin ya kutumia vifaa mbalimbali vya ndani ya sim ambavyo ni tech ya america atafanya nini?
Huawei amepigwa pin ila bado anatumia tech ya mmarekani
Umeshawahi kusikia google kampiga pin china?je china kupiga pin facebook, twitter, whatsapp etc.?
 
Umemaliza kuandika? Au kuna maelezo umeenda kuyachukua ya kuongezea?

Kama umemaliza, unamaanisha nini kusema "mbabe wa vita"?
Umesema marekani kwenye vita kabaki jina tuu, hapa unamaanisha vita ipi?

Okay, namaanisha kinachofanya ujue nchi fulani ni mbabe kuliko mwingine unaangalia nini?

Vilete sasa tujadili.
Safi kabisa! Bila kuwa na ushahidi hakuna kukubali upigaji wa ramli.
 
Russia kashindwa kuzuia mashambulizi ya anga nchini Syria, yanafanyika na Israel.
Kashindwa kuzuia masahmbulizi ya jeshi la serikali ya Libya dhidi ya majeshi ya Haftar.
Uturuki iko inaihangaisha Syria wakati yupo.

Russia huyuhuyu ambaye alienda kununua meli za Mistral kutoka Ufaransa akapigwa pini. Hana shipyard kubwa za kutengeneza melivita.
Hajatengeneza meli kubwa yoyote na fleet zake zina meli zimeelemewa na si kubwa sana. Subs anazo lakini ni aged, na hana project yoyote ya kuzireplace. Aircraft carrier yake ya Admiral Kuznetsov inatembea na tug boat, imechoka na inatumia diesel. Kila mara breakage.

Juzi ndo walisema walianza testing ya stealth bomber, wakati Marekani walikuwa nayo B-2 Spirit Bomber tangu 1997. Kumbuka testing sio kuwa commissioned, Su-57 tokea 2011 wanatest lakini hadi leowana squadron mbili tu.
Vifaru vyao T-90, T-72 ni vizuri lakini vya zamani tevh inabadilika. T-14 Armata havijawa uwanjani ingawa vitakuwa tishio.

Angani hawana ndege nyingi wakati wana anga kubwa mno.
Kwenye radar systems wako vizuri mno na missile defense wako vizuri mno. Sema Pantsir S-3 imeniangusha performance yake.
Anyway, nawapanga hivi:
1. USA
2. Russia
3. China
4. France
5. UK (siwezi iweka juu ya France maana hawajitegemei sana kwenye silaha)
6. India (wanaoiweka sawa na UK wanakosea)
7. South Korea
8. Germany
9. Japan
10. Israel
11. Turkey
Germany na Japan wana tech nzuri sana sema hawajataka tu kujiimarisha. Israel yuko overrated kwakuwa anapigana na vikojozi. Sweden haipo lakini ina tech nzuri na iko imara sana. Australia wazembe kuwekeza kwenye jeshi. Canada hawana shida wala adui kabisa. South Korea kajitutumua mpaka mwisho.
Hapa Afrika Egypt analazimika kuwa imara kwa kuwa yuko eneo bovu na kale kabifu ka Israel. South Africa ana tech ya kijeshi kuliko nchi zote barani lakini hana adui, halazimiki kuwa imara.
 
Back
Top Bottom