Kizzy Wizzy
JF-Expert Member
- Aug 2, 2013
- 3,279
- 3,776
...
Mchezo usiuchezee, wajapan waliizamisha Us indiannapolis ambayo ndiyo the worst single Nav disaster in Us history, lost more than 900 sailors , Wamarekani wakaficha ukweli Ila with in two weeks kikaita Hiroshima na Nagasaki , ngoja tuone....
Si umsake ndalichako muyajenge?= psychology
= title
Si uandike Kiswahili tu.
Hata za mwizi kabla hazijafika 40 huwa anapeta tu!Utawala huu wa sasa wa Iran ume survive kwa miaka zaidi ya 40 ya vita na US so Iran inamjua vzr US na ma ujinga yake yote anayowaza. Kizzy Wizzy,
dodge
Round hii tutegemee tetemeko litakaloigeuza Iran kama filigisiMchezo usiuchezee, wajapan waliizamisha Us indiannapolis ambayo ndiyo the worst single Nav disaster in Us history, lost more than 900 sailors , Wamarekani wakaficha ukweli Ila with in two weeks kikaita Hiroshima na Nagasaki , ngoja tuone....
Hata za mwizi kabla hazijafika 40 huwa anapeta tu!
Sasa naona unaitaja mwenyewe 40 ya Qaseem.
Round hii tutegemee tetemeko litakaloigeuza Iran kama filigisi
Halafu kwanza mmetuma missiles kulipua michanga??Hahah US mmefyata mkia
dodge
@"Kizzy Wizzy,
= psychology
= title
Si uandike Kiswahili tu.
Ukiona kobe kainama,,hajasinzia jua anatunga sheriaHalafu kwanza mmetuma missiles kulipua michanga??