Toyota mark ii grand gx 11o tatatizo la kuwa na mis mara kwa mara ukitembea kama 40 tu halafu ukichomoa terminal ya betri kwa dak 1 ukirudisha hakuna

Maje4

Member
Jun 9, 2020
5
1
Wandugu, nimekutana na changamoto hiyo kwenye gari langu kwa mda wa zaidi ya miezi 4 sasa nimejaribu kuonana na mafundi tofauti dhidi ya watano kla mmoja alifanya alichozani ni tatzo, nimebadili coil, o² sensor , control box ,cylinder head, plug, pump bila mafanikio ila ikiwa na miss ukifungua plug ni nyeusi ukisafisha ukirudisha hakuna mis . Au ukafungua terminal ya betri na ukasubir kwa dak hata moja ukirudisha hakuna mis utambea tena km40au 50 mis.

Naombeni ushauri wenu nipo iringa
 
Sometimes mafundi wa mikoani wanazingua sana najua kama ungekuwa huku dar ungepata suluhisho la gari yako....
Ninaamini hata hapa Leo utapata msaada Kwa mamna Fulani
 
Back
Top Bottom