Sina kabisa msamiati wa kubembeleza au kuvumilia katika mapenzi

ndege JOHN

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
19,553
44,722
Katika mademu kumi nitakaowatongoza Basi nane au tisa wananikataa hii Ni kwa sababu Mimi waga nikikutongoza Leo au nikikupenda leo nataka uingie geto siku hiyohiyo na ndo maana ndugu zangu kazi ya kuwambeleza wanawake nawaachia nyie Bora ukatae ili nikupotezee niendelee na mishe nyingine kuliko uniletee maringo wakati wajuba wengine wanajipuria kirohoo tu Kama kawaida.

Na sio kwamba waga siwapandii dau unakuta mtu namwambia kabisa njoo nitakupa buku tano na teni lakini Bado mtu anakupanga Mara ooh nitakushtua dakika ya mwisho unakuta manyoya mtu hatokei halafu anachukulia POA tu.

Nachokifanya me nakutafutia kasoro yoyote mwilini mwako ili nizidi kutokukupenda hatimaye ukaniumiza ..kwa mfano mademu wa Huku Kanda ya kwetu Wengi Wana meno ya kuoza oza Basi akiniletea lomoni tu me najisemea moyoni "Kwanza aah demu mwenyewe meno mabovu wa nn si Bora nitulie tu nisubiri huenda nikaja kuotea goma la ukweli lenye meno white" au Kuna demu mwingine juzi alinichomesha mahindi halafu Ana tumbo kubwa kubwa nikajisemea "aaah wa Nini na litumbo lake Kama kiroba" Basi ndio inakuwaga inaishia kwa style hio maisha yanaendelea na siachi kuzira kwa taarifa Yao.
 
Me nakuzira kweli nishazoea kukataliwa mpk na Malaya wanaojiuza.kuna Malaya nilikuwa naenda kupiga Sasa Kuna siku nikaenda nimepiga tungi nimewaka kufika kwenye game nashangaa wazungu hawatoki piga Sana Ila no cum..demu kanitoa kanifukuza Kuna siku nikarudigi Tena kwenye ile bar demu kakataa kabisa kunipa huduma shenzi wahead.
 
Me nakuzira kweli nishazoea kukataliwa mpk na Malaya wanaojiuza.kuna Malaya nilikuwa naenda kupiga Sasa Kuna siku nikaenda nimepiga tungi nimewaka kufika kwenye game nashangaa wazungu hawatoki piga Sana Ila no cum..demu kanitoa kanifukuza Kuna siku nikarudigi Tena kwenye ile bar demu kakataa kabisa kunipa huduma shenzi wahead.
Me Naambiwaga sina Lugha nzuri, Bado napitia kamusi kupata misamiati.
 
Ndo hivo ndugu yangu tatizo Ni uhandsome wangu ndo unanipa jeuri nakuja kuona wa nn akati hapa nilichopeleza Ni kazi tu na makwaru Basi nikipata na pesa kdg ndo kabisa nakula grade wale wa kishua Safi
 
mwanamke usimuneshe unamhitaj sana.wee saundisha km hutaki vile ataanza ile poa ila sitakaa sana
 
Back
Top Bottom