marafiki

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. nodetz

    JamiiForums Tanzania Natafuta marafiki waislamu

    Wakubwa najua haiwahusu ila jana nimebadili dini rasimi na kua mwisilamu so nahisi naitaji marafiki wapya wanao elewa uislamu pls kama uko tiyali njoo inbox
  2. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Siku nilipogonganisha magari marafiki ugenini

    Kama kuna mtu ananipenda humu asinichikulie vibaya, yeye aendelee kunipenda tu. It is the past, very long time ago Amina na Ashura walikuwa wahudumu wa duka kubwa la Mpesa mkoani pale. First time nikamwelewa Amina lakini sikuwa nimemzoea na alikuwa mkimya sana kwa hiyo ilileta ugumu kupata...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Picha ya Marafiki wa Lowassa

    Edward Lowassa alikuwa ni mwanasiasa ambaye alikuwa na marafiki kutoka vyama vyote vya siasa. Lowassa alikuwa na marafiki ndani ya CCM na nje ya CCM. Lowassa aliwafanya mahasimu wa kisiasa kukaa pamoja. Jee nje ya urafiki wao na Lowassa , Freeman Mbowe, Zitto Kabwe,Hussein Bashe na Rostam...
  4. Joanah

    JamiiForums Tanzania Mambo gani yana/yamekufanya usiwe na marafiki wengi?

    Hi people, Happy weekend!! Mambo gani yanakufanya usiwe na marafiki wengi? Mie sababu kubwa ni kupishana interests(experience yangu ya 2-3 years back) Rafiki zangu wanapenda bata while mie sio mpenzi wa bata Rafiki zangu ni aina ya watu wanategemea tukienda mahali mfano restaurant,bar...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Umri unavyoenda marafiki hupungua sana, Wanaobaki ni ndugu na familia, ushuhuda ni wajomba zangu waliokuwa hawapatani ila ukubwani wamekuwa karibu

    Miaka ya utotoni na ujanani imejaa options kibao za marafiki lakini ukubwani marafiki wanazidi kupungua au kupotea kabisa. option ambayo huwa inabaki kwa wengi ni ndugu na familia zao. wajomba zangu walikuwa na kabeef flani ka muda mrefu sana tangu wakiwa wadogo hadi ujanani lakini ukubwani...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Stephen Wasira: Rais Samia aliposhika madaraka marafiki zake Hayati Magufuli walikuwa na hofu

    Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Tanzania Bara, Stephen Masato Wasira ameeleza kuwa hofu kubwa iliyokuwepo miaka minne iliyopita wakati Rais Samia Suluhu Hassan anaingia madarakani ilitokana na mfumo dume uliokuwepo nchini pamoja na hofu waliyokuwa nayo waliokuwa marafiki wa Hayati Dkt...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Tabia ya marafiki kukutafuta tarehe ya mshahara

    Kuna watu hawana aibu yaani siku zote hakupigii simu eti ikifika tarehe 23 ndo unaona missed call zake hio NI ujinga aibu Sana afu unakuta ni mtu mkubwa tu.sisi tunakula bata kila siku tunapojisikia kama unadhani tunaishi kwa mshahara pole Sana.
  8. mrKey Milly

    JamiiForums Tanzania Naitaji marafiki

    Natafuta marafiki Kama wapo Waje PM Jinsia yoyote Muhimu awe anajielewa Mimi Nna Miaka 30
  9. R

    JamiiForums Tanzania IGP: Polisi mnaweza kufanya kazi zenu mkiwa marafiki wa Raia wema!

    Jana ilitokea ajali ya polisi kupinduka na gari na wengi waliumia na wengine hali si ya kuridhisha. mmoja amekufa ! RIP. Nimesikitika sana na sijapenda reaction ya wananchi niliowashuhudia around. Wote, wote walikuwa wanashangilia na kutoa negative sympathy kwa majeruhi. Sijapenda. Ukiwauliza...
  10. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Ili uweze ku maintain circle ya marafiki zako, lazima uwe na mnafiki

    Huwa naona watu wengi wanapenda kuwa na marafiki. Hilo ni la muhimu . Lakini ili usipoteze baadhi ya marafiki zako ambao mnafaidishana(mutual benefit) itakulazimu uwe mnafiki haswa. Watu wengi walio "Real" na maisha yao hawana circle kubwa ya marafiki.. jaribu kufanya tafiti utagundua tu hili.
  11. Surya

    JamiiForums Tanzania Aina Tatu za Marafiki

    1. Rafiki wa maisha (or confidence) ~ Huyu ni rafiki ambae ikitokea mmekua wapenzi basi utajisemea I married my best friend. huyu ni rafiki ambae ukikosea haogopi kukukosoa na kukuelekeza mbele ya uso wako, huyu ni rafiki ambae ukiwa haupo anakusemea mazuri. Anakuwa rafiki yako kwasababu...
  12. N

    JamiiForums Tanzania Ndugu, jamaa na marafiki

    Ndio code mpya tao!
  13. ngara23

    JamiiForums Tanzania Kama haupotezi marafiki kubali kuwa haukui na haujitambui

    Mtu anayejitambua huwa hawi na marafiki walewale muda mrefu ni nadra Marafiki huja na kuondoka kutokana na hali iliyopo kipi mnashirikisha Rafiki akija shukuru na akiamua kuondoka shukuru Watu wanaojitambua hawana marafiki wa muda mrefu, hawa ni rahisi kuwa maadui na mara hupenda kubadilisha...
  14. N

    JamiiForums Tanzania Peer Pressure: Uliwezaje kuachana na marafiki waliokuzunguka walevi ama kuishi nao bila kutumia vilevi

    Vilevi nikimaanisha pombe, bangi, sigara, nk Mfano unakuta mpo out, mnapiga story au mpo nyumbani Wao wanakunywa na kuvuta
  15. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami kwa mabeberu!

    Ushauri Polepole nenda kwa Marafiki zako wa China ondoka Miami, Florida kwa mabeberu!. Kama kweli walikuwa wanakupenda wakati wa Magu watakupa hifadhi huko. Maama kumbukumbu zinaonyesha ulikuwa kinara wa kupiga kelele na kusema USA ni kwa mabeberu na wakati tukipigania mifumo wewe ulikuwa busy...
  16. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Marekani na Marafiki zake wameishaingia kwenye Mtego wa Iran. Hakuna rangi wataacha kuona

    Iran ilikuwa inafanya kusudi kuruhusu ndege za israel zinazoendeshwa na mademu ziingie kuua viongozi wake na kulipua maeneo ya silaha. Ilikuwa ni makusudi ili Marekani waingie mtegoni. Israel wameharibu sana silaha za Iran. Na maeneo mengi kwa kupiga kimkakati. Si sababu Iran haiwezi zuia. Ila...
  17. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Katika marafiki zako kama huna rafiki ambae ukikwama unakosa hata kukusaidia buku 5 au 10 jitafakari sana

    Kama Hawa ndio washikaji zako , Kama ndio Hawa ndo marafiki zako , Ikitokea umekwama una shida unahitaji either buku tano au kumi either ni urgently au sio urgently sasa katika marafiki zako wa karibu ukakosa wa kukupiga tafu .. Aisee jitafakari sana uhusiano wako na marafiki wanaokuzunguka
  18. Adiya5

    JamiiForums Tanzania Natafuta Marafiki wa kubadilishana nao mawazo

    Hello watanzania, Nimetokea Facebook, Insta na Tiktok nimekuja Jamiiforums kujifunza mambo mbalimbali na kutengeneza marafiki pia, Nahitaji marafiki makini, wenye akili timamu, wacheshi, wakarimu, wenye uelewa wa mambo ya duniani, wenye fikra pevu, jinsia yoyote, Mimi ni Mwanamke, elimu darasa...
  19. Mrengwa wa kulia

    JamiiForums Tanzania Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekani, Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za Shaheed

    Naaandika kwa Uchungu na machozi Kipindi cha mazungumzo ya nyuklia na Marekan. Mrusi alileta air defence nyingi sana. Kama zawadi ya kupewa drone za shaheed. Na wakaingia mkataba wa urafiki mkubwa usio na Mipaka. Sasa naona kama bwana mkubwa iran katapeliwa hivi. Tena yale maeneo muhimu...
  20. Echolima1

    JamiiForums Tanzania Greta na marafiki wanakaribia kufika Nchi Takatifu

    Greta na marafiki wanakaribia Nchi Takatifu. Israel tayari imeamua kwamba Kiherehere maarufu huyo hatafika ufuo wa Gaza. Atapigwa na kitu kizito hukohuko!!
Back
Top Bottom