marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Kwanini China iwe ajenda ya siri mkutano wa wafanyabiashara kati ya Marekani na Afrika?

    Viongozi wa kisiasa na biashara wa Marekani na nchi za Afrika walifanya mkutano wa kilele kati yao kwa njia ya video kuanzia tarehe 27 – 29 Julai, ukiwa na kauli mbiu ya “njia mpya za kuimarisha ushirikiano kati ya Marekani na Afrika”. Kwa Marekani mkutano huu ni moja ya hatua za Rais Joe Biden...
  2. Idugunde

    JamiiForums Tanzania CHADEMA tambueni Tanzania ni dola huru, Marekani haina mamlaka kutetea uhalifu wa wanasiasa kama Mbowe

    Mnataka kutoa macho kuwa ziara ya Waziri wa masuala ya siasa wa Usa Ms Nuland kama nafasi ya kupenyeza kilio chenu cha uongo kuwa kuna ukiukwaji wa haki za kibinadamu na ugamizwaji wa haki za wanasiasa. Huku mkitolea mfano ishu ya mwenyekiti Mbowe. Tambueni tu kuwa hili ni taifa huru na dola...
  3. M-mbabe

    JamiiForums Tanzania Marekani yajitosa kesi ya Freeman Mbowe

    Kukamatwa na kushitakiwa kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe kumeibua mjadala, ambapo nchi ya Marekani imeshauri kuwepo na majadiliano kati ya Rais Samia Suluhu Hassan na vyama vya upinzani. Hayo yameelezwa jana na Naibu Waziri wa Nchi wa Masuala ya Siasa wa Marekani, Victoria Nuland...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Marekani kuimarisha ushirikiano

    Marekani imesema itaendeleza kushirikiana na Tanzania katika maeneo mbalimbali ikiwemo Sekta ya Afya. Hayo yameelezwa na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani anayeshughulikia Siasa, Balozi Victoria Nuland leo Agosti 04, 2021 Akizungumza na Rais Samia Suluhu Hassan, Balozi Nuland pia amesema...
  5. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani: Utawala wa Rais Joe Biden kuendeleza Sera ya kudhibiti wahamiaji

    Utawala wa Rais Joe Biden umesema utaongeza muda wa Sera ya "Title 42" iliyokuwepo katika Utawala wa Donald Trump, ambayo inaruhusu Marekani kufukuza wahamiaji wasio na Hati. Uamuzi huo unakuja wakati Wahamiaji wakiendelea kumiminika katika Mpaka wa Marekani ikielezwa 210,000 waliripotiwa mwezi...
  6. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Marekani: Wasiochanjwa kutoruhusiwa kuingia Gym na kwenye migahawa

    Meya wa Jijini New York, Bill de Blasio ametangaza zuio la kuingia sehemu za mazoezi na migahawa. Amesema wasiochanjwa hawataweza kushiriki katika shughuli nyingi. Sera hii itaanza kufanya kazi wiki chache zijazo. ====== New York(CNN)New York City will require proof of vaccination to enter...
  7. L

    JamiiForums Tanzania Je, Marekani inaeneza kwa vitendo “fikra za vita baridi” barani Afrika?

    Mkutano wa uchumi na biashara kati ya Marekani na Afrika ulimalizika hivi karibuni. Wachambuzi wanasema kuwa serikali ya awamu mpya ya Marekani inayoongozwa na rais Joe Biden inatarajia kutumia fursa ya mkutano huo kudhoofisha ushawishi wa China barani Afrika. Hii ina maana kuwa Marekani...
  8. The Assassin

    JamiiForums Tanzania Wanaokataa chanjo ya COVID-19 sio Tanzania tu, Marekani watu Milioni 100 wamegoma kuchanjwa

    Leo mshauri mkuu wa afya wa Serikali ya Marekani Dr. Antony Fauci amesema hawafikirii kwenda lockdown nyingine lakini Marekani ijiandae kwa mambo mabaya zaidi kwa sababu ya watu Milioni 100 ambao hawataki chanjo. Fauci anasema itumike kila mbinu ya kuwashawishi, kuwaomba ili wabadili mawazo...
  9. J

    JamiiForums Tanzania BBC na Corona: Kenya tayari ina deni la $ 1.5 bilion za Marekani, Tanzania haina deni lolote hadi sasa

    BBC Dira ya Dunia imefanya tathmini ya mikopo waliyopewa nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika Mashariki ili kukabiliana na janga la Corona ikiwemo uhifadhi na usafirishaji salama wa chanjo. BBC imegundua kuwa Kenya na Rwanda ndio zimepewa mikopo mikubwa na nchi wahisani na hivyo kuwaongezea kwa...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Marekani: Robo tatu ya wagonjwa wa COVID 19 wanaolazwa wana chanjo ya COVID- 19

    Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na...
  11. Ritz

    JamiiForums Tanzania Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

    Wanaukumbi. Baada ya Bawacha kufanya maandamano kwenye Ubalozi wa Marekani wakishinikiza Mbowe, aachiwe na kutuma Tamko lao Ubalozini, majibu ya Balozi wa Marekani haya hapo chini.
  12. L

    JamiiForums Tanzania Marekani yaendelea kutafuta njia za kufanya asili ya COVID-19 kuwa karata ya kisiasa

    Kwa mara nyingine tena suala la asili ya COVID-19 limerudi tena katika medani ya kisiasa. Msemaji wa wizara ya mambo ya nje wa China Bw. Zhao Lijian amekuwa akitoa msimamo wa China mara kwa mara kuwa suala hili la kiafya na kisayansi linatakiwa kushughulikiwa na wataalam wa maeneo hayo, kwa...
  13. Dong Jin

    JamiiForums Tanzania Marekani: Waliochanjwa wahimizwa kuendelea kuvaa barakoa

    Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani. Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa. Maamuzi ya...
  14. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya Viongozi wa BAWACHA waliofika Ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe waanza kukamatwa

    Mwenyekiti wa Bawacha Temeke, Neema Mwakipesile anadaiwa kuchukuliwa na Polisi usiku wa manane kwa kinachodaiwa tuhuma za kufika ubalozi wa Marekani kushinikiza Mbowe aachiwe akishirikiana na akina mama wengine wa CHADEMA. Bado haijafahamika kama ataunganishwa kwenye kesi ya ugaidi...
  15. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Kama Jenerali wa Marekani amewasili nchini, kesi ya Mbowe itatazamwa upya

    Kwa sababu Wamarekani ni watu ambao wanapenda civil liberties,haki ,za raia,basi njia nzuri ya kumheshimu yule Jenerali aliyefika hapa jana ni kumwachia huru Mbowe. Yule mtu inaelekea amekuja katika hii safari kwa sababu ameona nchi hii inaanza kuwa na intestinal problems. Kwamba " Kama...
  16. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Marekani Afrika afungua mazoezi ya kijeshi baina ya US na Tanzania

    Kamanda wa Kamandi ya Afrika ya Jeshi la Marekani (AFRICOM) Jenerali Stephen Townsend, alikuwa na ziara ya siku mbili nchini Tanzania, tarehe 27 na 28 Julai, ambapo alikutana na maafisa waandamizi wa jeshi na kufungua mazoezi ya kwanza ya pamoja ya kijeshi ya nchi hizi mbili toka mwaka 2017...
  17. Bilionea Asigwa

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tanzania ni nchi inayoongoza katika masuala ya Usalama Afrika

    Taarifa iliyotolewa na Ubalozi wa Marekani hivi leo inasema Tanzania ni nchi kiongozi katika masuala ya usalama katika Bara la Afrika. Hayo yamesemwa leo na General Stephen Townsend na kuripotiwa na Ubalozi wa Marekani nchini Tanzania. General Townsend ndiye mkuu wa Jeshi la Marekani Command...
  18. N

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Marekani imechanja 2.4% ya watu wake na J&J

    Wakati akitoa hotuba ya uzinduzi wa chanjo ya Covid 19 aina ya Johnson and Johnson. Waziri wa Afya, Dr. Dorothy Gwajima amesema kuwa Serikali ya Marekani imetumia chanjo hiyo kuwachanja raia milioni 8 wa Marekani. Sasa ukiangalia population ya USA ni watu 332,915,073. Ambapo hao milioni 8 ni...
  19. Mzalendo_Mwandamizi

    JamiiForums Tanzania Kwanini Balozi za Marekani, Uingereza, EU na Canada hazijatoa tamko lolote kuhusu kukamatwa Mbowe?

    Kwa wanaofuatilia masuala ya diplomasia, wanatambua kuwa mara nyingi balozi za Marekani, Uingereza, Canada na Umoja wa Ulaya nchini Tanzania huwa mstari wa mbele kutoa matamko pindi viongozi wa upinzani wanapokamatwa. Kumbukumbu ya karibuni ni balozi hizo zilipoijia juu serikali ya Magufuli...
  20. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: BAWACHA watinga Ubalozi wa Marekani kushinikiza Freeman Mbowe aachiwe huru

    Baraza la Wanawake la Chadema (BAWACHA) ambalo taarifa zinaonyesha kwamba ndio Baraza bora la wanawake Barani Afrika kwa sasa, limefika kwenye ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuchagiza kuachiwa kwa Mwamba wa siasa barani Afrika, Freeman Mbowe ambaye amesingiziwa ugaidi ili kumkomesha baada...
Back
Top Bottom