marekani

  1. L

    JamiiForums Tanzania Hatimaye vyombo vya habari vya Magharibi vimeanza kuzungumia maabara ya virusi ya Fort Detrick ya Marekani

    Katika muda wa miezi michache iliyopita, ukitafuta maneno “Fort Detrick” kwa kutumia Google, hakuna chochote cha maana kilichoonekana, na hata baadhi ya watu katika nchi za magharibi, hasa Marekani kwenyewe wengi walikuwa hawajui kama Marekani ilikuwa na maabara ya virusi inayoitwa Fort Detrick...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Kampuni ya Marekani kununua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania

    Ubalozi wa Marekani hapa nchini umetangaza kuwa Kampuni ya Kimarekani, Ward Holdings Intl. itanunua korosho zote zilizobanguliwa Tanzania kwa bei ya juu ya soko Ubalozi huo umesema taarifa hiyo ni kubwa kwa Wakulima wa Korosho nchini na ni faida kwa Tanzania na Walaji wa Korosho nchini Marekani
  3. MO11

    JamiiForums Tanzania Mo Dewji: Simba itafanyia mazoezi Marekani 2022

    Tajiri kijana mwenye hisa zake pale kwa timu bora Afrika Mashariki na namba mbili Afrika Mashariki na Kati Na wa kumi na nne Afrika nzima na wa sabini na moja dunia nzima mbele ya Arsenal Ameshaweka wazi kwamba msimu ujao kwa mabeberu pre-season Sasa wale walioshindwa hata pre season kwa...
  4. beth

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Marekani na Uingereza zatoa tahadhari ya shambulio la kigaidi uwanja wa ndege Kabul

    Mataifa kadhaa yasema kuna tishio kubwa la shambulio la kigaidi katika uwanja wa ndege wa Kabul na kuonya raia wao kuepuka eneo hilo. Australia, Marekanj na Uingereza zimetoa tahadhari zikiwataka Raia ambao tayari wapo nje ya Uwanja huo wa Ndege kuondoka. Zaidi ya watu 82,000 tayari...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani awapongeza polisi kwa kuhitimisha kifo cha muuaji katili

    Naomba kuungana na Balozi wa Marekani Nchini kwa pongezi alizotoa kwa jeshi letu, kweli walifanya kazi stahiki kwa wakati. Zipo clip zinadai askari mmoja aliyevaa kiraia nusura ashambuliwe na wenziwe, niwapongeze wananchi waliopaza sauti kuzuia polisi kushambuliana. Lakini pia niwapongeze...
  6. comte

    JamiiForums Tanzania Wasifu wa balozi mteule wa Marekani nchini Tanzania, Michael Battle

    Michael Battle is an educator, religious leader, and diplomat. Born on July 28, 1950, in St. Louis, Missouri, he was one of twelve children from Jessie Battle Sr., a Pentecostal pastor, and Mary Battle. Michael received his bachelor’s degree from Trinity College (1973), his Master of Divinity...
  7. L

    JamiiForums Tanzania “Hadithi ya Miji Miwili” toleo la kisasa: michango ya China na Marekani katika kutoa chanjo dhidi ya COVID-19

    Mwandishi wa riwaya wa Kiingereza Charles Dickens alifungua kitabu chake maarufu cha “Hadithi ya Miji Miwili” (A Tale of Two Cities) kwa kusema “ulikuwa ni wakati mzuri kabisa, pia ulikuwa ni wakati mbaya kabisa.” Sentensi hii inayojulikana sana pia inafaa kuelezea jinsi China na Marekani...
  8. Sam Gidori

    JamiiForums Tanzania Taliban yatoa onyo kali kwa Marekani, Uingereza kutoendelea kukaa Afghanistan baada ya Agosti 31

    Wanagambo wa Taliban wametishia kuyachukulia hatua mataifa ya Marekani na Uingereza ikiwa watashindwa kuondoa wanajeshi wao kufikia Agosti 31 mwaka huu. Kauli ya Taliban inakuja siku moja baada ya Rais Joe Biden kusema kuwa kuna uwezekano wa kuongeza muda wa wanajeshi wao kuendelea kukaa nchini...
  9. Gama

    JamiiForums Tanzania Maoni juu ya Marekani kujiondoa Afghanistan

  10. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani yaongeza kasi ya kuondoa raia Afghanistan

    Marekani imeomba msaada wa mashirika 6 ya ndege ya kibiashara kusaidia kusafirisha watu kutoka Afghanistan, ikiwa ni jitihada ya kuongeza kasi kuwaondoa Wamarekani na Waafghani walio hatarini Kabul. Rais Joe Biden amesema Marekani imesafirisha watu wapatao 28,000 wiki iliyopita. Maelfu ya...
  11. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Vita vya Afghanistan: Je, Mzozo huu umeigharimu nini Marekani na washirika wake?

    Pamoja na kuondolewa kwa vikosi vya kigeni nchini Afghanistan na taifa hilo kuchukuliwa na Taliban, tunaangalia ni kiasi gani Marekani na washirika wake wa Nato wametumia katika nchi hiyo kwa miaka 20 ya operesheni za kijeshi. Vikosi gani vilitumwa? Marekani ilivamia mnamo Oktoba 2001...
  12. SN.BARRY

    JamiiForums Tanzania Marekani yawapiga changa la macho Uganda kuhusu wakimbizi wa Afghanistan

    Waliwaambia Uganda waandae makazi ya wakimbizi kutoka Afghanistan. Jamaa wakachangamkia fursa. Ila hadi leo ndege haijatua Uganda. Bunge la Uganda limemtaka Waziri Mkuu ajieleze walipo wageni wao, mbona hawafiki. Kinachowauma Waganda ni hela ambazo Marekani waliahidi katika kufanya zoezi hilo...
  13. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Afghanistan: Taliban 'wafanya msako wa nyumba kwa nyumba' Umoja wa Mataifa umeeleza

    Taliban wako kwenye operesheni ya kuwatafuta watu waliofanya kazi kwa vikosi vya Nato au serikali ya zamani ya Afghanistan, waraka wa Umoja wa Mataifa umeeleza. Usema wapiganaji hao wamekuwa wakienda nyumba kwa nyumba kuwatafuta wanaowalenga na kuzitishia familia zao. Kundi hilo lenye msimamo...
  14. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani: Tume ya Biashara yaitaka Facebook iuze WhatsApp na Instagram

    Tume ya Biashara ya Marekani ambayo inahusika na kudhibiti ushindani wa kibiashara imefungua mashtaka dhidi ya Facebook kwa kujimilikisha (Monopolize) soko la mtandao kinyume cha sheria. Shauri hilo limeitaka Facebook iuze Instagram na WhatsApp ambapo awali shauri hilo lilitupiliwa mbali na...
  15. Mzee makoti

    JamiiForums Tanzania Zifahamu Nchi nne zinazounga mkono kundi la Taliban

    Marekani 'ikiikimbia' Taliban zifahamu nchi hizi nne zinazoendeleza uhusiano na kundi hilo CHANZO CHA PICHA,REUTERS Huku Marekani na nchi nyingi za magharibi zikiharakisha kuwoandoa raia wake nchini Afghanistan baada ya kundi la Taliban kuuteka mji mkuu wa Kabul na kuchukua madaraka, kuna...
  16. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Marekani: Umaarufu wa Biden washuka baada ya Mji wa Kabul kutekwa na Taliban

    Umaarufu wa rais wa Marekani Joe Biden umepungua kwa asilimia saba na kufikia kiwango chake cha chini baada ya Taliban kuchukua udhibiti wa Afghanistan, kulingana na uchunguzi wa Shirika la Habari la Reuters / Ipsos. Baada ya mahojiano yaliyofanywa na raia kadhaa wa Marekani siku ya Jumatatu...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Marekani inatarajia kutoa 'booster vaccine' kwa watu wote waliopata chanjo

    Leo Jumatano, serikali ya Marekani inatarajia kutangaza kuanza kutoa chanjo ya pili kwa wale waliopata chanjo ya J&J ama ya tatu kwa waliopata chanjo zingine za kukabiliana na covid 19 kwa watu wote waliopata chanjo. Awali, wiki iliyopita, taasisi ya afya na chakula ya Marekani, FDA ilitoa...
  18. Abdul Nondo

    JamiiForums Tanzania Fahamu Mgogoro wa Taliban na Afghanistan

    Fahamu kundi la Taliban nchini Afghanistan , Mapambano yao dhidi ya Serikali ya Afghanstan na sababu Marekani kupeleka na kutoa Majeshi yake nchini humo. Abdul Nondo, Watu wengi wanapata kujiuliza kuhusu hawa Taliban,ni watu gani ,ni kundi gani,waliibuka vipi ,kwanini wanapigana ,wanataka nini...
  19. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Marekani Nchini Tanzania aingia Kanda ya Nyasa

    Je ataonana na Mwenyekiti wa Kanda hiyo Mchungaji Msigwa ? Ngoja tusubiri tuone Pichani : Akila Mahindi matamu ya Iringa
  20. Richard

    JamiiForums Tanzania Marekani hawajaiacha Afghanistan kwa bahati ambaya. Huenda wakamtumia jasusi wao aliyekuwa makamu wa Rais, Amrullah Saleh

    Marekani leo imetangaza kuongeza vikosi vya majeshi wapatao 1,000 ili kuongeza na kuimarisha ulinzi katika uwanja wa ndege wa Kabul. Aliekuwa rais wa serikali ya vibaraka Ashraf Ghani ambae amekimbilia Oman amedaiwa kutoroka na kiasi kikubwa cha fedha kutoka benki kuu ya Afghanistan na magari...
Back
Top Bottom