Kuelekea mwishoni mwa vita ya pili ya dunia 1945 , vita upande wa Ulaya ni kama ilikuwa imeisha, hata hvyo upande wa Pacific ndo ilikuwa inashuhudiwa pambano kubwa zaidi kuwahi kutokea ,
kisiwa cha Okinawa ambacho ni sehemu ya ardhi ya Japani sasa kilikuwa kinashambuliwa na wamarekani...Japan...
Marekani na washirika wake wanaumia sana China kuja juu katika anga za mbali. Wanatamani tu wafeli au vyombo walivyo tuma vilipuke.
Mwezi huu wa tano chombo cha China kitatua Sayari ya Mihiri Mars. Tayari kimeshaingia Orbit ya Mars ikiizunguka nakuchagua sehemu muafaka ya kutua.
Pia tayari...
Marekani yaanza kuondosha wanajeshi Afghanistan.
Marekani imeanza awamu ya mwisho ya kuwaondowa wanajeshi wake nchini Afghanistan, huku mashambulizi mapya yakiripotiwa licha ya ulinzi kuimarishwa kwenye maeneo kadhaa ya taifa hilo la Asia.
Wanajeshi wawili wa Afghanistan waliuawa na wengine 18...
Hasira zaenea baada ya polisi Marekani kumuua mwanamichezo wa Afrika Kusini.
Kifo cha mchezaji wa mpira wa rugby wa Afrika Kusini, Lindani Myeni akiwa mikononi mwa polisi huko Honolulu, Marekani, kimeibua ghadhabu na hasira kali miongoni mwa watu wa Waafrika Kusini.
Kumefanyika maandamano ya...
Wakazi wa Florida wameingiwa na hasira wakati wanasayansi wakijiandaa kuachia mamilioni ya mbu wa ambao wamefanyiwa marekebisho ya jini, kuanza maisha katika maeneo yao, gazeti la The Telegraph limeandika.
Jaribio l utafiti, linaloongozwa na kampuni ya Oxitec, litahusisha takriban mbu milioni...
Afisa wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani anayeshughulikia mambo ya Afrika Robert Godec amesema, Marekani itawaonesha watu wa Afrika kuwa, tofauti na mtindo wa maendeleo ya uchumi unaohimizwa na China barani Afrika, Marekani itaangalia zaidi maslahi ya Afrika, kitu ambacho kitaivutia zaidi...
Leo ubalozi wa Marekani umetoa taarifa kua viongozi wa kampuni ya kuzalisha umeme wa gesi ya Songas imekutana na Balozi wa Marekani na kufanya mazungumzo kuhusu nishati ya Tanzania.
Historia ya Songas Tanzania inajulikana ilivyojawa na utata na nakumbuka mwanasheria Mkuu wa Serikali Bw. Kilagi...
Biden ameyasema hayo katika hotuba yake ya kwanza kwa bunge la Marekani, baada ya kutimiza siku 100 tangu aingie madarakani. "Marekani ipo katika hatua ya kusonga mbele tena." Ni sehemu ya maneno ya kutia moyo ambayo ameyasema katika hotuba iliyopindukia takribani saa nzima yenye kugusia masuala...
Wakati wa kupigania Uhuru Nyerere ilibidi asafiri kwenda ulaya na Marekani kuhutubia umoja wa mataifa ili aaminiwe apewe uhuru.
Kwenye njaa ya mwaka 1984 nyerere pia alipanda ndege kwenda kuomba msaada wa chakula na akapewa mahindi ya yanga. Uku nchini kwake akiendelea kuwaimbisha watu siasa...
Wanangu wana jamvi. Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Wanasema kwenye nembo ya taifa lao IN GOD WE TRUST.
Ila kiukweli inapaswa iwe IN GUN WE TRUST. Wanapenda sana bunduki kiasi cha kumalizana wenyewe kwa wenyewe. Wanachukia ugaidi wa nje lakini wanafanyiana ugaidi wa ndani kwa kutumia...
Marekani itagawana dozi za Chanjo ya AstraZeneca zipatazo Milioni 60 na Mataifa mengine. Licha ya kuwa Mamlaka hazijatoa idhini ya AstraZeneca kutumika kwa Umma, Marekani imekuwa na akiba ya Chanjo hizo.
Wakosoaji wamekuwa wakiishutumu Marekani kuhodhi Chanjo wakati Nchi nyingine zina uhitaji...
Ubalozi wa Marekani jijini Dar es salaam umetoa tahadhari ya kiusalama kwa wafanyikazi wake walioko nchini Tanzania kuhusu hatari ya Kimbunga Jobo kinachoeleka katika pwani ya nchi hiyo na kitaufikia pia mji wa Dar es Salaam.
Kupitia tahadhari kwa wafanyikazi wa ubalozi wake , afisa...
Katika uteuzi wa Tarehe 21/04/2021 Mhe. Rais amemteua Kadari Singo ambaye anadaiwa kuwa Raia wa Marekani.
Je, huyu bwana ameteuliwa kimakosa au huko Marekani yupo special mission?
Kama siyo special mission kateuliwa kwa sheria gani inayoruhusu wageni kusimamia taasisi za umma? Jalada au jina...
Kama nimekosea nisahihisheni. Serikali ya Marekani haijatoa rambirambi rasmi kwetu kufuatia kifo Cha Rais Magufuli.
Lakini Marekani inajisogeza Sana kwa mama wakidai kutaka kutupa 'misaada' ya kupambanana korona. Tusiwaonee aibu! Tuwaambie hatuhitaji msaada wa kupambana na korona! Kama Wana Nia...
Makamu wa Rais wa zamani wa Marekani Walter F. Mondale, Mliberali ambaye alishindwa uchaguzi wa urais uliopuuzwa baada ya kuwaambia wazi wapiga kura kwamba watarajie ongezeko la alifariki dunia siku ya Jumatatu. Alikuwa na miaka 93.
Mondale alihudumu katika jimbo la Minnesota kama mwanasheria...
The American space agency has successfully flown a small helicopter on Mars.
The drone, called Ingenuity, was airborne for less than a minute, but Nasa is celebrating what represents the first powered, controlled flight by an aircraft on another world.
Confirmation came via a satellite at Mars...
Mamalaka za Marekani zimesema wanaojitokeza kupata chanjo ya #COVID19 wamepungua sababu ikitajwa kuwa wengi wanasubiri kuona madhara ya chanjo hizo.
Kaunti ya Mercer iliyoko jimbo la Ohio imetolewa mfano kuwa mwezi Januari watu zaidi ya 500 walipokea chanjo ndani ya siku moja, idadi hiyo...
Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha kampeni.
Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema katika taarifa kuwa vitendo vya serikali ya...
Urusi imewataka wanadiplomasia 10 wa Marekani kuondoka nchini humo katika hatua ya kulipiza kisasi baada ya Marekani kuwafukuza wanadiplomasia 10 wa Urusi kwa madai ya udukuzi na kuingilia kati uchaguzi wa Marekani wa mwaka uliopita.
Wizara ya mambo ya nje ya Urusi imesema John Sullivan, ambaye...
Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020.
Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.