mapenzi

  1. deina

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwenza

    Mimi ni msichana, mkazi wa Dar es Salaam, single, miaka 24, Mkristo, muajiriwa sekta binafsi, mrefu, maji ya kunde, mnene kiasi, natafuta mwenza. Sifa: ~Mrefu, mweusi au maji ya kunde, mnene kiasi, awe Mkristo pia. ~ Awe ni kijana kuanzia miaka 29-40. ~ Awe na kazi. ~Na awe mkazi wa Dar es...
  2. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Huruma ya kimkakati katika mapenzi

    Upole, busara na hekima ya kimaongezi na kujali yataka kuwa shubiri iliotamu. Ipo hivi kuna pisi inapitia nyakati tata ako na boy wake yuko TASAF mahali, jamaa hapati fursa ya kula mbususu, sasa upweke wa hii pisi nimekuwa mfariji, anaebalance hisia zake na utulivu. Of recent, she has amidstly...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Madhara ninayoyapata kwa kutofanya mapenzi toka nizaliwe

    Mimi ni kijana wa kiume,umri wangu ni early 20s. Kiukweli toka nizaliwe hadi sasa sijawahi kufanya mapenzi(penetrative sex) licha ya kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na wasichana kadhaa,lakini wote tumeishia kufanya romance tu. Nimebahatika kuwa na muonekano mzuri kidogo kwa hiyo pisi nyingi...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kufanya Mapenzi mara kwa mara kunasaidia kuifanya ngozi ya mwanamke iwe nyororo na isiwe na chunusi?

    Hivi ni kweli kuwa kwa mwanamke kufanya mapenzi mara kwa mara kunamsaidia kuondoa chunusi na kuifanya ngozi yake kuwa nyororo na yenye mng'aro angavu? Kuna uelewa wa kitaa kuwa sex inamsaidia sana mwanamke kutokua na chunusi. Na hata wanawake ambao wanajulikana hawafanyi sex mara kwa mara...
  5. F

    JamiiForums Tanzania Natafuta mume

    Bwana yesu asifiwe! Wakuu natafuta mume ambae yuko serious kuishi na mie tufunge ndoa tuishi pamoja. Mimi ni mzaliwa wa kilimanjaro mwaka 1993 mkoani kilimanjaro. Nina Bachelor Degree ya Medicine niliyoipata Chuo cha Muhimbili na pia nina Masters Degree ya Medicine specialise kwa watoto kwa...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Saikoloijia ya mapenzi

    Kwenye saikolojia ya mapenzi wanaume na wanawake wanapenda tofauti wanaume wengi tunapenda mwanamke kwa muonekano ila wanawake wengi wanapenda wanaume kwa njia tofauti ,cha kwanza uwe unamvutia kihisia yaan bad boy , Pili muonekano ingawa ni wachache sana ndio maana unaweza ukawa na muonekano...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Saikolojia ya Mapenzi

    KWENYE SAIKOLOJIA YA MAPENZI WANAUME NA WANAWAKE WANAPENDA TOFAUTI WANAUME WENGI TUNAPENDA MWANAMKE KWA MUONEKANO ILA WANAWAKE WENGI WANAPENDA WANAUME KWA NJIA TOFAUTI ,CHA KWANZA UWE UNAMVUTIA KIHISIA YAAN BAD BOY ,PILI MUONEKANO INGAWA NI WACHACHE SANA NDIO MAANA UNAWEZA UKAWA NA MUONEKANO ILA...
  8. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwenzi ambaye ni muhimu kuwa na sifa hizi

    Nina miaka 40+, elimu Shahada ya miaka 15 iliyopita. Nina shughuli zangu binafsi, naishi DSM, na wakati mwingine husafiri kwenye shughuli zangu za kikazi. Nahitaji mwenzi ambaye kadri tutakavyofahamiana ndivyo tutajua kama tunaweza kuwa wachumba au laah. Kwa maana tunahitaji kuamua kwa pamoja...
  9. Masai wa Town

    JamiiForums Tanzania Ulijifunza nini kupitia penzi lililopita?

    Habari za muda huu, mapenzi hufunza hususani baada ya kuisha. 1. Binafsi nimejifunza kutokurudiana na X ni jambo muhimu sana kwenye ulimwengu wa mapenzi. Akishakuwa X, ni X milele, hakuna tena nafasi ya kurudisha mapenzi. Nitamsamehe makosa yake lakini sitoruhusu kurudiana. Yeye ni yule yule...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Rukwa: Waganga 170 wakamatwa, wengine walikuwa wakifanya mapenzi na wake za watu

    Watuhumiwa hao wanadaiwa kuwalaghai wananchi kuwa wana uwezo wa kuwatambua na kuwaadhibu wachawi, kusafisha nyota na kufufua wafu hivyo kusababisha chuki, husuda, na taharuki. Kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Theophista Mallya, waganga hao wanakuwa na kioo kinachodaiwa kutambua kama kuna uchawi...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi nilivyonusurika kuuawa Arusha sababu ya mapenzi

    Basi bwana siku moja nikiwa Dom, simu ikaita, kuangalia hivi ni 'baby' wangu wa zamani ati anataka niende kumsalimia ati kanikumbuka, mara kakumbuka 'show' za kibabe pamoja na kunibania pua mradi tu nimuelewe. Nilikuwa natamani kwenda Arusha na kweli nimemkumbuka hatari, nikaona isiwe kesi...
  12. Poker

    JamiiForums Tanzania Amuua mwanawe wa kiume kwa kujihusisha na mapenzi ya jinsia moja

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida kabisa na ya kusikitisha mkazi mmoja wa Ndola huko Zambia amemuua mwanawe wa kiume kwa kumwekea sumu kwenye chakula. Hiyo ni baada ya mwanawe wa kiume kuja kumtambulisha mpenzi wake wa kiume kwa baba yake, ambaye hakutaka kabisa kukubaliana na ukweli wa mambo...
  13. whiteskunk

    JamiiForums Tanzania Mrejesho baada ya kukaa mwaka bila kujihusisha na mapenzi

    Mara ya mwisho kujihusisha na mapenzi ilikuwa mwaka jana na mwezi wa 10 hivi, Nikipiga hesabu inakaribia mwaka Mtu wa mwisho kukutana naye ameolewa na ameshajifungua. Baada ya kukaa mwaka bila show haya ndiyo mabadiliko ambayo nayaona. Kila mwanamke namuona ni mzuri, natamani kila mwanamke na...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Mnaosema mapenzi ni pesa "hampendwi!!". Tazama huyu aliyeyapatia mapenzi

    ...........,................................................................... UPDATES. Nimebaini kuwa mapenzi yanajengwa na mambo ya kijinga na kipuuzi kama;- -kujitumikisha kama huyo mama pichani. - kunyonya kamasi za mwenza. -kusafisha sehemu za haja kubwa za mwenza kwa ulimi, n.k. ©Kungwi...
  15. I

    JamiiForums Tanzania Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

    Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu. Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana. Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
  16. kwisha

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

    Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida. Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya. Usichat naye wala...
  17. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Marekani sasa yanafuata misingi ya vyama vya siasa

    Kadri siku zinavyokwenda hivi sasa nchini Marekani inaonekana ni ngumu sana kwa mtu wa Republican kuoa/kuolewa au kuwa na mpenzi toka Democratic na hivyo hivyo kwa Democratic kwa Republican. Mambo yamekuwa magumu.
  18. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  19. sanalii

    JamiiForums Tanzania Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

    Shalom, Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki, Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
  20. Natafuta Ajira

    JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wenye mapenzi na sisi ni mama zetu waliyotuzaa tu

    Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja. Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia? Bora angekuwa mpenzi...
Back
Top Bottom