mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Inside10

    JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  2. Fbn

    JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  3. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  4. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Comments za no reform no election zimeyeyuka mapema mitandaoni

    Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election. Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza...
  5. Sigonella Island

    JamiiForums Tanzania General wa Israel kaliwa kichwa mapema

    General wa Israel aliyechelewa kuingia kwenye mapango ametafunwa mara moya na makombora ya Iran 🇮🇷🇮🇱 | BREAKING: Highly credible reports confirm the Israeli Navy Commander has been killed in Iran’s precision ballistic missile strike — a seismic blow to Tel Aviv’s military command.
  6. W

    JamiiForums Tanzania Yote haya ni kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF na Yanga wameanza kujipanga mapema kuhakikisha wanachukua uongozi.

    Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi. kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
  7. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
  8. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Lissu aliliona hili mapema kabisa

    Tujiandae kwa mambo magumu sana.. - Tundu Lissu https://www.facebook.com/share/r/18xmqLs52k/?mibextid=xfxF2i Je huu ndio mwanzo wake? Nini kitafuata? Na mwisho wake ninini? Hawa wanachama wafuasi na wapenzi wa CHADEMA wakiachwa pekeyao bila kiongozi bila mfariji.. Mtu wa kuwapa tumaini.. Mambo...
  9. Godfrey- denis

    JamiiForums Tanzania Umuhimu wa kuanza uwekezaji mapema!

    Miaka miwili iliyopita, nilimshauri rafiki yangu kuwekeza kwa kununua hisa za CRDB zikiwa Tsh 400 kwa kila hisa. Leo, tumekutana tena, na akaniuliza, “Sasa hivi zimefikia shingapi?” Nikamtazama, nikatabasamu kisha nikamwambia, “Tsh 800 kwa hisa, sawa na ongezeko la 100%... na hapo hujaweka...
  10. M

    JamiiForums Tanzania John Mrema wa CHAUMMA amefeli mapema

    Nimefatilia account yake ya X ameshindwa hata kupost habari pamoja na watu waliohudhuria mkutano wa CHAUMMA wa jana mwanza. Hii tofauti kabisa na matarajio ya waliowengi maana kabla ya mkutano ule akitamba sana ktk account yake hio kwa kuonesha jamii kwamba chaumma imeenda kuiua chadema kama...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Wasiwasi: Sakata la Gwajima lisipotatuliwa ifikapo alfajir, sidhani kama kuna barabara itapitika, tahadhari ichukuliwe mapema

    Binafsi naona kuna kila dalili ya waumini wa Gwajima kuendeleza mapambano kwa kufunga barabara zaidi, hasa zile za muhimu za rushhour ya kuelekea mjini.., panaweza pakatokea unprecedented chaos. Serikali ijishushe na kuachana na huyo jamaa, inawezekana ana majini, maana hii si kawaida, serikali...
  12. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Naona mapema nitashindwana na huyu Single Mother

    Ni dada ambaye nimempenda naye kanipenda.lakini ana mtoto wa miaka 5 huyu mtoto amedekezwa sana. Mimi kwangu ni kero kwa kweli. Mtoto ananyonya vidole? Mtoto anayenyonya vidole namwona ni toto jinga jinga. Akitaka kulala anaanza na kulia kwanza so mama yake anambembeleza ndo alale. Akishtuka...
  13. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Butondo Ashauri Pembejeo za Kilimo cha Pamba Kutolewa Mapema

    MBUNGE BUTONDO ASHAURI PEMBEJEO ZA KILIMO CHA PAMBA KUTOLEWA MAPEMA Mbunge wa Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Mhe. Boniphace Butondo ameishauri Serikali kusambaza pembejeo za kilimo cha zao la Pamba kwa wakati ili wakulima waanze maandalizi mapema hali itakayoongeza tija katika uzalishaji wa...
  14. Nusratt

    JamiiForums Tanzania Wanawake Tubadilishe Style vitandani, Wanaume Wanatuchoka Mapema

    Wanawake wenzangu mnachoshindwa kubadilisha style vitandani ni nini? Mbona mimi na Mshangazi dot com huwa tunawabadilishia style vitandani waume zetu secretarybird, uzuri_hatujuani pamoja na Mbaga Jr? Ngoja niwape siri enyi wanawake wenzangu. Mwanaume anachoka na style moja. Huwa tu hawana...
  15. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli Project G55

    Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi. Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana kuuharibu uchaguzi wa CDM, plan B ya CCM ikawa ni kulitumia kundi lililoshindwa. Njaa haina baunsa...
  16. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Nalazimika kutaja mapema yale makosa niliyosema ambayo yanaweza kuinyima Simba ubingwa wa CAF Shirikisho

    Juzi hapa nilisema kuna makosa mawili ya nje ya uwanja ambayo yanaenda kuinyima Simba ubingwa wa CAFCC ila nikasita kuyataja. Kuna watu walinihusia sana niyataje makosa hayo ili yafanyiwe kazi. Baada ya mechi ya jana nimesukumwa niyataje mapema na nione kweli dhamira ya kusikiliza maoni ya watu...
  17. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Lamine Yamal apewe Balon D'or yake. Ni zaidi ya Ronaldo, Messi, Neymar na Gaucho

    Nimemuangalia huyu dogo uchezaji wake halafu nikarudi kuwaangalia hao wazee kipindi wako kwenye pick na huyu dogo kwa umri miaka 17 na vitu anavyovifanya itoshe kusema sijawahi kushuhudia kipaji Cha mpira kama hichi Wazee msije kuongea utumbo hapo chini najua wengi mna wivu na dogo kwakuwa ana...
  18. Matteo Vargas

    JamiiForums Tanzania Yanga wamesahau vipi mapema hivi kuwa Amis Tambwe alishaifunga Simba kwa kutumia mkono?

    Yani Yanga wanavyolalamika utaweza kusema wao hawajawahi kubebwa hata siku moja. Tena mbaya zaidi wao bila aibu walibebwa kwenye derby. Ninaamin km ndio Simba angebebwa vile basi hawa Yanga wangeenda CAS. Hilo ni moja kati ya vituko vingi ambavyo Yanga wamefanyiwa na marefa ikiwemo magoli ya...
  19. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Kama Lamine Yamal hawatamwahi mapema sana atapotea

    Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja. Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana...
  20. Brayan_Jk

    JamiiForums Tanzania 🐔 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndio Sababu Kwanini Wafugaji Wengi Hupoteza Fedha Kabla mapema sana ! Soma hizi Sababu 4 kuepuka kufeli !

    🐣 Unataka Kuanza Ufugaji wa Kuku? Hizi Ndiyo Sababu Kuu Kwa Nini 70% ya Wafugaji Huacha Kabla ya Miezi 6! 😩👇 1️⃣ Bajeti 💸 – Wengi Huanza Bila Mpango wa Fedha Watu wengi huingia kwenye ufugaji bila kujua gharama halisi za: 🔹 Chakula 🔹 Dawa 🔹 Vifaa 🔹 Huduma Matokeo? Mtaji unaisha kabla kuku...
Back
Top Bottom