marekani

  1. S

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Mambo ya nje Marekani yataka Tanzania kuacha kukandamiza Upinzani na viongozi wake

    Mwenyekiti wa kamati ya mambo ya nje(Afrika) kwenye bunge la wawakilishi la Marekani, Kareen Bass ameguswa na kukamatwa kwa viongozi wa kisiasa Tanzania, Freeman Mbowe na wengine 11. Kareen amesema mamlaka za Tanzania inatakiwa kuacha kukandamiza vyama vya upinzani na viongozi wake. Zaidi...
  2. L

    JamiiForums Tanzania Siri ya Marekani kurudia kurudia kauli ya njama ya “virusi vya Corona kuanzia maabara Wuhan”

    Wakati juhudi za kupambana na janga la COVID-19 zinaendelea kwa ushirikiano kote duniani, wanasiasa na vyombo vya habari vya Marekani wamejitahidi kuzusha kauli isiyo na msingi ya “virusi vya Corona kuanzia maabara Wuhan”. Kumekuwa na swali la kwa nini wana uraibu wa kufanya hivyo, bila kujali...
  3. JamiiForums Tanzania Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Marekani ajiuzulu baada ya kugundulika shoga

    Katibu mkuu wa TEC ya Marekani ama baraza la maaskofu katoliki wa Marekani amejiuzuru wadhifa wake baada ya kugundilika kua ni shoga. Askofu huyo amegundulika kua ni shoga baada ya taarifa kuibuka kua yeye hua ni mhuzuriaji mzuri kwenye bar za mashoga nyakati za usiku na pia amegundulika...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Havana Syndrome: Ugonjwa unaotesa wanadiplomasia na majasusi wa Marekani huku Urusi ikishutumiwa kuhusika

    Ugojwa huu ulianzia huko HAVANA nchini Cuba, ukiwapata wanadiplomasia wa Marekani na Canada na baadae kusambaa katika balozi nyingine za Marekani na kuwapata mashushushu wa Marekani (CIA)! Cha ajabu ugonjwa huu unawapata mabalozi na maafisa wa CIA hasa wale wanaojihususha kuichunguza Russia...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani yatahadharisha raia wake kwenda Uingereza

    Kituo cha Kudhibiti na Kuzuia Magonjwa (CDC) kimewatahadharisha raia wa Marekani kuhusu kwenda Uingereza ambapo kumekuwa na ongezeko la maambukizi ya #COVID19. CDC wamesema kama kutakuwa na ulazima sana wa mtu kwenda Uingereza ni vyema kwanza akawa amekamilisha dozi ya chanjo. Uingereza...
  6. JamiiForums Tanzania Serikali ya Tanzania lazima iwatambue Watanzania wanaopokea fedha kutoka taasisi ya NED ya Marekani kuchagiza harakati za kisiasa

    Taasisi ya NED au National Endowment for Democracy ni taasisi ya kimarekani. Taasisi hii iliundwa kushughulikia harakati za kisiasa duniani baada ya shughuli hizo kuondolewa ndani ya idara ya ujasusi ya CIA. CIA imekuwa ikishughulikia harakati za kisiasa zenye malengo ya kuleta vurugu, au...
  7. JamiiForums Tanzania Uzoefu kutoka USA: Kodi mbalimbali zinazotozwa nchini Marekani

    Nawaletea uzoefu wa nchi tajiri inayotupa misaada na namna inavyowakamuawananchi wake kulipa kodi Taxes are imposed on net income of individuals and corporations by the federal, most state, and some local governments. Citizens and residents are taxed on worldwide income and allowed a credit for...
  8. JamiiForums Tanzania Kuondoka kwa Majeshi ya Marekani Nchi Afghanistan kumewaachia maafa makubwa wananchi

    Ni huzuni kweli kweli,nimeona taarifa ya BBC ikionesha mateso wanayopata Raia wa Afghanistan kutokana na vita Kati ya Taleban na Majeshi ya Serikali. Watu Wana njaa,wanauwawa na Wana majeraha ya risasi na mabomu.Marekani wamekosea Sana kuondoka huku wakijua jeshi la Nchi ni dhaifu.Matokeo yake...
  9. JamiiForums Tanzania Mmarekani wa Tandale akiwa kwao Marekani na wenzake

  10. C

    JamiiForums Tanzania Mizozo baina ya nchi hizi inaweza kusababisha vita kuu ya 3 ya dunia?

    Uliwengu umekuwa na muda mrefu wa utulivu isipokuwa mizozo ya vita katika mataifa machache vilivyohusisha nchi katika mabara tofauti miaka ya hapo nyuma. Tangu kukamilika kwa vita vya pili vya dunia mwaka wa 1945 hapajawahi kuwa na vita vikubwa vilivyohusisha nchi nyingi kote duniani kuweza...
  11. JamiiForums Tanzania Nyerere alivyojibu maswali ya Eleanor Roosevelt (First lady) wa Marekani mwaka 1959

    Sikiliza mzee wa nondo alivyokuwa akizimwaga mbele kujibu mashambulizi kutoka pande nne. Ikumbukwe kuwa Eleanor Roosevelkt ndiye aliyekuwa mwenyekiti wa tume ya umoja wa mataifa iliyodraft na kupitisha azimio la haki za binadamu. Katika maongezi hayo ameongelea pia maoni yake kuhusu swala la...
  12. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Chanjo ya Corona itakayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile inayotumika Marekani

    Waziri wa fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kipaumbele namba moja cha Rais Samia ni afya za Watanzania hivyo chanjo ya Corona itayotumika Tanzania itakuwa sawa na ile iliyoidhinishwa na Ikulu ya Marekani kwa ajili ya kuwachanja Wamarekani. Chanzo: ITV habari Nawasalimu kwa jina la JMT!
  13. L

    JamiiForums Tanzania Kutaja China si jibu kwa Marekani inaposhughulikia tatizo lake la miundombinu

    Kwa siku kadhaa, matukio ya kiusalama yaliyosababishwa na miundombinu iliyozeeka yametokea katika sehemu mbalimbali za Marekani, na kubadilisha maoni ya watu juu ya nchi hiyo iliyotajwa kama ni “gwiji wa mwanzo kabisa wa miundombinu”. Ili kushughulikia tatizo hili, rais Joe Biden “alifanya juu...
  14. JamiiForums Tanzania Wadukuzi wadai fidia ya Tsh Bilioni 162 ili kufungulia mifumo waliyofungia

    Wadukuzi wanaodhaniwa kuhusika na shambulio la kimtandao wamedai malipo ya dola milioni 70 (sawa na Tsh. bilioni 162 na milioni 330) ili kufungulia mifumo waliyodukua. Madai yao yaliwekwa wazi siku ya Jumapili katika mtandao wa kihalifu unaohusishwa na genge la wahalifu wa kimtandao la Urusi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania Dar: Ndege ya kijeshi ya Marekani kwenye uwanja wa ndege wa Julius Nyerere (JNIA)

    Ni ndege aina ya C-17 Globemaster imeonekana terminal 3 ya JNIA tarehe 1 July 2021. Baadhi ya wananchi walisema imebeba Covid-19 vaccine lakini afisa wa ubalozi wa marekani Michael Pryor amedai kuwa ndege imeleta materials kwa ajili ya ubalozi bila kutaja ni materials gani. ==== UPDATES: Dar...
  16. H

    JamiiForums Tanzania Huko Afghanistan Taliban siku si nyingi watatawala Afghan yote, na kwa mara nyingine Marekani imefeli tena

    ilifeli Vietnam, Iraq, na sasa Afghanistan Over 1,000 Afghan troops flee Taliban into Tajikistan More than 1,000 Afghan troops fled into neighbouring Tajikistan on Monday following clashes with the Taliban, as the insurgents amassed momentum on the battlefield. © ASSOCIATED PRESS Afghan...
  17. I

    JamiiForums Tanzania Balozi Mulamula: Marekani sasa wanaamini ni salama kuwekeza Tanzania

    Kupitia chombo fulani cha habari, nimemsikia Waziri wa Mambo ya Nje, Balozi Liberatha Mulamula akidai kwamba kwa sasa Wamarekani wanaamini kuwa ni salama kuwekeza Tanzania, lakini hasemi ni wakati gani Wamarekani waliona si salama kuwekeza Tanzania.
  18. JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani zatimiza miaka 60 ya kushirikiana

    Serikali ya Tanzania imeahidi kuendelea kushirikiana na serikali ya Marekani katika nyanja mbalimbali za maendeleo kama ilivyokuwa katika kipindi miaka 60 iliyopita. Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Balozi Liberata Mulamula amesema ushirikiano baina ya mataifa hayo ni...
  19. JamiiForums Tanzania Marekani: Kampuni ya Donald Trump yafunguliwa mashtaka ya kodi

    Kampuni ya aliyekuwa Rais wa Marekani mwaka 2017-2021, Donald Trump pamoja na Mkuu wa Idara ya Fedha wameshtakiwa kwa makosa yanayohusiana na Kodi. Kwa mujibu wa Waendesha Mashtaka, mpango huo wa miaka 15 ulisaidia Watendaji kukwepa Kodi kwa kutoa marupurupu kama Ada ambayo yalifichwa kutoka...
  20. JamiiForums Tanzania Hatimaye Kolabo yangu na Wanamuziki wa kike wa MAREKANI Kama video queens imekamilika. Kazi ni mpya kabisa

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…