marekani

  1. JamiiForums Tanzania Sudan nao washtukia ushenga wa Marekani baina ya waarabu na Israel

    Yule msomi wa kimarekani aliyepewa sifa kubwa Sudan na kukabidhiwa serikali ya mpito baada ya kuanguka kwa Omar Albashiri na ambaye wiki kadhaa zilizopita aliponea chupuchupu kufa kwa bomu barabarani,jina lake Abdalllah Hamdouk, sasa naye ameishtukia diplomasia ya Marekani. Wiki iliyopita...
  2. JamiiForums Tanzania Roma Mkatoliki anafanya nini Marekani?

    Huyu jamaa toka atekwe na kuachiwa kwa masharti akaona isiwe taabu akaamua kukimbilia zake Marekani mpaka leo huku nyuma akiiacha familia yake Tanzania. Kumekuwepo na tetesi mtaani kuwa Roma anaishi Marekani kama mkimbizi wa kisiasa! Je tetesi hizi ukweli upoje? Kama sio kweli Roma anafanya...
  3. JamiiForums Tanzania China itautingisha uchumi wa Marekani ikiwa tu Wanawake wa China watakubali kuzaa na Waafrika

    Ili Uchumi wa Marekani utikisike basi ni mpaka wanawake wa China watakapokubali kuzaa na waafrika ili kupata kizazi chenye nguvu na maarifa kama ilivyokuwa kwa wazungu miaka mingi iliyopita,ila wakijitenga wao kama wao si rahisi
  4. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mkenya mwenye uraia pacha kugombea uongozi Marekani

    Hatujawahi kujutia kuwapa diaspora wetu uraia pacha maana inawapa uhuru wa kutanua na kupaa, huku wakituma nyumbani mukwanja wa kuwekeza...... Boni Njenga, the Kenyan-born American who is vying for a position in the Hennepin County Board of Commissioner, District 5. Pool What you need to...
  5. JamiiForums Tanzania Kumbukumbu: Gamboshi usiku yaonekana kama jiji la New York au London

    USIKU YAONEKANA KAMA JIJI LA NEW YORK AU LONDON. WENYEWE WAMWOMBA RAIS KIKWETE, MZEE WA VIJISENTI AKAWASAFISHE WAKAZI wa Kijiji cha Gamboshi, kilichopo wilayani Bariadi, Mkoa wa Shinyanga, wamemuomba Rais Jakaya Kikwete awasaidie kusafisha kijiji chao kutokana na jina baya lililoenezwa duniani...
  6. JamiiForums Tanzania GE2020 Azimio: Bunge la Marekani laisihi Serikali ya Tanzania na wahusika wote kuhakikisha Uchaguzi utakuwa Huru na wa Haki

    Azimio la bunge la Marekani liliotolewa tarehe 17/09/2020 lenye jina la "Urging the Government of Tanzania and all parties to respect human rights and constitutional rights and ensure free and fair elections in October 2020, and recognizing the importance of multi-party democracy in Tanzania."...
  7. JamiiForums Tanzania Kitabu kipya cha Obama kinatarajiwa kutoka Novemba 17, nakala milioni 3 zimeagizwa kuchapishwa

    Kitabu cha Rais wa zamani wa Marekani kitakuwa mitaani siku chache baada ya uchaguzi wa Novemba 3, kwa mujibu wa taarifa ya Kampuni ya Penguin Random House mchapishaji wa kitabu hicho, iliyotolewa siku ya Alhamisi. Kitabu hicho chenye kurasa 768 kilichopewa jina "A Promised Land" ama Nchi ya...
  8. JamiiForums Tanzania Marekani yakana kumfahamu jasusi aliyekamatwa Venezuela

    Raia wa Marekani anayeshikiliwa nchini Venezuela kwa madai ya kufanya ujasusi nchini humo hakutumwa na serikali ya Marekani, taarifa ya kiongozi wa ngazi ya juu katika serikali ya Marekani imebainisha. Mwendesha Mashtaka mkuu wa Venezuela, Tarek Wiliam Saab alitangaza siku ya Jumatatu kuwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Fact Checking: Rais Magufuli hukumteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya kumaliza Ubunge wa Muleba

    Kwenye kinyang'anyiro cha Uchaguzi wa mwaka huu wa 2020, Rais Magufuli alipopita katika mkoa wa Kagera wilayani Muleba, aliwaambia wananchi wa wilaya hiyo kuwa anafahamiana sana na mheshimiwa Masilingi na kwamba yeye ndiye aliyemteua Masilingi kuwa Balozi Marekani baada ya Ubunge wake huko...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kujihisi upweke katika jukwaa la jumuiya ya kimataifa

    Hivi majuzi, Umoja wa Mataifa umepitisha azimio moja kuhusu maambukizi ya virusi vya Corona kwa kura 169 za ndiyo dhidi ya kura 2 za hapana. Marekani na Israel zimekuwa nchi pekee zilizopiga kura za hapana. Marekani inatia mashaka kuhusu kama Shirika la Afya Duniani WHO linatoa mchango katika...
  11. JamiiForums Tanzania Nimemaliza kuongea na Rafiki yangu anayeishi Marekani, Ananiambia 'we are still working from home beacuse of Corona, America is becoming boring place'

    Tuache siasa tuache majungu Magufuli ni mwanasayansi asiekuwa muoga na anaejua nini anafanya. Sio kwamba ana miujiza ila alichoweza kuwaaminisha watanzania ni kwamba corona ni mafua ya kawaida sana kawaida ila haiwezi kushindana na uwezo wetu wa kukabiliana na hali tete au hali ngumu...
  12. JamiiForums Tanzania Trump aapa kulipiza mara '1,000' shambulio la Iran dhidi ya balozi wa Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump ameapa kujibu mara "1,000’," kwa shambulio lolote la Iran. Hii ni baada ya taarifa kwamba Iran ilikuwa inapanga kumuua balozi wa Marekani nchini Afrika Kusini, Lana Marks. "Shambulio lolotela Iran, la muundo wowote, dhidi ya Marekani litakutana na shambulio dhidi...
  13. JamiiForums Tanzania Mji wa Florida waondoa katazo la kuvaa 'mlegezo'

    Baada ya miaka 13 mji wa florida nchini Marekani umeondoa katazo la kuvaa milegezo kwa jinsia zote ambayo ilikua inazuia watu kuvaa nguo zinazoonesha nguo za ndani. Mamlaka ya mji wa Opa-loka ilipiga kura ili kurudisha sheria ya mwaka 2007 na agizo la 2013 lilikua linawataka wanaume na...
  14. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Askofu Gwajima: Naimudu Kawe. Mimi sio kilaza, nilienda Marekani mwaka jana na nimeshaandika vitabu 5 kwa kijapani, vipo Amazon

    Akiongea katika ufunguzi wa kampeni zake askofu Gwajima amesema jimbo la Kawe ni jepesi sana halihitaji serikali wala manispaa kujiendesha. Gwajima amesema pindi atakapoapishwa ataanza kugawa magari ya wagonjwa kila kata yeye mwenyewe ili wananchi wakewawaishwe hospitali pindi wanapougua...
  15. JamiiForums Tanzania Janga la Moto Marekani: Unaweza Kudhani Vita Vimetokea Katika Eneo Hili

    Asubuhi ya Septemba 11 ingekuwa asubuhi tulivu kama ilivyo asubuhi ya siku nyingine yoyote katika mji wa Phoenix, Oregon, Magharibi mwa Marekani, lakini haikuwa hivyo! Matt Manson anasimama kuangalia masalia ya gari lake lililoteketea kwa moto akiwa haamini anachokiona - magofu ya nyumba yake...
  16. JamiiForums Tanzania Maduro: Tumemkamata Jasusi wa Marekani

    Rais wa Venezuela, Nicolas Maduro amesema kuwa wamemkamata jasusi wa Marekani aliyekuwa akipeleleza kiwanda cha kuchakata mafuta ghafi nchini humo. Maduro aliutangazia umma wa Wavenezuela kupitia televisheni ya taifa katika matangazo ya moja kwa moja akimweleza jasusi huyo kuwa ni mwanajeshi wa...
  17. JamiiForums Tanzania Mwanajeshi mstaafu wa Marekani aliyeishi na VVU kwa miaka 20 bila kufahamu

    Mwanajeshi wa majini wa Jeshi la Marekani amekuwa akiishi na Virusi vya Ukimwi kwa zaidi miongo miwili bila kujijua kutokana na kile anachodai kuwa wafanyakazi afya wa serikali hawakumpa majibu baada ya kumfanyia vipimo mnamo katikati ya mwaka 1995 ambapo wanajeshi wote wa jeshi la majini...
  18. JamiiForums Tanzania Rais Trump: Tiktok haitaongezewa muda Marekani

    Rais wa Marekani Donald Trump amesema kuwa tarehe ya mwisho iliyopagwa kwajili ya kampuni ByateDace ya China kuuza programu nukushi ya Tiktok nchini humo haitaongezwa. Trump ameyasema hayo wakati akizungumza na waandishi wa habari kabla hajaondoka kwenda Michigan kuendelea na kampeni yake na...
  19. JamiiForums Tanzania Utafiti: Joe Biden (Democrat) ana nafasi ya kushinda katika Uchaguzi wa Marekani kwa 71.1%

    Joe Biden stands a 71.1% chance of winning the Electoral College, according to the Sept. 7 run of poll aggregator FiveThirtyEight’s election forecasting model. He is predicted to win 334 of 538 electoral votes. The model estimated Donald Trump’s chances at 28.4% According to the Sept. 7 run of...
  20. JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kuiingiza SMIC ya China kwenye vikwazo, yenyewe yakataa kuhusika na jeshi la China

    Rais Donald John Trump anatarajia kuiingiza kampuni kubwa ya kutengeneza vifaa vya elektroniki ya China, Semiconductor Manufacturing International Corporation au SMIC ya China kwenye blacklist ya vikwazo kama Huawei wakiituhumu kushirikiana na jeshi la China. Kampuni ya SMIC imekataa vikali...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…