Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.
Kitu kinaitwa Salaried Workers Loan (SWL) ndio chanzo cha mateso ya wafanyakazi maana wengi wanakopa kwa kufuata mkumbo.
Ukipata nafasi ya kuongea na maafisa mikopo wa benki na namna wanavyowawahi staff wapya wanapoajiriwa utaelewa namna nchi ilivyo na wajinga wengi.
Mtu katoka kuajiriwa na...
aslaam,
Hakika narudia tena, kama wewe mwanaume una mahusiano yawe ya muda mrefu au mfupi na mwanamke aliyeajiriwa iwe sekta binafsi au serikalini na umeweka Nia ya kumuona hakiyamungu jiulize mara mbili kabla hujachukua huo uamuzi.
Nataka nikuambie kitu hapa, ukikutana na mwanamke mwenye...
Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa leo litapigia kura azimio la kutakao kusitishwa mara moja kwa mapigano huko Gaza.
Azimio hilo haliwekei masharti ya kusitisha mapigano kwa kuachiliwa kwa mateka waliosalia.
Kwa maneno mengine, inawaacha Hamas madarakani, wakiwa na silaha, na kuwashikilia...
ALIAMINI VITU HALALI KUTAFUTA MUDA WOTE NI FEDHA NA WANAWAKE.
Unamkumbuka gwiji wa Kenya marehemu Asentus Ogwella Akuku "Danger" ambaye inasemekana alioa mara 130, talaka 80 na kuzaa watotozaidi ya 200. Akuku "Danger" alioa mke wake wa kwanza mnamo 1939 na wa mwisho mnamo 1997 akiwa na miaka...
Kada mpya wa CHAUMMA ndugu Vitus Nkuna ameamua kutelekeza chama chake huko Mara leo baada ya kuona hali halisi.
Hali kadhalika huko Mugumu Mara mkutano umeshindwa kuanza saa saba mchana baada ya kuwa hapakuwa na watu kwenye uwanja.
Hii inajiri leo baada ya jana kada wao mwingine Aisha Madoga...
Ujumbe wangu huu umfikie yoyote yule ambaye ataona ama unamgusa Yeye au Jirani yake au Mtu wake anayempenda na kumuamini Kimaisha, Kisiasa na Kiimani (Kidini)
Nawatakieni nyote Jumatano iliyo Njema.
Nina taarifa za uhakika kabisa kuwa Yanga SC ATACHEZA hiyo Mechi ila wanatumia Mbinu Kuu mbili za SAIKOLOJIA na PROPAGANDA ili tu KUIDHOOFISHA Simba SC hivyo NAWAONYA kwa mara nyingine Simba SC kuwa kamwe TUSIBWETEKE na WASITUDANGANYE bali ukweli ni kwamba Mechi ipo na hiyo tarehe 15 mwezi Juni...
Kweli nimeamini kila zama na kitabu chake, unaweza ukapandishwa na mtu na ukashushwa na jamii ya wajinga ingawa umuhimu wako unabaki palepale na siku ukifa ndiyo wajinga watajua umuhimu wako.
Lakini ukiwa hai wanakubeza kukutukana na kukudharau. Kwangu mimi Gwajima anabaki kama shujaa katika...
Mo Dewji atulie na asajili Wachezaji wa maana wa Kamaifa na wenye Uzoefu wa Mechi za Kimataifa ili wakusaidie katika Mechi za Kimataifa na vile vile katika Ligi ya Ndani (NBC Premier League) ambayo Kwao (hawa Wachezaji wa Kimataifa na wenye Uzoefu) itakuwa ni kama tu kufanya Mazoezi.
Wala...
Sio mara ya kwanza kwa Chadema kunyimwa ruzuku, ilishawahi kujiendesha pasipo ruzuku ya serikali kwa zaidi ya miaka 3 bila kuyumba.
Chama ni wanachama, kama wanafikiri Chadema itayumba kwa kukosa ruzuku wanajisumbua wao waendelee na project yao ya utekaji.
Chama kinaweza kupokea ruzuku kubwa...
Mambo ntakayoyafanya nikìwa Rais wa Tanzania kwa Kuboresha mazingira ya vyuo na kua ya kisaaa kama ifuatayo
Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali barabara zote zinapigwa lami
Kuhakikisha ndani ya campus za vyuo vya serikali kunapigwa pavement hapawi na vumbi
Vyoo vinatoa maji 24/7...
Mjimushileee....!!
Ilikuwa maisha ya chuo yaani maswala ya kuishi geto la kupanga uswahilini. Nyumba niliyokuwa nimepanga kulikuwa na nyumba kubwa ambayo akiishi baba mwenye nyumba na familia yake pamoja na baadhi ya wapangaji, na nyumba ndogo ya uwani ambyo iliweza ku accommodate watu 3. mimi...
Katika taarifa ya hali ya ulinzi na usalama wa mipaka ya nchi iliyowasilishwa katika taarifa ya bajeti ya Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa ya mwaka 2025/26, Tanzania imeeleza kuwa kumekuwepo na tishio la kiusalama katika mpaka wa Tanzania na Uganda kutokana na mgogoro wa kimpaka."Hali...
Final(Mwisho) au tamati hivi kwa Afrika neno Hili limegeuzwa nyuma mbele mbele nyuma Why?kila kitu kwetu ni tatizo?
Leo Mada ingelikuwa Moja tu,ila kwa upuuzi wa CAF tunasubirishwa untill next week.
Shame on you
Tahadhali zimetolowa kulingana na website ya ubalozi huo zilitolewa mfululuzo kwa kwanzia tarehe, 1 April, march 21 na May 15. ikitoa tahadhali za kiusalama kwa raia wake walio nchini kutokana na kuongezeka kwa mauwaji ya kiholela na matukio ya kiuhalifu na utekaji kwa watu mbalimbali ikiwemo...
Aisee mimi sitosahau, yule dereva sijui alikua kaweka mafuta gani yaani, na yeye ndie alikomalia tupite huko. Sababu ile tumeianza tu rough road pembeni nikaona tope la manjano na harufu ile ikanishinda kabisa. Nakumbuka nilitapika dirishani na sikua na hamu ya kula wala kupita road yoyote tena...
Toka simba acheze aya mashindano leo ndo kapata kipimo sahihi, na pia kagoma na ngoma wanatakiwa wa level up game yao wapo slow , sio creative, deffencesively kagoma ana cheza faul nyingi sana kitu ambacho ni hatari, mbele pia kibu na mpanzu sio wabunifu, wakikabwa kidogo tu hawana plan b...
Hakuna jambo linakera kama unafika katika taasisi fulani hasa za serikali na benki unaambiwa huwezi kupata huduma au huduma itachelewa kwa sababu sijui mtandao hakuna au uko chini, duniani huko kwa watu wenye akili sasa hivi wanafikiria kwenda kwenye network ya 6G sisi bado tunambwelambwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.