marekani

  1. JamiiForums Tanzania Marekani kufungua Mpaka wake wa Ardhi kwa waliopata Chanjo

    Marekani imesema itafungua Mpaka wake wa Ardhi na Mataifa ya Mexico na Canada kuanzia Novemba kwa Wasafiri waliopata Chanjo dhidi ya CoronaVirus. Taifa hilo lilibana masharti ya kusafiri kutoka Mexico na Canada tangu Machi mwaka 2020 ili kudhiti maambukizi. Hata hivyo, wale ambao bado...
  2. JamiiForums Tanzania California, Marekani: Kuchomoa kondomu bila taarifa wakati wa tendo yatangazwa kuwa kosa kisheria

    Gavana wa jimbo la California Gavin Newsom amesaini sheria inayopiga marufuku utoaji wa mipira ya kondomu bila makubaliano iliyowasilishwakatika muswada ulioitwa "stealthing". Sheri ampya inaongeza kipengele katika ufafanuzi wa sheria ya jimbo hilo kuhusu ngono na hivyo kuifanya California kuwa...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Peter Kupaza, Mtanzania aliemuua dada yake nchini Marekani

    Mimi ni mpenzi wa makala ama documentaries, leo wakati naangalia documentaries za The New Detective, nikakutana na stori ya Mtanzania Peter Kupaza ambae alimbaka na kumkata kata vipande dada yake na kuvitupa mtoni huko nchini Marekani na hatimae akakamatwa na kuhukumiwa Maisha. Kuna hii story...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Bilionea mwingine afariki kwenye ajali ya ndege Marekani

    Mzuka wanajamvi! Hizi ajali za ndege binafsi na Helicopter zinaua sana matajiri sasa hivi. Ajali mbaya ya ndege binafsi The single-engine Cessna P210N ilianguka DeKalb-Peachtree Airport Atlanta Georgia mda mfupi baada ya kupaaa. The plane 'was taking off, went straight up, and it took a...
  5. JamiiForums Tanzania Marekani kufanya mazungumzo na Viongozi wa Taliban

    Marekani itafanya mazungumzo rasmi na wanamgambo wa Taliban kwa mara ya kwanza, tangu Marekani ilipoondoa vikosi vyake nchini Afghanistan. Hayo yamethibitishwa na wizara ya mambo ya nje ya Marekani mjini Washington, katika tangazo lililosema kwamba ujumbe wa nchi hiyo utakutana uso kwa uso na...
  6. JamiiForums Tanzania Mafataki yanayopigwa kila siku na Ubalozi wa Marekani ni kero

    Wagwaniiii Ebhana serikali mbona inafumbia macho hawa jamaa wa ubalozi wa Marekani leo ni siku ya 4 mfululizo wanapiga mabomu sjui mafataki mda mwingne milio kama ya bunduki. Hii ni kero kwa wananchi bhana kuna wagonjwa bhana mitaani huku mnazingua aisee.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hadi 07/10/2021 wananchi wa Marekani waliochanja ni 65%. Lakini maambukizi mapya ni 102,000 na vifo kwa jana ni 1,709!

    Hapo ndkpo mjue hii chanjo ya corona haisaidii kitu. Marekani ni moja ya mataifa ya kibeberu yaliyofanikiwa kuchanja zaidi ya asilimia 60 ya watu wake. Kiwango hicho kinadharia kinapaswa kuikinga jamii na maambukizi mapya kwa kuleta kitu kiitaacho "herd immunity", Lakini kwa corona hakuna...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Vita ya biashara iliyoanzishwa na Marekani haikuweza kurudisha nyumbani kampuni zake kutoka China

    Waziri wa biashara wa Marekani Gina Raimondo ameviambia vyombo vya habari vya nchi hiyo kuwa nchi hiyo inapaswa kushirikiana na washirika wake wa Ulaya ili kuzuia China kupata teknolojia ya hali ya juu na kupunguza kasi ya maendeleo ya uvumbuzi ya China. Pia ametaja kuwa kanuni za sekta ya...
  9. I

    JamiiForums Tanzania Hii ni proof kuwa bila Marekani maisha hayawezekani

    Angalia jana insta, whatsap na facebook ilivyopotea na watu tukapoteana kabisa. Tusijaribu kuwaita mabeberu mana wameshikilia maisha yetu na imawezekana walifanya hivyo ili waone how do we value them. Hata case ya Mbowe wakiamua kumwambia samia amtoe gerezani fasta anamtoa vinginevyo wanamute...
  10. JamiiForums Tanzania Mwanamuziki Mashonda (Marekani) ndio Mwanaharakati wa kwanza kutoa Kitabu Cha Talaka baada ndoa.Na kuachika, leo Ni Mpweke.

    Kitabu chake Mashonda tifrere Mwanamuziki wa kike Nchini Marekani, kimejikita zaidi katika changamoto za ndoa na jinsi ya kutuliza nafsi unapopewa Talaka ndani ya ndoa. Nimetambulisha video yenye sura yàke. Kitabu Ni Kama unavyoona kava. Nitakiwasilisha TANZANIA.
  11. JamiiForums Tanzania Shinikizo laongezeka dhidi ya serikali ya Ethiopia kuhusu jimbo la Tigray

    Marekani yasema itaiwekea vikwazo Ethiopia baada ya serikali ya nchi hiyo kuwafukuza maafisa saba wa mashirika ya kutoa misaada ya Umoja wa Mataifa ambao wanadaiwa kujihusisha na maswala ya ndani ya nchi hiyo. Wizara ya mambo ya nje ya Ethiopia imewapa maafisa saba wa Umoja wa Mataifa muda...
  12. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani: Waganda waandamana kupinga utawala wa muda mrefu wa Rais Museveni

    Waganda waishio Marekani ambao ni wakereketwa wa chama cha NUP kinachoongozwa na Robert Kyagulanyi maarufu kama Bobi Wine wameandamana kuelekea Ofisi za Umoja wa Mataifa(UN), wakipinga utawala wa muda mrefu wa Rais Yoweri Museveni Kiongozi wa maandamano hayo aliyekuwa NewYork, Mathias Mpuuga...
  13. JamiiForums Tanzania Sera za Marekani na China: Changu changu chako changu, ukanda mmoja njia moja (protectionism policy)

    SERA ZA MAREKANI NA CHINA: CHANGU CHANGU CHAKO CHANGU,UKANDA MMOJA NJIA MOJA (PROTECTIONISM POLICY) Leo12:25hrs 26/09/2021 Kila mtu analinda cha kwake sisi tu huku Tanzania tuna dharau vya kwetu hata panadol tunataka za kenya tukienda dukani,Watanzania tunadharau lugha yetu ya Kiswahili lakini...
  14. JamiiForums Tanzania Aliyoyazungumza Rais Samia baada ya kuwasili nchini akitokea New York - Marekani

    Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Samia Suluhu Hassan amerejea nchini na kupokelewa na watanzania wakiongozwa na Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt. Philip Mpango katika Uwanja wa Ndege wa...
  15. R

    JamiiForums Tanzania Kudorora mapokezi ya Rais Samia kutoka Marekani Tatizo limeanzia hapa...

    Sote ni mashahidi tangu juzi kuna kakikundi ambako sidhani kama ni watanzania kweli au wachumia tumbo tu wanaolipwa kushibisha nafsi zao au la! Tangu juzi tumeshuhudua kukurukakara za hapa na pale za kutaka kuaminisha watanzania wachache kuwa Rais Samia Suluhu alitoa hotuba ya kihistoria. Ile...
  16. JamiiForums Tanzania Mapokezi ya Rais akitokea Marekani kwenye UNGA ni ufujaji wa kodi za walalahoi

    Hii nchi mbona tumekuwa watu wa ajabu sana? Kwanini waliopewa mamlaka ya kiuongozi wamekuwa wajinga kiasi hiki? Hivi kweli hili nalo ni tukio la muhimu kiasi hicho? Rais kurejea nchini ni tukio la kufanya kuwa kama shughuli ya kitaifa? Kwanini lisingefanyika kwa protocol za kawaida tu? Huu ni...
  17. JamiiForums Tanzania Marekani: Aliyehukumiwa kwa mauaji ya George Floyd kukata rufaa

    Aliyekuwa Polisi wa Jiji la Minneapolis ambaye mwezi Juni mwaka huu alihukumiwa kifungo cha miaka 22.5 kwa mauaji ya Mmarekani Mweusi George Floyd amesema atakata rufaa Derek Chauvin amedai kulikuwa na masuala kadhaa na waliotoa Hukumu dhidi yake, na Kesi haikupaswa kusikilizwa Minneapolis...
  18. JamiiForums Tanzania Diaspora Marekani mmetenda haki kwa Rais Samia, dunia imeona

    Wanaukumbi. Watanzania wa Diaspora wakisindikizwa na friends of Tanzania waliofika kumpa sapoti Raisi wetu wakati alitoa speech huko UN. Kuna kikundi cha watu kama watatu inasemekana ni Wajamaica wapewa pesa kubeba mabango ya Mbowe kimehangaika sana kuwarubuni lengo ni kumwondolea Rais Suluhu...
  19. JamiiForums Tanzania Mjumbe maalum wa Marekani nchini Haiti, ajiuzulu

    Mjumbe maalumu wa utawala wa rais Joe Biden nchini Haiti amejiuzulu kwa kupinga kile amechosema kufukuzwa bila kujali utu kwa wahamiaji wa taifa hilo pindi wanapoingia Marekani. Haiti ni nchi ambayo imekumbwa na mapigano ya wenyewe kwa wenyewe na mafaa ya majanga, maafisa wamesema Alhamisi...
  20. JamiiForums Tanzania Hongera Rais Samia, Kwenda US, Kuhutubia UN, Safari ya Kuzindua Filamu Yako ya Royal Tour, Tunaomba Tukusindikize, Dreamliner Yetu Itue New York

    Wanabodi, Kila nipatapo fursa, huwaletea mfufululizo wa makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" Makala ya leo ni bandiko la pongezi na ombi. Pongezi ni kwa Rais Samia, kusafiri kwa kukwea pipa la watu, kwenda nchini Marekani, na kuhutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, UNGA. Ombi ni kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…