mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Wizara ya Nishati igawanywe mara mbili ili kuongeza ufanisi

    Wizara ya nishati ina mambo mengi makubwa, Kuna mafuta yanayo endesha uchumi wetu. Kuna gesi, sekta iliyo na matrillioni ya gesi ambayo ikiiuzwa mapema hatuta hangaika pesa za kuendeshea nchi. Mwisho kuna umeme, unaoimulika Tanzania. Napendekeza hii wizara ili kuharakisha haya mambo tuigawe...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Tume ya kinyesi cha ng'ombe mto Mara yatoka kivingine

    Tulikuwa kwenye vinyesi 25kg na mkojo wa lita 21 kwa ng'ombe kwa siku, kana kwamba mtoni ndiko chooni kwao. Sasa hivi tuko kwenye uozo: Tuko kimya siyo kuwa hatuoni. Tuelewane: "Vikwazo katiba mpya inatukera zaidi."
  3. JamiiForums Tanzania Tarime: Wasimulia kuwashwa, kuharisha, kutapika, kuhara damu, mifugo kufa kisa maji ya Mto Mara

    Baada ya tetesi na hatimaye matamko rasmi kutolewa mara kadhaa kuhusu madhila yanayotokana na maji ya Mto Mara, ripoti zaidi zimeendelea kutolewa kupitia vyombo mbalimbali vya habari kuhusu kinachoendelea katika mto huo. Awali ilidaiwa kuwa kuna kimikali zenye sumu katika Mto Mara ambazo nyingi...
  4. JamiiForums Tanzania Safety & training Superintendent at North Mara Gold Mine Limited

    North Mara Gold Mine Limited is seeking to recruit an Underground Safety & training Superintendent to join, our team. The successful candidate for this position is expected to align to the Barrick DNA and drive a change within his team and on a practical note will require to demonstrate...
  5. JamiiForums Tanzania Nani Alisema Tule mara Tatu(3) Kwa Siku?

    Tangu utoto mpaka sasa ni mtu mzima kutwa mara tatu Hii ilianzia wapi, Nani alianzisha Je nikila mara 2 au 1 kwa siku au nikiamua kula mara 5 kuna madhara bila kukariri chakula ni wali au Ugali n.k...Na ni Wazungu walituletea hii itakuwa ni kututia umaskini tu na Maradhi mbona wao hawakuli kama...
  6. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania US hotel chain Marriott to open luxury safari lodge in Maasai Mara

    An artistic impression of JW Marriott Masai Mara Lodge’s junior suite tent bedroom. PHOTO | COURTESY | MARIOTT INTERNATIONAL Global hotel chain Marriott International has signed an agreement with Baraka Lodges Limited to open its first luxury safari lodge in Masai Mara, Narok County. The JW...
  7. JamiiForums Tanzania Tanzania: Mikoa inayoongoza kwa Ukeketaji ni Manyara, Dodoma, Arusha, Mara na Singida

    Salaam Wakuu, UKEKETAJI NI NINI? Ukeketaji ni ukataji wa sehemu za siri za mwanamke. Ukataji huo unahusisha maeneo nyeti. Au ni kitendo chochote kinachojeruhi uke kutokana na sababu ambazo sio za kimatibabu. Ukeketaji unaumiza wanawake na wasichana kimaungo na kiakili na hakuna faida yoyote...
  8. JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Abdallah Sagini: Mto Mara hauna sumu, endeleeni kutumia maji

    Mbunge wa Jimbo la Butiama (MB), Jumanne Abdallah Sagini ambaye pia ni Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi amewataka wananchi wa jimbo lake la Butiama kuondoa hofu kuhusu Mto Mara uliokuwa unasadikika kuwa na sumu. Akizungumza na Wananchi wa jimbo lake la Butiama aliwaomba kuamini taarifa...
  9. JamiiForums Tanzania Hapa sampuli za maji ya mto Mara zipelekwe baadhi TBS, GCLA, NEMC, SGS, Intertek na zingine kwenye maabara za vyuo zikapimwe upya

    Kwakua majibu ya ripoti yamekua na utata kidogo, ni vyema sampuli za maji ya mto mara zifanyiwe uchunguzi wa maabara upya. Sidhani kama swala la kuchunguza maji lilihitaji kuunda tume. Analysis za maji ni kitu kidogo sana. Anyway ningekua ni mimi ningechukua sampuli za maji na kuzipeleka kwenye...
  10. JamiiForums Tanzania Daktari: Muhimu kupima figo angalau mara moja kwa mwaka

    Wananchi wanashauriwa kufanya vipimo vya magonjwa ya figo angalau mara moja kwa mwaka, ili kupunguza hatari ya utambuzi wa magonjwa hayo katika hatua za hatari. Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Figo wa Hospitali ya Saifee Tanzania iliyopo Kinondoni, Dk Mercy Mwamunyi amesema hayo alipokuwa...
  11. R

    JamiiForums Tanzania CHADEMA Kanda ya Serengeti yakosoa Ripoti ya Uchunguzi wa mazingira Mto Mara

    Chama kikuu cha upinzani chenye Matawi yake imara pande zote za nchi huku kikitetea haki za kuishi, maendeleo, haki, ulinzi na usalama wa wananchi kimekosoa vikali ripoti hiyo. Kimetanabaisha kuwa Iwapo serikali haitakuja na majibu Tangible basi kwa kushirikiana na Wananchi wa Eneo hilo, asasi...
  12. K

    JamiiForums Tanzania Uchafuzi wa maji mto Mara

  13. B

    JamiiForums Tanzania Prof. Samuel Manyele wa Tume ya vinyesi vya Ng'ombe Mto Mara

    Background check zinaleta mrejesho huu muhimu: Prof. Samuel Manyele ni msomi mbobevu wa shahada ya Ph.D katika iliyokuwa department ya Chemical and Process Engineering ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam. Atakuwa angalipo kwenye hiyo department kwenye ambayo sasa ni shule ya Uhandisi Jalalani...
  14. JamiiForums Tanzania Kamati: Kinyesi na Mikojo ya Mifugo ndiyo chanzo cha kufa samaki mto Mara, sio sumu ya maji ya Migodini

    Musoma. Kamati maalum ya kitaifa iliyoundwa na serikali kuchunguza mabadiliko ya maji ndani ya mto Mara, imetoa taarifa ya chanzo cha mabadiliko katika mto huo yaliyosababisha maji kuwa meusi na kutoa harufu, huku samaki wakifa ambapo chanzo kimeelezwa kuwa ni shughuli za binadamu pamoja na...
  15. M

    JamiiForums Tanzania Samaki kufa kwa kinyesi na mkojo wa ng'ombe inawezekana ,lakini samaki wa mto mara wamekufa kwa sababu hiyo?

    Wasalaaamu ndugu , jamaa na marafiki wa JF . Haika nawathamini sana. Kila mmoja wetu amepata kushituka kwa taarifa ya wasomi wetu nguli wa mambo ha mazingira kwa kusema samaki katika mto mara wamekufa kutokana na kinyesi na mikojo ya ng'ombe. Kabla ya kupinga au kuunga mkono majibu ya tafiti...
  16. JamiiForums Tanzania Ripoti madai ya sumu Mto Mara zina utata, zimetofautiana, wataalam wamezichambua

    Juzi kati niliona memba humu JF akiandika juu ya taarifa za kemikali zenye sumu kutoka mgodini zilivyoharibu mazingira kwenye Mto Mara na kusababisha vifo vya samaki na pamoja maji kuwa meusi. Baadaye habari hiyo ikasambaa na kuwa kubwa mwisho Serikali ikiingilia kati na kufanya uchunguzi...
  17. JamiiForums Tanzania Ripoti ya uchafuzi mto Mara, ukweli uko wapi?

    Taarifa ya uchafuzi wa mto mara na kufa kwa samaki, je taarifa iliyotolewa imejaa siasa au uhalisia? Au ni mkakati maalum kama tulivyoanza na machinga (wanachafua jiji) tukaja kwa wamasai ngorongoro wamevamia mbuga, sasa ni zamu ya wanaoishi kandokando ya mito, na pengine hatmaye ni tz nzima...
  18. JamiiForums Tanzania Njombe: Ahukumiwa miaka 30 jela kwa kumbaka mara mbili Mwanafunzi

    Furaha Samweli Ligate (26) mkazi wa kijiji cha Unyangala wilaya ya Makete mkoani Njombe amehukumiwa kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa la kumbaka mara mbili mtoto mwenye umri wa miaka 15 aliyekuwa amehitimu darasa la 7 mwaka 2021 akisubiri kujiunga na kidato cha kwanza mwaka huu wa 2022 Hukumu...
  19. JamiiForums Tanzania Mgodi wa North Mara imeleta maafa Ziwa Victoria tena, Serikali inajiuma uma tu kwa kamati feki

    Hili siyo tatizo jipya! Linathibitisha uzembe wa serikali ya CCM. Wakati mh. Sitta akiwa Spika na mama Makinda naibu wake, uchunguzi wa aina hii ulifanyika, lakini ajabu kabisa hata Sitta alikuwa analazimiasha ionekane hakuna tatizo la mgodi. Ni wazi kwamba North Mara Gold mine ltd wanatumia...
  20. JamiiForums Tanzania Aden Rage aache dharau na TFF imfungie kwa kuita Ligi Kuu ya Mbuzi

    Jana akihojiwa na vyombo vya habari Ismail Aden Rage ameiita ligi kuu ya Tanzania ni ligi ya mbuzi isiyo na lolote. Kiongozi wa aina yake tena kiongozi mustaafu wa TFF haikuwa busara hata kidogo kuongea kauli kama ile ya ki fedhuri! TFF watu kama hawa ndiwo wa kufungiwa hata miaka 100.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…