mapenzi

  1. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tukio gani kutoka kwa mpenzi wako lililokufanya uone mapenzi mateso

    Kweli mapenzi saa ingine ni mateso tu. Sitosahau siku ambayo tulitembea usiku zaidi ya migahawa 6 kisa kila mgahawa tunaoingia anasema hajaona chakula cha kula (na ni migahawa mizuri ya mjini) huku akidai ana njaa sana. Baada ya kutoka mgahawa wa 6 akasema eti bora niende kumsongea mm mwenyewe...
  2. kwisha

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jinsi ya kumpata mwanamke yeyote unayemtaka

    Kwanza omba namba zake halafu chat naye kikawaida. Kwa siku kaza usiongee naye kuhusu mapenzi wala nini, wewe chat naye au ongea naye kikawaida. Baada ya hapo tafuta pesa halafu chukua, mfano umepata 50,000 chukua 15,000 au 25,000 mtumie bila yeye kuomba halafu kaa kimya. Usichat naye wala...
  3. Allen Kilewella

    JamiiForums Tanzania Mapenzi Marekani sasa yanafuata misingi ya vyama vya siasa

    Kadri siku zinavyokwenda hivi sasa nchini Marekani inaonekana ni ngumu sana kwa mtu wa Republican kuoa/kuolewa au kuwa na mpenzi toka Democratic na hivyo hivyo kwa Democratic kwa Republican. Mambo yamekuwa magumu.
  4. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kweli nawaambia, ili nchi hii iendelee inahitaji Rais Shupavu, Smart, Mwenye Uchungu na Nchi na Mapenzi kwa watu wake

    Tanzania haiji endelea hata siku moja kwa kuwa na Rais Legelege, mpiga porojo,chuma ulete,mpenda starehe,mdekezaji,mwivi,fisadi,asiyejiamini, anayeendeshwa na watu kadhaa. Nchi italiwa, itafisaidiwa kodi na mikopo. Wezi watakumbatiwa na kutamba kwenye korido za Ikulu. Maskini wana maskinika...
  5. sanalii

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila nikimkumbuka moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?

    Shalom, Kwa sisi wasabato leo ni siku ya kwanza ya wiki, Nikirudi kwenye mada, nimemkumbuka sana mwandani wangu hadi yani nakuwa naweweseka, nikiona jina lake au text moyo unapasuka, haya ni mapenzi au ugonjwa wa moyo?
  6. Natafuta Ajira

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume tutafute hela, wenye mapenzi na sisi ni mama zetu waliyotuzaa tu

    Imefika hatua mpaka dada wa tumbo moja ananipotezea, embu fikiria dada yako kabisa inapita mwezi hajawahi kujibu ujumbe wako hata mmoja. Yupo online na ujumbe unaonekana umesomwa lakini kujibu tu kuna ugumu gani, najiuliza hivi ningekua na uwezo kifedha angenikaushia? Bora angekuwa mpenzi...
  7. THE FIRST BORN

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mahusiano mengi ya kimapenzi yanavunjika kwa sababu wengi wameyafanya kuwa chanzo chao kikubwa cha furaha

    Habari wana jukwaa. Leo nataka niseme kitu kidogo sana. Ushajiuliza kwanini mahusiano mengi yanavunjika, namaanisha mahusianoa ya mwanamke na mwanaume? Jibu ni rahisi sana, sababu ni kuwa, wengi wa wale wanaoingia kwenywe mahusiano ya kimapenzi lengo kubwa ni kupata furaha kupitia mapenzi...
  8. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Usilazimishe mapenzi unaharibu 'brand' ya familia yenu

    Kuna hawa wanawake hawashawishiki hususani pisi kali, kama wamekaza msamba kaa nao mbali. Kuwalazimisha unashusha 'brand' ya familia yako. Kuwa makini usije potea njia ukakutana na ngumi mchomoko au ndoige inayokata kona.
  9. Mr Pixel3a

    JamiiForums Tanzania Wanawake pisi kali wana tofauti gani na hawa wengine kwenye mapenzi?

    Kumekuwa na wimbi la vijana wengi wanatamani kudate na pisi kali kila iitwapo leo. Mtupe ujuzi; je, hawa pisi kali wana ubora upi na sifa zipi ukilinganisha na hawa wengne kwenye sekta ya mapenzi?
  10. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwalimu Mwakasege: Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga!

    Mwalimu Mwakasege amesema kabla vijana hawajaungana Katika Ndoa ni vema wajitafakari kama Mungu ndiye anawaunganisha kwa Imani na siyo Upendo pekee. Mwalimu Mwakasege amesema Upendo ukipoa basi Imani inaibeba Ndoa yenu. Inashangaza kuona kijana anaachwa kimapenzi anakimbilia Kujinyonga...
  11. J

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi na umri ulionao bado unaendeshwa na mapenzi?

    Tunajua mapenzi yanaendesha Dunia. Tumesikia na kujionea mapenzi yalivyo na nguvu, lakini sina uhakika kama yanaweza kuhamisha milima kama wasemavyo. Umri uliyonao na mambo uliyokwisha pitia, hivi bado wewe ni wakuendeshwa na mapenzi kweli au umerogwa? Ndugu yangu kubali kukua na ujifunze...
  12. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Je, tulikuwa tunangojea twende Kwake Geita ili tuonyeshe Mapenzi yetu ya Kinafiki kwa Wamachinga aliokuwa akiwapenda na kuwajali?

    Na ni Matumaini yangu makubwa GENTAMYCINE kuwa hata pale tulipoenda Kuzuru Kaburi lake tulimuomba Msamaha kwa Kuharibu karibia 75% ya Mambo ya Msingi ( hasa ya Kimiradi ) aliyokuwa anaitekeleza huku hadi sasa 90% imesimama baada ya kuruhusu Kukumbatiwa na Mafisadi na Mafia wa 2005 hadi 2015...
  13. Ibrahimeliza

    JamiiForums Tanzania Unataka kupendwa?

    Kama kweli unataka kupendwa na kuheshimiwa na watu fanya haya. 1) Jua thamani yako. Kujitambua 2) Jifunze kuzuia hisia zako. Husivauke, maamuzi sahihi yanapatikana kwakutokuwa na hasira wala shahuku/furaha 3) Husishobokee vitu vya watu. Iwe mke, gari, nyumba chochote kile acha shobo. 4) Jua...
  14. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Iker Casillas ajitangaza kuwa yeye ni mshiriki wa mapenzi ya jinsia mmoja

    ALIJIUNGA na Real Madrid akiwa na Umri wa miaka tisa. Akaweza kuichezea Klabu hiyo Kwa miaka 25 huku akifanya Makubwa na kuweza kubeba Makombe 19,Baba wa watoto wanne,IKER FERNANDEZ CASILASS amejitangaza rasmi kuwa anajihusisha na Mapenzi ya Jinsia Moja ikiwa ni Mwaka Mmoja tangu aachane na...
  15. Jbst

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mapenzi ni upuuzi

    Nimegundua kwa mara ya pili mapenzi ni upumbavu na upuuzi tu, yalishanikuta mara ya kwanza nikapuuzia na hii mara ya pili nathibitisha ni upuuzi tu! Baada ya siku kadhaa kuwakejeleli watu hapa JF waliokuwa wakilialia kipuuzi kuhusu mapenzi na mimi yamenikuta aisee! Unampenda mtu na kumjali na...
  16. Zainab j

    JamiiForums Tanzania Akatwa kichwa kwa kushiriki mapenzi ya jinsi moja

    Mpalestina anayeshiriki mapenzi ya jinsia moja akatwa kichwa eneo la West Bank Haijafahamika ni vipi Ahmad Abu Marhia alifika katika mji wa wa nyumbani kwa wa Hebron Polisi wa Palestina wamemkamata mshukiwa wa mauaji ya mwanaume mwenye umri wa miaka 25-baada ya mwili wake kupatikana ukiwa...
  17. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Unamshangaa Masanja? Msome hapa JB Mpiana ujue maana ya uvumilivu kwenye mapenzi

    Kwanza nawasalimu kwa jina la Chama Pendwa CCM.... Yaani penda usipende CCM imebeba matumaini yako kama mtanzania. Tukirudi kwenye lengo la uzi ni kwamba nimeshangazwa sana na watu wanaomshambulia mmiliki wa kanisa la Feel-Free, comedian Masanja Mkandamizaji kwa kumsamehe mkewe anayesemekana...
  18. SaulGoodman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wakiwa na hasira ni raha!

    Guys I hope you're doing just fine, and so do I. Basi bana kama ilivyo ada leo nina jambo la ku share na ninyi especially wanaume wenzangu. Wanawake bwana wakiwa hana hasira ni raha mpaka nashindwa kuelekeza. Niende sasa kwenye kisa kilichonikuta kitambo kidogo wakati niko chuo. Kulikuwa na...
  19. SaulGoodman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni aibu gani umewahi mfichia mpenzi wako?

    Habarini za wakati huu wandugu. Naomba niende kwenye mada kama jinsi kichwa kinavyosomeka. Binafsi nimewahi kuwa na mahusiano na wanawake wengi tofauti tofauti na binadamu tuna mapungufu yetu lakini wakati mwingine mapungufu yetu haya yanaweza kuwa unbearable kwa mwingine. Nilikutana na huyu...
  20. ommytk

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, mapenzi ni upendo au ni tendo?

    Ebu leo tuzungumze ili je mapenzi ni upendo au mapenzi ni kitendo. Iko hivi mfano tuseme mapenzi ni upendo je mbona kuna mtu anaweza kuwa na mpenzi wake akaenda kusaka mpenzi mwingine hii ina maana je ana upendo na yule aliyenae? Labda tuseme mapenzi ni TENDO ndio maana mtu unaweza kwenda ata...
Back
Top Bottom