Mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu

Lior

JF-Expert Member
Jul 30, 2018
766
1,957
MAMA mmoja mwenye umri wa miaka 37 ameshitakiwa nchini Sweden kwa kufanya mapenzi na mifupa ya maiti. Mama huyo pia alipatikana na makala aliyoaandika akifurahia kuwa mtu wa kwanza kufanya mapenzi na mifupa ya mtu aliyefariki dunia zaidi ya miaka 50 iliyopita.

Mkuu wa mashitaka Bi Kristina Ehrenborg-Staffas ameliambia shirika la habari la Reuters kuwa bibi huyo anakabiliwa na mashitaka ya kuvuruga amani ya marehemu.

Lakini mama huyo amejitetea akisema haoni kama amefanya kosa kwani anafurahi kufanya mapenzi na maiti. Wakati alipokamatwa alipatikana akiwa na mifupa ya binadamu, mafuvu na viungo vyengine.
****
Sidhani kama kuna kiumbe asietabirika kama binadamu.
 
Halafu kuna watu wanahangaika kupaka vumbi Congo mara kunywa viagra mara energy drinks na panadol ili mradi tu kuwaridhisha hawa viumbe.
 
Halafu kuna watu wanahangaika kupaka vumbi Congo mara kunywa viagra mara energy drinks na panadol ili mradi tu kuwaridhisha hawa viumbe.
🤣🤣🙌
 
Back
Top Bottom