Hivi kuna wanaoamini mapenzi ya kweli kama mimi?

Apollo one spaceship

JF-Expert Member
Jan 28, 2021
242
431
Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano.

Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata hawakuamini kirahisi.

Bado naamini ni swala la muda tu nitakuja kumpata. Amen.

Hivi kuna watu humu JF mna mindset kama yangu maana tamaa ya ngono na pesa imeharibu mahusiano ya siku hizi.

1620634748172.png

Kama naamini Yesu alikufa akafufuka,kwanini nisiamini kuwa mapenzi ya kweli yapo..???

Kuna watu tu/wa naenjoy hiyo pure love balaa...acha tuu.
Hivi kwanini
Kwa mfano wewe hapo umekosa kuenjoy hiyo pure love
Na mimi nimekosa hiyopure love

Hivi kwanini mtaani hatukutani watu wenye kutafuta hii kitu tgen tukaenjoy
Yaani sisi kutwa kucha tunalalama mitandaoni
Yaan huwezi amini nina mwaka wa tatu sijaitwa baby HONEY ile ya kubaniwa pua na macho remburembu
 
Tatizo mnaweza kukutana mkiwa nyote mmeisha choka mkajikuta kila mtu anaishi kwa kumskilizia mwenzie kwa kujua ipo siku atasalitiwa
 
Hivi kwanini
Kwa mfano wewe hapo umekosa kuenjoy hiyo pure love
Na mimi nimekosa hiyopure love

Hivi kwanini mtaani hatukutani watu wenye kutafuta hii kitu tgen tukaenjoy
Yaani sisi kutwa kucha tunalalama mitandaoni
Yaan huwezi amini nina mwaka wa tatu sijaitwa baby HONEY ile ya kubaniwa pua na macho remburembu
Ni suala la muda tuu..kama una amini utaenjoy,usiforce hivi vitu huwa vinatokea naturally
 
Kwa dunia ya sasa mapenzi ya kweli yanapatikana endapo mwanaume utakuwa na sifa zifuatazo

1.Una Kazi inayokuingizia kipato

2.Una biashara inayoeleweka

3.Unamiliki assets zinazoeleweka

4.Una hela ya kubadilisha mboga

Kama huna sifa moja wapo hapo juu mapenzi ya kweli utayapata mwanamke anajiuza ambae anatumia papuchi yake ipigwe na wanaume wengine kukulisha ww mwanaume wake na familia
 
Yapo,na hukolea mwanzoni kias kwamba hutamani kufa...ila sijui yanaharibikaje yaan
 
Licha ya kwamba marafiki zangu wengi Ni dungadunga na madungwadungwa,mm sijaathiriwa na hiyo tabia, bado nimetulia zangu nikiwa single nikitafuta anayeendana na Mimi; mwenye mapenzi ya kweli na uaminifu kwenye mahusiano.

Kwa bahati mbaya madem waaminifu kuwapata ni vigum, hata ukiwapata hawakuamini kirahisi.

Bado naamini ni swala la muda tu nitakuja kumpata. Amen.

Hivi kuna watu humu JF mna mindset kama yangu maana tamaa ya ngono na pesa imeharibu mahusiano ya siku hizi.

Mimi nayaamini 100% na namshukuru Mungu binafsi nina mapenzi ya kweli kwa nimpendaye
 
  • Nzuri
Reactions: BAK
Back
Top Bottom