marekani

  1. Hivi bongo mambo kama ya wall street Marekani?

    Wakuu za muda huu Direct kwenye swali na hoja yenye kutaka kujua , kwa wale wapenzi wa movie kuna movie inaitwa wolf of wall street ya leonardo dicaprio na maggot robbie , ndo ilikuwa mara yangu ya kwanza kujua wall street kwa uchache Wall street ni nini?? Kwa knowledge yangu ndogo ni mtaa wa...
  2. IKULU: Rais Magufuli anapokea Hati za Utambulisho kwa Mabalozi wapya wa Marekani na Vietnam 🇻🇳

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 02 Agosti, 2020 atapokea Hati za Utambulisho za Mabalozi Wateule wa Marekani na Vietnam hapa nchini. Tukio hili litarushwa mubashara na vyombo vya habari kuanzia saa 9:00 alasiri kutoka Ikulu, Dar es Salaam.
  3. T

    Trump kuipiga marufuku application ya Tik Tok ndani ya saa 24 nchini Marekani

    Mwezi uliopita Trump alitangaza kua ataipiga marufuku TikTok na mitandao mingine ya kichina nchini Marekani kwa tuhuma kua inatumika na serikali ya China kuiba data. Leo Trump ametangaza kua anaipiga marufuku ndani ya masaa 24 kwa kutumia sheria ama Executive order. Juzi bunge la Marekani...
  4. App ya TikTok yaingizwa kwenye mtego wa majaribu ya Marekani dhidi ya China

    Hivi karibuni serikali ya Marekani imetishia kuipiga marufuku app ya TikTok ya China, hatua ambayo imezua wasiwasi mkubwa hasa kwa wadau na watumiaji wa app hii duniani. Inaonekana kuwa Marekani hivi sasa inafanya kila njia ili kuitia majaribuni China na kuipima itahimili vipi vishindo vyake...
  5. T

    Marekani: Brazil itakabiliana na hatari iwapo itaruhusu Huawei kujenga 5G

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kutumia mkono wake mrefu na wenye nguvu kuiwekea vikwazo kampuni ya Huawei kutoka China, sasa mbinyo huo umeifikia Brazil. Balozi wa Marekani nchini Brazil ameionya nchi hiyo kua itakabiliwa na hatari iwapo itairuhusu kampuni ya Huawei kujenga mitambo...
  6. Kumekucha: Iran yashambulia meli za Marekani kwa makombora makali

    Iran imeshambulia kwa makombora makali meli bandia ya kivita ya Marekani katika mlango bahari wa kimkakati wa Hormuz. Zoezi hilo lilishirikisha mashambulio makali hatua iliofanya kambi mbili za Marekani kujiweka katika hali ya tahadhari. Jeshi la Marekani lilishutumu tabia hiyo mbaya...
  7. Wakurugenzi Wakuu wa Makampuni makubwa ya Apple, Facebook, Amazon na Google kuhojiwa na Bunge la Marekani leo

    Amazon CEO Jeff Bezos, Apple CEO Tim Cook, Facebook CEO Mark Zuckerberg and Sundar Pichai, CEO of Google parent Alphabet, are set to testify before the House Antitrust Subcommittee on Wednesday. The testimony will give an indication of how the companies are quietly fighting antitrust arguments...
  8. L

    Kwanini Marekani imeamua kufunga Konseli Kuu ya China mjini Houston, Marekani?

    Wiki hii Serikali ya Rais Donald Trump imeishangaza ulimwengu kwa kuendelea na sera yake ya kuiandama China kwa kutoa muda wa saa 72 kufungua konseli kuu ya China mjini Houston, kwa kisingizio cha “kulinda taarifa binafsi za wamarekani na kulinda haki za ubinufu za wamarekani”. Wanaofuatilia kwa...
  9. Ubalozi wa China uliopo Houston kufungwa kufikia Ijumaa

    Wizara ya mambo ya nje ya Marekani imesema kuwa uamuzi huo unalenga "kulinda akilimiliki ya Wamarekani ". Lakini msemaji wa wizara ya mambo ya nchi za nje ya Uchina Wang Wenbin amesema kuwa uamuzi huo "ni wa kushitua na usio na sababu ". Taarifa hii imekuja baada ya watu wasiojulikana...
  10. Marekani: Rais Trump awataka wamarekani watumie barakoa

    Rais Donald Trump amewataka wamarekani watumie barakoa. Awali, Rais Trump alikuwa havai barakoa kwa madai kuwa hazina msaada wowote, ila sasa amesema ataanza kuvaa Nchi hiyo imerekodi vifo 1,000 vya COVID19 kwa siku ya Jumanne na kufanya kuwa na jumla ya vifo 144,953, nchi hiyo ina maambukizi...
  11. Marekani haijaandaa kupatana kwa usawa na nchi nyingine yoyote

    Hivi karibuni, Marekani imefanya kila iwezalo kwa kisingizio cha “usalama wa taifa” kuidhoofisha kampuni ya teknolojia ya Huawei, hata kuikashifu kuwa “mkiukaji wa haki za binadamu” na kutangaza kuweka vikwazo vya visa dhidi ya wafanyakazi wa Huawei. Lakini je, nani anayetishia zaidi usalama wa...
  12. Nasi tuige Bunge la Marekani kutunga sheria kuzuia Rais kutoa misamaha ovyo, na kushitakiwa kama raia yeyote wa Marekani. Hakuna aliye juu ya Sheria

    Bunge la USA linataka kupitisha Sheria 2 baada ya Trump kutoa msamaha kwa Stone rafiki yake aliyefungwa miezi 40 kwa kukataa kutoa USHAHIDI dhidi ya Trump. 1. APPPA- kuhakikisha Trump hachezei madaraka ya kusamehe. 2.NPALA - kuhakikisha rais anashtakiwa baada ya kuacha madaraka Rais hawezi...
  13. T

    Taiwan yaungana na Marekani, yadai Huawei ni kirusi cha kichina, Trojan Horse, yadai wao walishaipiga marufuku toka 4G inaanza

    Waziri wa digitali wa Taiwan amesema Huawei ni kirusi cha kichina au Trojan horse kutoka China na ni hatari kuitumia kwenye mfumo wa mawasiliano ya nchi Waziri huyo ambae zamani alikua muiba taarifa za kimtandao ama kwa kimombo hacker anasema wao Taiwan walishaliona hilo la Huawei muda mrefu...
  14. T

    Chama cha wamiliki wa silaha/bunduki nchini Marekani wametangaza kumuunga mkono Trump Uchaguzi Mkuu

    Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020 NRA wanasema mtu pekee ambae anaweza kuwahakikishia uhuru wao wa kumiliki siraha ni Trump kwani Biden...
  15. T

    Marekani inafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye malipo yoyote yanayohusu Dollar ya Marekani

    Utawala wa Bwana Donald Trump unafikiria kuizuia China kutumia mfumo wa Dollar kwenye manunuzi ya aina yoyote au wanaita dollar decoupling. Dollar ya kimarekani ndio sarafu maarufu inayotumika kufanya malipo Duniani, zaidi ya 60% ya malipo Duniani yanafanyika kwa njia ya Dollar. Dollar ndio...
  16. T

    Marekani anafikiria kuwawekea vikwazo vya kusafiri viongozi wakuu wa Chama cha Kikomunisti cha China

    Marekani inafikiria kuiwekea vikwazo vya kusafiri kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China au CCP ama wanachama wake waandamizi. Huu ni muendelezo wa vikwazo vya Marekani dhidi ya China. Chombo cha habari cha China kimedai kua kuwekea wanachama au viongozi wakuu wa chama cha ukomunisti...
  17. T

    Marekani yatangaza marufuku ya kusafiri kwa wafanyakazi wa Huawei na makampuni mengine ya Kichina

    Waziri wa mambo ya nje wa Marekani bwana Pompeo ametangaza kua serikali ya nchi hiyo itawawekea vikwazo vya kusafiri wafanyakazi wa makampuni ya Kichina ikiwemo Huawei. Pompeo amesema watawawekea vikwazo na kuwapiga marufuku wafanyakazi wa makampuni ya Kichina wasisafiri hivyo kuathiri kabisa...
  18. T

    Marekani kuondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko yake ya hisa kwa kukiuka masharti ya CAG wa Marekani

    Kwa kile kinachoitwa muendelezo wa Marekani kuiwekea mbinyo China, sasa Marekani inatarajia kuziondoa kampuni zote za kichina kwenye masoko ya hisa ya Marekani kwa kutofuata kanuni za ukaguzi wa Marekani. Kanuni za ukaguzi wa Marekani zinataka kila kampuni inayouza hisa zake Marekani ikaguliwe...
  19. Don Nalimison nimeachana na siasa za Afrika, nitakwenda kufanya harakati Marekani

    DON NALIMISON, I DECIDED TO LEAVE AFRICAN POLITICS FOR THE PURPOSE OF BULDING NEW AMERICAN(U.S.A). I was a Politician in Africa in Tanzania for many years for nothing without gaining support for changing African Continent thinking capacity. Africans in Africa do not need changes only they need...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…