Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad

MALCOM LUMUMBA

JF-Expert Member
Jul 26, 2012
20,897
63,783
Makao Makuu ya Jeshi la Marekani imesema Wanajeshi 11 wa Marekani walijeruhiwa katika shambulio la Iran dhidi ya kambi ya Jeshi la wanaanga ya Ain al-Assad nchini Iraq Januari 8

Tehran ilirusha makombora dhidi ya kambi za Ain al-Assad (Magharibi) na Erbil (Kaskazini), ambapo baadhi ya wanajeshi 5,200 wa Marekani wanapiga kambi, kwa kulipiza kisasi kifo cha Jenerali wa Iran, Qassem Soleimani

==============================

Published: 17 Jan 2020 | 04:29 GMT

US Central Command has revealed that 11 personnel stationed at an Iraqi airbase which incurred a retaliatory attack by Tehran earlier in January had to be sent out of the country after displaying concussion symptoms.

“While no US service members were killed in the January 8 Iranian attack on Al Asad airbase, several were treated for concussion symptoms from the blast and are still being assessed,” Navy Captain Bill Urban said in a statement on Thursday.

Upon initial examination, eight troops were flown out of the war-ravaged country to a medical facility in Germany for further checks, while three others were taken to Camp Arifjan, a US Army installation in Kuwait.

The temporary removal of the troops was taken “out of an abundance of caution,” Urban said, refusing to divulge any more details about the condition of the servicemen or the extent of their injuries.

“The health and welfare of our personnel is a top priority and we will not discuss any individual's medical status,” he said, noting that the servicemen are expected to return to duty following additional screening.

The base in Iraqi Kurdistan found itself under fire from two volleys of ballistic missiles launched from Iran after a US drone strike near Baghdad on January 3 killed Iranian Major General Qassem Soleimani, the elite Quds Force commander who played a major role in beating Islamic State terrorists in both Syria and Iraq. His assassination has inflamed tensions between Washington and Tehran, and drew a harsh rebuke from Baghdad, prompting the Iraqi Parliament to pass a resolution ordering US troops to leave the country.

Immediately after the attack by Iran, which was reported to have incurred extensive but pinpointed damage on the facility and resulted in no casualties, US President Donald Trump declared that “all is well,” with the Pentagon likewise saying that early warning systems at the base alerted the troops, who wasted no time in seeking shelter.

Source: Russia Today
 
Keywords hapa ni "concussion symptoms". Hilo tatizo wabongo mkipimwa zaidi ya 95% mtakutwa nalo! Anyway, kama hiyo ndio maximum "destruction" sijui "retaliation" makombora ya Iran yaliweza kuwafanya wamarekani basi poa! Bora Trump kaamua kupuuzia.
 
IMG-20200116-WA0041.jpg
I
 
Poleni Kwa Majeruhi Mloyapata Mliambiwa Hapa Haiwezekani Ballistic Zaidi Ya Moja Zipike Kambi Wanayokaa wanajeshi Hlaf Asijeruhiwe Hata Mmoja

Nb:Itafikia Siku Watataja Idadi Kamili Yawatu Walio Uwawa

US-Anatakiwa Apige Upya Hesabu Zake IRAN Sio Waarabu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
11 U.S. troops injured in Jan. 8 Iran missile strike

A total of 11 US troops have been medically evacuated to US military hospitals in Kuwait and Germany to be treated for traumatic brain injury
 
Poleni Kwa Majeruhi Mloyapata Mliambiwa Hapa Haiwezekani Ballistic Zaidi Ya Moja Zipike Kambi Wanayokaa wanajeshi Hlaf Asijeruhiwe Hata Mmoja

Nb:Itafikia Siku Watataja Idadi Kamili Yawatu Walio Uwawa

US-Anatakiwa Apige Upya Hesabu Zake IRAN Sio Waarabu.....

Sent using Jamii Forums mobile app
"Concussion symptoms " hata wewe ukipimwa unayo na visababishi ni vingi. Kama hayo ndio matokeo ya kuifanya Iran ishangilie kutimiza lengo; kama hayo ndio matokeo bora kabisa ya jeshi la Iran sawa.
 
Kabisa mkuu najua soon watatoa orodha halisi ya vifo na majeruhi.Trump alisema hakuna vifo Wala majeruhi hata mmoja lakini leo wameanza kutoa siri kidogo kidogo hadi kitaeleweka.Iran alishasema makombora yaliua wanajeshi 80 nakujeruhi kadhaa nadhani huu ndo utakuwa ukweli.

Back
Top Bottom