Mwezi uliopita, nilihudhuria mazishi ya rafiki yangu mmoja.
Kutokana na maisha yake aliyoishi hapa duniani, alikuwa haendi jumuiya, wala kutoa michango ya huko anakoabudia.
Umauti ulipomfika, kukawa na utata; kule kwenye dhehebu lake wakakataa kumzika, kwa sababu alikuwa haudhurii jumuia, wala...