Texas Marekani wazungu wawapigia magoti weusi na kuwaomba radhi ya ubaguzi waliowafanyia miaka mingi

The Evil Genius

JF-Expert Member
Mar 21, 2014
5,459
17,262
Hulo Texas Marekani wazungu wafanya maombi ya toba na msamaha kwa Mungu na watu weusi wasamehewe kwa ubaguzi wa rangi, chuki na unyanyasaji waliowafanyia kwa miaka mingi.

 
Daaaa! Mkuu Video hii lazima itatufanya tulie Blacks walio wengi wengi, Duniani, ina maana lazima tuwasamehe, wametubu ..Mungu asije akatugeuzia kibao Daaa! '' we honour dem? we welcome dem in our circle!!! who are we? Moderator tafadhari Ifute bana tutalia sana! niko hapa ofisini watu ni vilioa tu!

Nadhani American Blacks wana asili ya Uzaramo wamewasuta mpaka wamekoma!
 
Muarab, mhindi na mchina hawawezi kumpigia magoti muafrika, wazungu wanajielewa sana.
 
Wazungu wakitubagua ni kosa kubwa ila tukibaguana sisi kwa sisi sio dhambi, dhambi ya unafiki waafrica tunaoishi bara la Africa itaendelea kututafuna, hivi hicho kinatofautiana vipi na kinachofanywa na serikali ya ccm na vyombo vyake vya ulinzi
 
Back
Top Bottom