marekani

  1. Trump asema Marekani kuwa na wagonjwa wengi wa Corona ni heshima ya kwamba vipimo vyetu viko vizuri

    Rais Donald Trump amesema ni '' ni heshima '' kuwa Marekani ina idadi kubwa ya maambukizi ya virusi vya corona duniani. ''Ninalitazama suala hili kama heshima fulani, kama jambo zuri kwasababu inamaanisha kuwa vipimo vyetu viko vizuri,'' alieleza akiwa Ikulu ya Marekani. Marekani ina watu...
  2. Nafasi za kazi Ubalozi wa Marekani Tanzania

    U.S. MISSION DAR ES SALAAM VACANCY ANNOUNCEMENT The U.S. Mission in Dar es Salaam is seeking eligible and qualified applicants for the positions below (Kusoma Maelzo Kamili, Click links ya Job Title Unayotaka Hapa Chini): READ MORE AND APPLY HERE! Position Title: Shipping Assistant (Internal...
  3. Uongo na Njama: Jinsi Marekani inavyodanganya watu wake na jamii ya kimataifa kuhusu virusi vya Corona

    Katika hospitali ya Elmhurst jimbo la New York nchini Marekani, mchana na usiku, madaktari na manesi wanajitolea kuokoa maisha ya wagonjwa wa COVID-19, ambao hofu za kuhuzunisha zinaonekana machoni mwao, lakini bado wanashindwa kumsaidia kila mmoja. Nje ya hospitali, friji kubwa zimepangwa kwa...
  4. CORONA USA: Rais Trump asema anatumia dawa ya Hydrocychloroquine kujikinga na ugonjwa wa Corona, kinyume na ushauri wa wataalam wa afya

    Rais Donald Trump amesema yeye anatumia dawa ya malaria kujilinda dhidi ya ugonjwa wa COVID19, licha ya onyo kutoka kwa serikali yake mwenyewe kwamba inapaswa kutolewa tu kwa ajili ya COVID-19 hospitalini ama katika mazingira ya kiutafiti kutokana na athari mbaya ambazo zinaweza kusababishwa na...
  5. Marekani kuanza kusitisha ufadhili wa fedha kwa WHO ndani ya siku 30 zijazo

    Rais wa Marekani Donald Trump ambaye anakabiliwa na uchaguzi mkuu mwaka huu ambaye amekosolewa jinsi anavyotatua ugonjwa huo nchini Marekani , amelaumu China kwa kujaribu kuziba mlipuko huo na kuilaumu WHO kwa kushindwa kuiwajibisha China. Rais wa Marekani, Donald Trump ametangaza kwamba...
  6. Corona halisi imeishia Ulaya na Marekani tunalazimishwa Afrika tulie kama wao, basi na wao wahamie kwetu ili nasi twende kwao. Magufuli nimekuelewa

    Unahitaji utulivu wa akili na umakini katika kufikiri ili kumuelewa Magufuli kelele za Covid-19: Hoja Sita! Denis Mpagaze ___________________________ Katika kipindi hiki cha corona na propaganda za magharibi, tusipojipa muda wa kuusaka ukweli tutakuja kumuelewa Rais Magufuli akiishaoondoka...
  7. P

    Janga la Corona: Trump asema kuwe na chanjo au kusiwe na chanjo Marekani kufunguliwa

    Rais Trump amesema kuwa iwe chanjo imepatikana au haijapatikana Marekani lazima ifunguliwe ili shughuli zirudi kama kawaida Trump ameahidi pia kuwa mpaka mwisho wa mwaka huu chanjo ya ugonjwa huo itakuwa ipo tayari, ingawa wataalam wengi wana wasiwasi kama muda huo ni sahihi...
  8. Hadharani: Shigongo Alivyomsema Rais Magufuli Kijasiri Marekani

    MKURUGENZI Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amempongeza Rais Dk John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kipekee wa kutoifunga Tanzania (lockdown) katika kipindi hiki cha Ugonjwa wa COVID-19 na kuwataka wananchi wake kuendelea kuchapa kazi huku wakichukua tahadhari za kujikinga...
  9. Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania: Uwezekano wa kupata Corona Dar ni mkubwa

    Ubalozi wa Marekani umesema Dar es Salaam ni mkoa ambao hatari ya kupata #CoronaVirus ni kubwa. Wamedai japo serikali haitoi takwimu kuhusu hilo ushahidi wa kimazingira unaonyesha wagonjwa wanaongezeka kwa kasi ndani ya Dar. Wamedai hospitali nyingi zinahofu kutokana na ukosefu wa vifaa tiba...
  10. Marekani yaishutumu China kudukua tafiti za chanjo ya COVID-19

    Wataalamu wa usalama wa mtandao wa Marekani wameishutumu China kuwa inawadukua kujaribu kuia taarifa kuhusu tafiti zilizofanyawa kuhusu COVID19 FBI na Idaya ya Usalama imepanga kutoa onyo kuhusu kwa wachina wanaoshutumiwa kudukua taasisi za Afya zinazofanya tafiti kugundua chanjo ya CoronaVirus...
  11. Rais ambaye hajawahi kugombea, ilitokea Marekani, itatokea tena huku

    Wakuu, Mwaka 1973 Spiro Agnew alijiuzulu nafasi ya makamu wa Rais wa Marekani kufuatia skendo ya rushwa na matumizi mabaya ya ofisi ikiwemo kukwepa kodi alikofanya wakati ni governor wa Maryland. Rais Richard Nixon akamteua Gerald Ford kuchukua nafasi yake. August ya mwaka 1974, Rais Richard...
  12. Marekani yadaiwa kupanga njama za kumteka Rais wa Venezuela

    Venezuela imeonesha mkanda wa video inayomuonesha mmoja wa askari mamluki raia wa Marekani ambaye ni miongoni mwa askari 13 waliokamatwa baada ya kushindwa kwa shambulio la kigaidi Katika video hiyo Luke Daenman amekiri kuwa katika shambulio lililokuwa limepangwa aliagizwa kuuteka Uwanja wa...
  13. Dar es Salaam kila baada ya mita tatu kuna ndoo ya maji na kitakasa mikono, hivi mbona Marekani utaratibu huu umewashinda, au ndoo kwao ni ghali sana?

    Hapa Dar es Salaam kila baada ya mita 2 au 3 kuna ndoo ya maji safi yenye koki ya kunawia pamoja na sabuni ya kubonyeza kwa ajili ya kutakasa mikono, na unaweza kuitumia huduma hiyo ya kunawa popote na muda wowote bila hata kumuuliza mwenye eneo husika. Kwakuwa njia kuu hasa na ya uhakika ya...
  14. Marekani yaidhinisha kuanza kutumia dawa ya Ebola kuwatibu wenye CoronaVirus

    MAMLAKA ya Dawa na Chakula nchini Marekani (FDA) imetoa ruhusa ya dharura ya dawa ya ebola ‘remdesivir’ itumike kutibu wagonjwa wenye virusi vya corona. Ruhusa ya kutumika kwa dawa hiyo kwa sasa imetolewa kwa watu waliolazwa hospitalini tu kwa ugonjwa wa homa ya mapafu Covid-19. Jaribio la...
  15. Marekani inahesabu 'Probable deaths' ya wagonjwa wa Corona Virus

    Chuo Kikuu cha John Hopkins kimeripoti jumla ya visa 1,039,909, huku vifo vikikaribia 61,000 Kwa kuwa nchi inahesabu hadi vifo vinavyotarajiwa, Chuo Kikuu cha John Hopkins nacho kitaanza kuhesabu vifo vinvyotarajiwa kwa siku, zoezi ambalo linaonekana kuja kufanya idadi kuwa kubwa zaidi Watu...
  16. Baadhi ya majimbo nchini Marekani yameanza kulegeza masharti licha ya maambukizi ya Corona na vifo kuongezeka

    Baadhi ya majimbo yameanza kulegeza masharti ili kufungua uchumi katika maeneo yao licha ya vifo na maambukizi kuendelea kuongezeka nchini humo Magavana mbalimbali wakiwemo wa Oklahoma, Alaska and Georgia wameangaza kulegeza baadhi ya masharti ya kudhibiti maambukizi ya Corona Virus Marekani...
  17. Rwanda na Ethiopia waomba msaada Marekani kupambana na corona, Trump aahidi kutoa msaada

    Wenzetu wanapambana kwa hali na mali kusaidia na kuokoa maisha ya wananchi wao. Sisi tumeamua kukaa kimia raia wajifie wenyewe.
  18. Virusi vya Corona vinakufa kwenye miale ya jua hivyo basi msimu wa kiangazi Corona itatoweka?

    Mwanasayansi mmoja nchini Marekani leo Aprili 24 ameeleza kuwa virusi vya corona vinaharibiwa kiurahisi na na miale ya jua hivyo kuna matumani makubwa ya ugonjwa huo (Covid-19) unaoitesa dunai ukaisha wakati wa kiangazi. hata hivyo tayari Shirika la Afya Duniani WHO lilisema mwanzoni mwa mwezi...
  19. CHINA: Marekani iwajibike kwa kueneza UKIMWI Duniani na seasonal flue mwaka 2009 maana chimbuko la H1N1 na UKIMWI ni Marekani

    Je, Marekani imelipa hasara kutokana na majanga ya H1N1, UKIMWI na msukosuko wa fedha duniani? Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, Marekani inapaswa kufahamu kuwa adui wao ni virusi, sio China, kwani kama nchi nyingine, China pia ni mwathirika wa maambukizi ya virusi...
  20. USA PROTESTERS: We don't need more Lockdowns its better to be contracted with SARS-CoV-2 than Lockdown

    Waandamanaji nchini Marekani wameingia mitaani katika majimbo kadhaa wakishinikiza magavana kufungua uchumi wa majimbo yao kwa kuondosha amri ya kutokutoka nje ama 'lockdown'. Marufuku hiyo ya kutokutoka nje imewekwa katika majombo yote ya Marekani ili kudhibiti kusambaa kwa janga la virusi vya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…