mara

Māra is the highest-ranking goddess in Latvian mythology, Mother Earth, a feminine counterpart to Dievs. She takes spirits after death. She may be thought as the alternate side of Dievs (like in Yin and Yang). Other Latvian goddesses, sometimes all of them, are considered her assistants, or alternate aspects. Māra may have been also the same goddess as Lopu māte, Piena Māte (Mother of the Milk), Veļu māte or Vélių motę (mother of the souls/spirits), Zemes māte (Mother of the Earth), and many other "mothers", like of Wood, Water, Sea, Wind.

View More On Wikipedia.org
  1. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Heche: Golugwa aachiwe mara moja. Hakuna kosa alilofanya maana ana visa na ticket halali

    👇
  2. R

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli kwamba bahati huja mara mbili?

    Sasa! Ulipewa pesa ya ada, ukaila kwa ujinga wako, ikatokea bahati, nduguyo mwingine akajitokeza na kuziba pengo usiaibike, msimu ujao waeza kula pesa ya ada makusudi ukiamini utaipata Tena kwa ngekewa? Kwamba Jana ulibahatika kulipiwa nauli ya daladala na jirani yako baada ya kusahau wallet...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Hivi nyie wenye Vyeo na Mamlaka huko Serikalini (Bara na Visiwani) hadi Ikulu mnataka niwe kila mara nawakumbusha hili tu? Kwanini hamlitekelezi?

    Nilishawahi kusema hapa hapa JamiiForums kwa Utuo kabisa kuwa kama unajijua una Cheo chochote Serikalini (hadi Ikulu) kwa pande zote mbili za Bara na Visiwani kama ni Mcha Mungu basi hakikisha Chakula chako Kikuu kiwe ni Ibada kama GENTAMYCINE na vile vile kama ni Mshirikina Tukuka kama 'Mashavu...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Rc Mara aagiza waliolipwa fidia Nyatwali, Bunda kuhama kupisha ushorobo wa Wanyama pori

    Mkuu wa Mkoa wa Mara, Kanali Evance Mtambi, amewaagiza wananchi wa Kijiji cha Nyatwali, Wilaya ya Bunda, kuhama mara moja katika maeneo waliyoishi baada ya kulipwa fidia na serikali ili kupisha eneo la ushoroba wa wanyama pori wanaopita kuelekea Ziwa Victoria kutafuta maji. Amesema hayo Mei...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya Kwanza Mwanamke anagombea URAISI hapa Tanzania

    IKiwa kipindi hiki cha mwanzo atashinda na ataongoza vizuri kufuatia uchaguzi utakaofanywa mwezi wa kumi, kuna uwezekano WaTanzania wakamchagua tena kugombea kwa tamu ya pili kama katiba ya Jamhuri ya Tanzania inavyompa ruhusa mwananchi kugombea ngazi ya Uraisi. Na hii itatokana na ridhaa ya...
  6. nipo online

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza namiliki DSTv, lakini nimechemka kupata sauti kupitia sabufa

    Nimetoa Waya wa HDMI umeenda katika TV, na inawaka, pia nikatoa Waya wa two in one kutoka kwa king'amuzi kwenda kwa sabufa hamna sauti, tafadhali nisaidien anakosea wapi, asante wakuu nawapenda
  7. Revolution

    JamiiForums Tanzania Yanga haina wanasheria kila mara ni kushindwa kesi

    Hamna wanasheria ambao hawajitambui na hawana uwezo kama wa Yanga. Hivi Timu ya Yanga haiwezi kuwafukuza wote na kuweka wanasheria wanaojielewa na wenye uweledi. Yanga ni klabu kubwa barani Afrika haiwezi kudhalilishwa kila mara namna hii. Hao wanasheria walishindwa kufanya hata homework ndogo...
  8. Chick_tz

    JamiiForums Tanzania Mnao sema Simba kacheza fainali mara 2 ushaidi huu hapa

  9. The Burning Spear

    JamiiForums Tanzania Najuta kutokununua Bitcoin/Binance 2017/2018, uwezo nilikuwa nao ama kweli bahati haiji mara mbili

    GT HIi ndo ilkuwa nafasi yangu pekee yakuwa billionea hapa mjini. Nakumbuka nikiwa na rafiki.yangu tulikuwa kila siku tunsoma na kufuatilia graph za crypto na uwezo wa kununua tulikuwa nao. Nakumbuka pamoja na price fluctuations lakini BTC ilikuwa ina range between $3200 mpaka $3800 kipindi...
  10. LIKUD

    JamiiForums Tanzania Masikini wa Marekani ni hatari mara bilioni kuliko masikini wa Tanzania

    Ona hawa vijana masikini wawili in their teen ages. Kuna jamaa ana miaka 26 yeye alikua ameajiriwa so akawa anamtaka demu ana miaka 19. Kumbe huyu demu masikini ana boyfriend wake masikini kama yeye wana ukata na hawana hela. So wakapanga kumset up jamaa akutane na huyu demu then boy wa huyu...
  11. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Sperm Race: Mashindano yafanyika kwa mara ya kwanza Los Angeles

    Oyaaah, wazee wa kazi. Tutunze afya zetu aisee!!! Naiona fursa ya kupiga pesa ileeeeeee inasogea. Huko USA wazee wa kazi wamekuja na mashindano ya riadha ya manii, sampuli za WAZUNGU zinachukuliwa kutoka kwa washindani, zinawekwa kwenye kifaa cha microscope vijusi vilivyomo kwenye WAZUNGU...
  12. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania CHADEMA wafukuzeni G-55 mara moja, kama ambavyo CCM walimfukuza Mzee Malisa kwa kuhoji úhuni wa Dodoma, halafu tuone Mahakamani watakakokimbilia.

    Mzee Malissa alifukuzw CCM bila hata kuitwa na kujitetea, na Alifukuzwa sababu tu kahoji Uhuni ulotokea DODOMA. Hawa G-55 wanachofanya ni kutafuta Kufukuzwa, ili WAKIMBILIE Mahakaman, Cha kiwe na Kesi mara Kwa mara. Kwa Bahati Mbaya, mshauri wao ni kakikundi kadogo ka Dola na CCM na ambao...
  13. C

    JamiiForums Tanzania CCM msiingize ajenda udini kwenye matamko ya TEC Kama mlivyo anza kufanya ili kutafuta huruma, hata MAGUFULI alionywa mara nyingi na TEC

    Naona vilaza wa ccm wamehsa anza kutengeneza hoja za udini dhidi ya tamko ta TEC acheni ujinga huo, msitafute huruma kijinga namna hiyo, pimeni madai yao na mjitafakari Kwa akili zenu zilivyo ndogo na chama kilivyo kosa washauri wazuri kwa sasa sio muda mtawatuma BAKWATA wajibu mapigo...
  14. nkuwi

    JamiiForums Tanzania Mzee Azim Dewji acha mara moja kutoa hizi ahadi za mfungaji na mtoa assist

    Habari za jioni wakulungwa. Naleta habari hii usiku huu, nikiwa nimefuatilia ahadi za huyu mzee wetu kipindi hiki timu inatafuta namna ya kufuzu nusu fainal na kuitafuta fainali, kwa jicho la tatu ahadi zake hizi zinavuruga timu sana, mchezaji badala ya kufocus timu ishinde qnafocus afunge...
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Mara ya mwisho umemtafuta na kuongea na mama yako lini?

    Au hadi yeye ndio akutafute au akupigie na ukipigiwa unaanza kuwaza "anataka pesa huyu" au unaanza kuwaza kuwa atakuusumbua kukuliza maswali ya umeshapata mchumba? Kanisani/msikitini unaenda? etc Ebu jiulize kama tumeshapata visa vya laana ya mama ilivyo na nguvu vile vile ndani yake lazima...
  16. R

    JamiiForums Tanzania Historia ya Pasaka (Easter): Chanzo, Mageuzi na Ukweli Usiosimuliwa Mara Nyingi.

    1. Asili ya Pasaka ya Kiebrania (Passover) Pasaka halisi, inayojulikana kama Pasaka ya Kiebrania (Hebrew Passover), ilianzishwa na Mungu mwenyewe kupitia Musa katika Agano la Kale. Inatajwa kwa mara ya kwanza katika Kitabu cha Kutoka 12, ambapo Mungu aliwaagiza Waisraeli kuchinja mwana-kondoo...
  17. T

    JamiiForums Tanzania Wana Simba wafahamu wachezaji walioipeleka Simba nusu fainali ya CAF champions Kwa mara Kwanza

    Ilikuwa mwaka 1974 wakati Kwa mara ya Kwanza Timu toka Tanzania kucheza nusu fainali za club bingwa nayo NI Simba SC. Baadhi ya mashujaa wetu walikuwa; 1-Golini: Athman Mambosasa a.k.a angaza juu. 2-Shaban Baraza/ Daudi Salum a.k.a Bruce Lee 3-Mohamed Kajole aka Machela 4-Athman Juma. 5-Omar...
  18. S

    JamiiForums Tanzania Vijana wauza simu Kariakoo acheni utapeli mara moja

    Kuna Vijana hapo mjini Kariakoo kazi yao nikuuzia watu simu used kwa bei za dukani. Pia wanauza simu fake kwa bei ya juu. Je, Hapa Tanzania hamna shirika la kupambana na simu feki?
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kama shilingi yetu ni himilivu ni kwanini kila mara bei ya mafuta inapanda?

    Kila mara tunaelezwa kuwa shillingi yetu ni HIMILIVU na inafanya vizuri. Kila Jumatano ya kwanza ya mwezi Serikali inatangaza bei mpya ya mafuta na tunaelezwa kuwa bei ya mafuta huko ughaibuni imepungua. Tuelezwe na Serikaali ni kwa nini sasa kila mara bei ya mafuta inapanda?.
  20. M

    JamiiForums Tanzania Mrema afukuzwe Chadema mara mona

    Huyu mrema alikuwa mpuuzi aliekuwa ananga utawala wa CCM ,ni muda muafaka kwa CDM kufanya maamuzi sahihi wakati sahihi kwa niaba ya Watanzania
Back
Top Bottom