marehemu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Hivi Mzee Kinana ameweka bayana tabia zipi za kuigwa za Marehemu Kamanda Mstaafu wa Polisi Zelothe Stephen?

    Katiba ya Nchi ndio inapaswa kuwa muongozo wa kudhibiti tabia na mihemko ya viongozi mahala pa kazi katka nyanja zote. Labda Mzee Kinana ametumia namna mbadala ya kusema umuhimu wa kuboresha katiba ya sasa ili kuondokana na tabia mbaya za baadhi ya viongozi. Nimemsikiliza Mzee Kinana kwenye...
  2. Rais Samia ahani msiba wa Marehemu SACP, Zelothe Stephen

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa Heshima za mwisho kwenye Jeneza la Aliyekuwa Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Arusha Kamishna Mstaafu Marehemu Zelothe Stephen Zelothe wakati alipokwenda kutoa pole nyumbani kwake Jijini Dar es Salaam tarehe...
  3. A

    Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

    - Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem? - Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
  4. Tunaowapa Watu Kazi za Kuandika Vibao vya Majina ya Marehemu Wetu vya Makaburini tuweni nao makini

    Jina la Marehemu nalihifadhi... Kazaliwa tarehe 7 Mwezi July, 2023 Kafariki tarehe 6 Mwezi July, 2023 Kaburi la huyu Marehemu Mpendwa liko Makaburi ya Mzimuni Kawe mita chache tu upande wa Mashariki ulipo Mbuyu mkubwa wenye Vitimbi vingi na Matukio mengi. Kadhia hii hii (ambayo ipo sana...
  5. Turudi nyuma kidogo tujikumbushe waraka mzito alioutoa Lady Jaydee kwa Marehemu Ruge na Kusaga

    Iliandikwa jumatano ya tarehe 1, mwaka 2013 ............................ WOSIA WANGU KAMA IKITOKEA NIMETANGULIA KUFA KABLA YA RUGE AU JOE KUSAGA Watu wanashtuka mtu akiongelea kifo, Utafikiri hawafahamu fika kuwa kila nafsi itakionja, Kwenye maisha yangu nimepitia mambo...
  6. Vicky Kamata asema marehemu mume wake "Alikuwa na vinyumba vya kawaida na msururu wa watoto!"

    Nakuomba msamaha mume wangu kwa kuwa mimi ni Mkatoliki na Imani yangu inaniambia unaona na unajua kila kitu kinachoendelea kati yangu na wanao. Najua muda utaongea lakini kwa kuwa nami ni binadamu naomba niseme yafuatayo! Ni kweli mimi ni kiumbe dhaifu na mwenye dhambi nyingi tu kama wengine...
  7. W

    Ina maana gani kufuatwa na kivuli cha marehemu?

    Je, unapo ambiwa kivuli cha marehemu kina kufuata huwa inamaanisha nini?
  8. Angekuwepo Marehemu Malik wa AFRICAN Sport ya Tanga " angecheza" peke yake mechi ya kesho kwa sababu alikuwa anawamudu sana Simba

    Ni ngumu sana kutofautisha soka la bongo na uchawi. Kwenye Vilinge vya uchawi kwenye mpira wa bongo huwaga kuna msemo "Hii mechi imechezwa na mtu fulani" au " imechezwa na tawi fulani". Maana yake ni kwamba mtu huyo ndio ametoa "wataalamu" wa "kucheza/kuroga" mechi husika au yeye mwenyewe...
  9. Tundu Lissu atembelea kaburi marehemu Alphonce Mawazo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu ameitembelea familia ya aliyekuwa wanachama wa chama hicho marehemu Alphonce Mawazo ambaye aliuawa kwa kukatwa mapanga katika kijiji cha Chikobe Wilaya ya Geita mkoani Geita. Pia soma > TANZIA - Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Geita, Alphonce Mawazo auawa...
  10. W

    Naomba picha za Tundu Lissu akihiji kaburi la marehemu Hayati Magufuli

    Kama tujuavyo kuwa mheshimiwa sana upande ule, ndugu Tundu Lissu, aliitangazia nchi kuwa anaenda Chato kuhiji kaburi la JPM. Hilo lilitokea juzi kama sio majuzi. Alisema 'lazima' afike. Baadae tukasikia UVCCM imepiga marufuku 'madange' hayo na kutoa tamko kwa chadema kuwa 'mdako' huo au 'kidali...
  11. Tafadhali baada ya Simba Day naomba 'Utamaduni' huu mzuri wa Marehemu Mzee Wetu 'Bamchawi' urejewe

    GENTAMYCINE naomba baada tu ya Tamasha Kubwa la Simba Day tarehe 6 August, 2023 mambo haya Mawili muhimu sana yafanyike kabla Timu haijaenda Tanga kwa Mechi za Ngao ya Jamii na kuanza kwa Ligi Kuu ya NBC na Michuano Miwili ya Kimataifa..... 1. Waitwe Wazee Wetu wa Kikwajuni Zanzibar na Wazee...
  12. TANZIA Jecha Salim Jecha afariki dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Jeshi Lugalo

    Aliyekuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) aliyefuta uchaguzi 2015 na kupata umaarufu mkubwa, Jecha Salim Jecha leo amefariki Hospitali ya Lugalo jijini Dar es Salaam na mwili wake utapelekwa Zanzibar kwa maziko. Jecha Salim Jecha alipata umaarufu mwaka 2015 baada ya kufuta matokeo...
  13. Rais Samia awatembelea Mzee Makamba, Mama Maria Nyerere pamoja na Familia ya Marehemu Membe leo 14 Julai 2023

    Kwa nyakati tofauti leo Julai 14 2023 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan ametembelea na kumfariji Mama Dorcas Membe Mjane wa Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje Hayati Bernard Membe nyumbani kwake Mikocheni Jijini Dar es Salaam. Rais Samia pia amemtembelea Katibu Mkuu...
  14. Stahiki za Familia katika Simu/Laini ya Marehemu

    Unajua kuwa ndugu au jamaa yako akifariki una uwezo wa kupata taarifa zake na miamala yake? Jibu la swali hili linapatikana katika kanuni mpya za Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (CRA) za mwaka 2023? Kanuni za Mawasiliano ya Kielektroniki na Posta za 2023 (Usajili wa laini za simu) sasa...
  15. Mwili wa Marehemu kufukuliwa ili uzikwe upya baada ya utambuzi

    Mwili wa kijana mmoja unaosadikika kuwa miongoni mwa miili mitano iliyopatikana eneo la Mlima Senjele wilayani Mbozi Mkoa wa Songwe Mei 10 mwaka huu, umefukuliwa baada ya kutambuliwa kwa picha kisha kwenda kuzikwa kwao. Kamanda wa Polisi Mkoani hapa ACP Theopista Mallya amewaambia waandishi wa...
  16. Remmy Ongala aliwahi kukata rufaa akipinga kushindwa na Masoud sura mbaya katika shindano la wenye sura mbaya

    Mwanzoni mwa miaka ya 2000 kuliwahi kuandaliwa shindano la wenye sura mbaya Tanzania kwa upande wa wanaume. Wanawake walikataa hivyo likaandaliwa la wanaume tu. Washiriki walikuwa wengi lakini waliofanikiwa kufika top 3 walikuwa ni Mzee Jangala, Remmy Ongala na Masoud Sura Mbaya. Baada ya...
  17. Watu wengi wamehitimisha kwamba MC Joel alijirusha, wanasahau kuhoji kwamba kuna kurushwa kwa nguvu na kutishiwa ujirushe

    Ndio kawaida ya watu wengi kufikia conclusion wakiona mtu karuka ghorofani basi kajirusha, Tukumbuke pia kuna kuruka kwa mazingira haya. A. Kurushwa na mtu au watu wengine kwa nguvu, hapa inaweza kuwa mtu anasukumwa kwa nguvu ili adondoke, kuna watu wana nguvu hana haja kukusukuma anakurusha...
  18. Naota Marehemu ananitokea

    Nimefiwa na ndugu yangu mwaka umepita. Sasa naota usiku ananitokea akifurahia maisha yangu ya mahangaiko au akiona nami kufa siku zijazo! Mara kadhaa tunapigana sana. Yote hayo hutokea kwenye ndoto. Wakati wa uhai tulikua marafiki japo alidai zaidi ya nilivyoweza. Nitafanya nini niepuke...
  19. Haya ndio maisha ya Marehemu Diego Maradona aliewahi kuwa mwanasoka Nguli kutoka Argentina,

    Ni moja kati ya wanasoka nguli waliowahi kutikisa ulimwengu wa soka zama zake, Fatilia mkasa wake.. Part 1:: Diego alizaliwa sehemu masikini alishindwa kuweza hata kumudu nauli ya kwenda kufanya majaribio ya kujiunga na academy, Rafiki yake anampigia connection ili apate nauli: WHILE THIS...
  20. Hapa Nape Anamaanisha Nini? Kwamba Membe Aliandika Mambo Mazito Sana au?

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema katika kitabu cha historia ya maisha ya Membe alichokiandika mwenyewe enzi za uhai wake huenda kuna sehemu kitawakwaza watu hivyo anaomba samahani kwa niaba ya marehemu. Nape ameyasema hayo wakati akitoa salamu za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…