Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.
Nyakati kama hizi kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2010 ambapo Rais wa kipindi hiko, Jakaya Kikwete alikuwa anajiandaa kutetea kiti chake kwa muhula wa pili na wa mwisho.
Ghafla kuna tuhuma za wapinzani zikaelekezwa Idara ya Usalama wa Taifa.
Katika hali isiyokuwa yaa kawaida, TISS kupitia kwa Jack...
1. Kuna utofauti mkubwa sana baina ya Yanga vs Simba upande wa menejimenti, Yanga waliona wampe timu GSM awape furaha, GSM ndio anasajili wachezaji na kila jambo wanalisimamia wao, Simba kule Mo Dewji anaongoza, Mangungu anaongoza, kale kadada CEO kanaongoza kwa remote kutoka kwa friends of...
Katika dunia ya leo yenye changamoto nyingi kwa wafugaji wadogo na wa kati wa kuku, Fuga App imekuja kama suluhisho la kiteknolojia linalobadilisha mchezo kabisa!
Pakua Fuga App hawa : [ Fuga - Apps on Google Play ]
Wafugaji wengi walikuwa wakitumia daftari au spreadsheets kufuatilia gharama...
Nilicheka sana, Samia mbele ya public alisema uchumi wa Tanzania unafanya vizuri kuliko uchumi wa Ulaya na Marekani, what a shame.
Samia unaijua Marekani? Ngoja nikupe elimu ndogo, hivi unajua Jimbo la South Carolina Lina uchumi mkubwa mala tatu ya Tanzania? South Carolina ni jimbo dogo sana...
UJANGILI uliokuwa unafanywa na baadhi ya wenyeji wanaopakana na Hifadhi ya Taifa ya Serengeti mkoani Mara umedhibitiwa kisayansi kupitia miradi ya kijamii na kiuchumi inayotekelezwa na hifadhi hiyo.
Miradi hiyo ya ujirani mwema (SCIPs) inatekelezwa na Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA) kwenye...
Wakuu salaaam..
Moja kwa moja kwenye mada
Leo nilipata kutembelewa ofisini na bibie mdogo miaka 18 hivi.
Katika moja na mbili nikatupia ndoano kumvua kimwana huyu mzuri wa sura na shape.
Ilivyo bahati ikabidi tuandae mazingira ya kula hapo hapo ofisini mida ya jioni saa mbili kasoro.
Piga...
"Ukitaka kufanya siasa safi hapa Mkoa wa Mara lazima tuambiane ukweli na kama ni jipu tulitoboe, tulikamue, tutoe kiini na mimi ningekuwa na uwezo ningefuta Kamati ya siasa ya Musoma Mjini, ningefuta Kamati ya siasa ya Tarime. Haki ya Mungu ningefuta. Its very Unfair. Hata kama hawamtaki Mbunge...
Tofauti na ilivyokuwa inasemwa kwamba aliruka kupitia mlango wa dharura si kweli..
Kwa maneno yake mwenyewe baada ya ajali alitoka kwa miguu yake akitembea hadi nje alipokutana na ambulance na kumbeba
Alikuwa kakaa siti no 11A
Pia anasema sekunde chache kabla ya ajali aliona moshi ndani ya...
Kuna wazazi viherehere, hasa wamama kupigia mabinti simu za mara Kwa mara, tena kuongelea hadi faragha za wanaenda hao
Binti akifikia umri wa kuolewa na kuamua kuolewa, heshimu uamuzi wake huo, kupiga simu asubuhi na jioni kiherehere
Kijana amelala na Binti yake aliyemuoa alfajiri anapata...
Jaji mkuu mstaafu Prof Ibrahim Juma ni mwenyeji wa mkoa wa Mara, Jaji mteule Maseju nae ni mwenyeji wa mkoa wa Mara.
IGP mstaafu Simon Sirro ni mtu wa Mara, IGP wa sasa pia ni mtu wa Mara. ADC wa Rais Samia nae ni mtu wa Mara, pia nimedokezwa hapo ikulu kwa sasa wasaidizi wengi wa mheshimiwa...
Iwe isiwe Tanzania viongozi hawatotusikiliza bila sisi kuingia barabarani na kuwawajibisha na hii ndio njia pekee kiongozi wa Africa anakusikiliza.
Ila mpaka sasa hatuna mbinu za kufanikisha hili. Huu mwaka tusikubali uishe kizembe aisee Kama sio Leo Ni lini. No Reforms, No Election.
📍 Imeandaliwa na:
Hillary Francis Ndeng’aso
Radiographer | Health Educator
📲 IG: @hillary_officialtz
Hii inaweza kuwa ishara ya BOH – Historia Mbaya ya Mimba.
BOH ni kifupi cha “Bad Obstetric History”, yaani historia ya matatizo ya ujauzito au uzazi katika mimba za awali.
🔍 Dalili za BOH ni...
TLS ni chama cha wanasheria ambacho kazi yake kubwa ni kusimamia maadili ya wanasheria.
Kwa sababu hiyo ndani yake kumeundwa kamati ya maadiliya mawskili ili ukiwa na lalamiko lolote dhidi ya mawakili wao watasikiliza na kutoa maamuzi.
Kuna shauri la kimaadili nililipeleka Toka mwaka Jana...
Majiji makuu mengi hasa Africa huwa yana Wabunge moto sana na hii ni kwa sababu huwa ndio kitovu cha upinzani na pia ndio kumejaa Wasomi na watu waelewa wenye information zote.
Ila sasa njoo Dar ambako Jiji lina Wabunge Vilaza sana kuzidi hata huko mikoani, mtu kama Talimba eti ni Mbunge...
NRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano...
Wakuu
hii vita ni mbichi Kuna mambo mengi kwenye mpira wetu hawa yanga mbona kama wanajua mambo mengi kuhusu TFF?
===
Tumeona taarifa ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, TFF kuwa inaidai Klabu ya Young Africans SC bila kutoa ufafanuzi wa deni lenyewe.
Tunapenda kuujulisha Umma, kuwa...
Huku kwetu Katonto mkoani Rukwa, kila aliyekuwa anapuuza chochote sasa ameanza kuzinduka usingizini! Mamia wamejitokeza kuhudhuria ibada ya Jumatano jioni, wakiwemo wanachama wa CCM ambao kwao Ufufuo na Uzima ndilo kanisa lao, wazee wasiojua chochote, akina mama ambao hawaelewi kabisa masuala ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.