Tangu tufanyie mapenzi kwenye boma lake, ilikuwa kama tumetia nuksi jamaa kashindwa kabisa kupaua hadi leo mwaka unaenda wa tatu

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Siku moja katika matembezi jioni nikiwa na mpenzi wangu,

Ikatokea tukatekenyana tekenyana zikapanda! Ilikuwa mida ya saa mojamoja tukasogea kwenye nyumba moja iliyokuwa katika hatua ya ujenzi wa kenchi!

nikamuinamisha tukapiga gemu tukasepa. Leo tumepita njia ile mwaka wa tatu sasa, demu wangu kanionesha ile nyumba tulipofanyiwa bado haijaezekwa bati hadi Leo!

Siamini kama kweli kufanya mapenzi kwenye boma kunaweza kuchangia kumtilia nuksi mwenye nyumba asimalizie!!!
 
Sio kweli,itakua mwenye Hilo boma alitumbuliwa siku nyingi kabla nyinyi hamjapi tamahala hapo
Ndo afikie kupiga kenchi halafu limshinde? Inamaana unaweza kupiga kenchi bila kujua bati utapata wapi
 
Kumbe ni nyie nyoko kabisa nyie!!! Ila nashukuru mganga wangu alifanikiwa kupata urojo wako pale na akaondoka nao kuushughulikia,ameniomba nisiendelee na ujenzi hadi amalizane na wewe,ndiyo unaona nimesimama ujenzi maana adhabu anayoipendekeza ni kubwa mno aisee!! Ndiyo namuomba aipunguze kidogo ili angalau ufe tu! Buriani
 
Kuna watu niliwahi kuwashuhudia wakinjunjana kwenye nyumba ya ibada, baada ya mda mfupi wakafanikiwa sana kwenye maisha ya hapa duniani. Ila sina uhakika huko mbinguni itakuaje...🤷🤷
Astakafirillah
 
Ndo afikie kupiga kenchi halafu limshinde? Inamaana unaweza kupiga kenchi bila kujua bati utapata wapi
Nakuambia hivi huyo alionja joto ya Magu.
Kwa taarifa yako hizo nyumba yooote nzuri zilizokamilika kwa 100% ailimia zaidi ya 40 zilikua gesti zamani.
Sio gesti tu,mambo mengi machafu yamefanyika humo,watu wamevutia mibangi,wengine waligeuza choo,wengine waliingiza mashoga humo lakini nyumba zilizokamilika.
 
Kumbe ni nyie nyoko kabisa nyie!!! Ila nashukuru mganga wangu alifanikiwa kupata urojo wako pale na akaondoka nao kuushughulikia,ameniomba nisiendelee na ujenzi hadi amalizane na wewe,ndiyo unaona nimesimama ujenzi maana adhabu anayoipendekeza ni kubwa mno aisee!! Ndiyo namuomba aipunguze kidogo ili angalau ufe tu! Buriani
Alokwambia mapenzi ni kama kula nyama nani? Kwamba tulikula tukabakisha mifupa ama!
 
Ukijitafakari vizuri utaona hata nyinyi mliachiana mikosi flan hivi.sababu ndani ya miaka mitatu ukiangalia ulichofanya unaweza ona ni sawa na huyo huyo mwenye hilo boma.Si jui kama hata mlishaoana tayari
 
Kwahiyo kwa akili yako kila penzi ni lazima liishie kuoana! Kukariri kubaya sana ndo maana mnachezewa kwa ahadi za uongo mnazopenda kusikia
 
Nanumemtia nuksi dem wako mwaka wa tatu sasa hajaolewa. Anatumika tu
 
Back
Top Bottom