Habari za wakati huu wana JF..
Naomba niende moja kwa moja kwenye mada..
Tumekuwa tukisikia au kuona baadhi ya ndugu au rafiki zetu wakilalamika kuwa marafiki zao wamewatenga..
wengine wamebadilika hawawakumbuki tena kama ilivyokuw hapo kabla..
Naomba nikukumbushe kitu katika maisha..
Kawaida...
Utekaji, Mauaji yanayoendelea nchini ni Kwa sababu ya Hakikisho la Uungaji mkono linaloendelea kutoka UCHINA, URUSI, NA DPRRK na Nchi wenye mlengo wa Ujamaa !!.
Maana yake nini ? CCM inaenda kua Chama chenye kiburi kikubwa sana kupitia hayo Mataifa, in turn Uranium itaenda Urusi kwa mikataba ya...
Kama usafiri unaweza kubisha hii mada.
Wenzetu unaweza kuwa na jirani na wala msiwe na urafiki na mazoea.
Nchi zilizoendelea ni ngumu sana kuwa na mazoea ya kulazimishana na urafiki kama huku afrika.
Ndio maana wanaruhusiwa kumiliki bunduki wajikinge na CCm wasiojulikana.
Wenzetu wameona...
Kwa mlio oa / kuolewa , weka mipaka ya marafiki kuizoea nyumba yako , inatosha kukutana viwanja na marafiki sio kuweka vijiwe vya soga nyumbani kwako . Kuna aina ya lifestyle unatakiwa kuibadilisha ukishaingia kwenye maisha ya ndoa
Tunaelekea wapi kama wanaume?
Kuna kundi la wanaume ambao kwa namna ya kushangaza wamezoea kuishi ndani ya unyonge—unyonge wa kutokuwa na hata shilingi mfukoni. Hali ni mbaya kiasi kwamba hata mtu ambaye humjui binafsi, ukimuangalia tu unajisikia kero. Kwa nini? Kwa sababu umaskini wake...
Wakuu habari zenu na wale wakristo heri ya Pasaka.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mtu ambaye kazi zangu nyingi nazifanyia ndani nikiwa peke yangu na ninaoshiriikiana nao wengi ni foreigners hivyo kazi tunazifanya na kuzifuatilia kupitia Slack, Hubstaff, Jira n.k. Huku tukishiriki sana...
Njaa ninayoizungumzia hapa ni Tamaa, sio Njaa ya chakula.... Njaa ndio inawafanya hao unaowaita marafiki zako wawe wanafiki kwako, njaa ndio inaowafanya hao uwapendao wakusaliti na matatizo yako au shida zako wazigeuze fursa kwao. Kwa sababu ya pesa wauze utu wako, na wakudharirishe badala ya...
Simaanishi kuwabeza marafiki, Hapana !! Maisha yetu kwa kiasi kikubwa tunazungukwa na watu wa nje hivyo katika haya mazingira unaweza kuwa na marafiki shuleni, Vyuoni, Mitaani, kazini, Bar, Biashara, n.k. lakini kawaida yao huja na kuondoka hivyo sio wa kuwapa kipaumbele sana.
Kuna rafiki...
Katika kile kinachohesabiwa na wengi kama kuanza kutepeta kwa Trump rais huyo wa Marekani ameondoa bidhaa za electronics katika vita vyake vya tarrifs na China.
Hata hivyo Wamarekani wengi wamelalama wakidai sio sawa kujali bidhaa za electronics tu wakiamini inachangiwa na sababu za ukaribu...
Marafiki wanutotoni Wana sifa zifuatazo:-
1. Wenye wivu mkali japokuwa hawana unafiki, ukifaulu masomo watakuambia unaringa.
2. Ni wachomaji wakubwa, yaani rafiki yako anaweza kumfikishia taarifa zako mwalimu ili tu uchapwe wafurahi.
3. Wanafurihia matatizo ya wengine kwa mfano ukichapwa basi...
Katika jamii zetu za kisasa, mifumo ya maisha inatofautiana sana kulingana na hadhi ya kifedha. Wakati wa kale, urafiki ulijengwa kwa misingi ya ukweli, uaminifu na upendo wa dhati, lakini leo tunaona mabadiliko makubwa katika jinsi watu wanavyohusiana na kutengeneza uhusiano wao.
Kwa wengi...
Mungu aliruhusu Shetani kumjaribu Ayubu, kama ilivyoandikwa katika Kitabu cha Ayubu katika Biblia. Hadithi inaanza na Ayubu, mtu mwema na tajiri, ambaye anamcha Mungu kwa uaminifu.
Shetani anapinga uaminifu wa Ayubu, na kumwambia Mungu kwamba Ayubu anamcha Mungu kwa sababy ya mali tu ila sio...
HabarinI ndug zangu
Leo nimekuja na mada inayowahusu watu waliopo kweny ndoa au waliopita kweny ndoa
Katika mahusiano Kuna hatua 5 kutonakana nadharia ya (chall Chapman).
Je? Wew ulio katika stage ipi kati ya hizi
1.romantic stage;hii ni hatua ya kwanza katika mahusiano yanapozaliwa na...
Mtu dhaifu hujitutumua ili asionekane dhaifu.
Mtu maskini hujitutumua ili asionekane maskini.
Mtu asiye na fedha hujitutumua ili asionekane hana pesa.
Pia ni tabia za Kiafrika kila mtu kutoka kujionyesha si mnyonge.
Hizo picha za maeneo mazuri zisikupagaishe, hapo ni bar, restaurants, hotel...
Calvin Marambo mhitimu wa Ilboru sec 2014 ambaye alipata scholarship havard university kwa sasa anafanya kazi kwa bilgate na ni marafiki wakubwa ,wazungu wanamkubali sana pesa nje nje kwa sasa.
Siku zote kaka na dada yako ndiyo ndugu zako wa kweli na marafiki zako wa kweli. Uhusiano wako na wao ndiyo unaokuelezea uhusiano wako na binadamu wengine.
Baba na mama hawatakuwepo uzeeni mwako na watoto wako hawatakuwepo utotoni na ujanani.
Kaka na dada zako watakuwepo karibu maisha yako...
Salaam jamiiforum.
Kila siku zinavyozidi kwenda ndivyo ambavyo huwa tunajuana na watu mbalimbali, tukikutana safarini,mikutanoni, sehemu za ibada na maeneo mengi.
Watu hawa baada ya kufahamiana au kujuana kwetu wapo ambao hugeuka kuwa watu wa karibu na kutengeneza bond ama urafiki fulani...
1️⃣ Kwanza, ni kawaida kwa wanaume kuwa na mshikamano wa kaka (bro code), lakini mara nyingine, hii inaweza kumfanya mwanaume kupuuza hisia na maoni ya mpenzi wake kwa sababu ya ushawishi wa marafiki.
2️⃣ Si marafiki wote wanatoa ushauri mzuri. Wengine wanakupa maoni kutoka kwenye uzoefu wao...
Wana jamvi ni kwema? huku leo kuna baridi sana na kwa sababu hii kilimo cha watoto hakina mbadala.
Leo hii watu tumekuwa wabaguzi sana tofauti na kipindi cha nyuma utu ulikuwa sehemu ya maisha ya kila binadamu.
Na kwa sababu hatuna utu basi kuna msemo usemao ndenge wanao fanana huruka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.