mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 9D hatufiki, mambo yatakwisha mapema tu

    Hayo mambo ya Kuandamana Kwa mabango na wahuni wanakuja na machine za moto kuuwa Watanganyika, hilo halipo na wazalendo hawataliruhusu Hakuna haja ya kusubiria 9D Muda wa Maneno imekwisha Sasa ni vitendo
  2. A

    JamiiForums Tanzania KERO Kama Chuo Kikuu Huria (Open University) kilitengenezwa kwa ajili ya Wanasiasa pekee, mngetuambia mapema

    Kwa miaka yangu mitatu niliyokuwa hapa chuoni nimeona Walimu wetu wakionyesha dharau na kutosimamia majukumu yao sawasawa na kwa wakati. Miaka yote kumekuwa na tatizo la kuchelewa kwa matokeo, unaweza kuwekewa matokeo wiki mbili baada ya Graduation na ukakosa nafasi ya ku-graduate mwaka husika...
  3. Pendaelli

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Onyesha sumu yako mapema watu wakujue wewe ni nani

    Ni msemo niliuona mahali kwamba onyesha sumu yako mapema nyoka asingekuwa na sumu watu tungemgeuza kamba! Kilicho tokea wakati wa kutangazwa mawaziri na manaibu wao alionyesha sumu yake mapema kabisa ili tujue yeye ni nani na kwamba si muoga wa maneno ya watu matamko na mijadala yao...
  4. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tetesi: Inasemekana wachezaji hawa Yanga wameanza kushindikana mapema, uvivu

    I salute you kinsmen Wakuu za chini ya kapeti ni kuwa kuna baadhi ha wachezaji wa team yetu wamekuwa hawatoi ushirikiano kwa asilimia mia na kuwa wavivu wakubwa kazini kwao. Ndio maana hatushangai sana kuwa hawapangwi kabisa 1️⃣Balla mussa Conte 2️⃣Lassine kouma Hawa jamaa inasemekana...
  5. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Tumeona watu wakirudisha mitungi ya wizi nyumbani, wakuiba nguo za watu madukani, wakichoma vituo vya mafuta, tunaomba hukumu zitolewe mapema wafungwe

    Unajisikiaje unapotumia mitungi ya gesi ya wizi kupitia maandamano? Unajisikiaje kuchoma duka/Sheria za watu? Unajisikiaje unapochoma gari la mbao limekukosea Nini? Unajisikiaje kubomoa miundombinu ya mwendokasi ambayo unatumia mwenyewe? Unajisikiaje kuvunja ATM ili kuiba hela za sisi ambao...
  6. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa alichosema Mange Kimambi kama ni kweli, basi JWTZ walipaswa waseme mapema zaidi

    Ipo video amepost dada wa Taifa imenifanya kuleta uzi huu kwani nimewaza mengi bila majibu. Mange anasema yaani kuna vikosi vinamilki bunduki bila risasi! Kikosi kingine kinamilki risasi lakini hakina bunduki! Dada wa Taifa anasema kuna vikosi vina milki vifaru lakini hizina munitions Na walio...
  7. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Wapiga kura Zanzibar kushiriki kura ya mapema leo Jumanne

    Wapiga kura visiwani Zanzibar leo Oktoba 28, 2025 wanaanza zoezi la kupiga kura katika kile kinachofahamika kuwa ni "kura ya mapema" ya uchaguzi mkuu wa Tanzania. Vituo vya kupigia kura vimefunguliwa kuanzia saa moja asubuhi na kufungwa saa 10 jioni na matokeo ya urais yatatangazwa ndani ya saa...
  8. Its Pancho

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kikosi cha Jumamosi ijayo chini ya Patrick Mabedi, mapema tu wamalawi wanakufa kama kikipangwa

    I salute you kinsmen Folz tayari kishamlamba na sasa tuangalie mbele zaidi na kaimu kocha Mabedi.. Ila nina imani kuwa Bala mussa conte sio mbaya kihivyo ila mfumo tu ule ulimkataa. Kama jumamosi kikosi kikiwa hivi hakika tunaua mbu kwa rungu la kipepe. 1️⃣Diara 2️⃣hapa acheze assinki...
  9. Sales man

    JamiiForums Tanzania Chukua chako Mapema wanaendeleaje na kampeni?

    Nauliza CCM C-Chukua C -Chako M- Mapema Mmefikia wapi sasa
  10. Damaso

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je unatazama filamu za mauaji mara kwa mara, ukiwa peke yako na kufurahia? Wahi Hospitali mapema

    Kuna kundi la watu linalokua kwa kasi ya ajabu sana katika ulimwengu wa burudani – wale wanaopenda kutazama filamu na tamthilia za wauaji (serial killers). Wengine wanajitapa kwamba wameangalia na kupenda sana kutazama filamu kama Zodiac, Hannibal, Mindhunter, au I Saw the Devil mara kumi au...
  11. Desierto

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Kesi ya Lissu inaweza kuitwa mapema kabla ya tarehe iliyopangiwa

    Kabla ya October 30 inaweza kuitishwa tarehe za hapa kati hii ni kutokana na kwamba TANZANIA sio kisiwa. Wamekuna vichwa mpaka ngozi zinatoa damu kwani hata wao hawajui wamalize vipi maana walichokitarajia kimekuwa kinyume nyume MUNGU ibariki tanganyika. MUNGU ibariki tanzania. MUNGU bariki...
  12. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Tarehe 29 Oktoba, piga kura yako mapema na nenda nyumbani

    Watanzania ni watu watulivu, watu wa amani, watu wa hekima, ila si wajinga. Uchaguzi ni mara moja kila miaka mitano, na ni haki ya kikatiba kila mtu kuchagua ampendaye kukalia kiti cha urais, ubunge au udiwani. Watanzania tusipoteze nafasi hii, ya kikatiba. Watu wasio waelewa wanasema siku hiyo...
  13. Uwesutanzania

    JamiiForums Tanzania Wanawake hufa mapema kuliko wanamume

    Dunia kwasasa imepoteza wasomi na wanasayansi wengi wenye vipaji na akili za ziada kama mimi. Kiufupi kila sehemu nikiona pameandikwa wanamume hufa mapema kuliko wanawake huwa nashusha thamani elimu ya sasa,. Sasa wacha niingie kwenye mada yenyewe. Japo ni vigumu kidogo kunielewa ila...
  14. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Usifanye mazoezi mazito baada ya miaka 35, Unajiua mapema

    Miili yetu hufika ukomo wa ukuaji unapofikisha miaka 35, kwa lugha rahisi mwili kua active kutengeneza cell mpya zenye ubora pia utimamu wa misuli na akili peak yake ni miaka 35, hivo basi kabla hujafika miaka 35 hakikisha unafanya mazoezi ya kutosha mbelen uko mazoezi hayana impact kubwa sana...
  15. Minjingu Jingu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naanza kushindwa mapema. Naombeni msaada wenu

    Kuna single mother mmoja nimemwelewa.nikasema ngoja nipendane naye sababu ana roho nzuri n.k. Ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto ananyonya vidole na anadeka sana. Mimi kwa kweli sipendi mtoto anyonye vidole. Nimejaribu sana kumwambia amkataze mtoto kunyonya vidole. Anasema aataacha tu mwenyewe...
  16. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Dkt Magembe awataka Waganga Wafawidhi kufanya Mawasiliano ya Mapema kabla ya Rufaa

    Mganga Mkuu wa Serikali Dkt. Grace Magembe ametoa wito kwa Waganga Wafawidhi wa hospitali za Rufaa kuzingatia mawasiliano ya awali kabla ya kumpa mgonjwa rufaa kwenda hospitali ya Kanda kwa lengo kutoa msaada wa haraka kwa mgonjwa. Ameyasema hayo Agosti 21, 2025 wakati akifungua Kikao Kazi cha...
  17. McLaren

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Presha ya baba zao ilivyowaondoa mchezoni mapema Watoto wa Beckham, Zidane na Totti

    Wakati wazazi wao wakiwa ni maarufu kwa makubwa waliyoyafanya kwenye mchezo wa soka, wao wameshindwa kufikia angalau nusu ya mafanikio ya kile ambacho baba zao walikifanya walipokuwa wakicheza. Enzo Zidane mtoto wa Zinedine Zidane ‘Zizzou’, Romeo Beckham mtoto wa David Beckham na Cristian Totti...
  18. H

    JamiiForums Tanzania Watazania mkitaka kesi za wapinzani ziishe mapema i.e: Lissu msizipe nafasi kubwa na kuzijali

    Ni wazi kesi dhidi ya wapinza zinatengenezwa na serikali kwa kushirikiana na wapinzani husika i.e:Lissu kwa maslahi ya viongozi wa serikali au chama tawala na viongozi wa upinzani ambao ni sehemu ya ccm. Nakuhakikishia kesi hizo ni za kutungwa na viongozi wa upinzani wako kazini kwa masilahi ya...
  19. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Jaji Mwambegele: Kura ya Mapema kwenye Uchaguzi Mkuu 2025 itapigwa Zanzibar pekee

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (#INEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele anafafanua kuhusu Kura ya Mapema wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025 kwa kusema: “Sheria ya Uchaguzi Zanzibar inaeleza kuwa kuna Watu wanaruhusiwa kupiga kura mapema siku moja kabla ya Uchaguzi...
  20. The redemeer

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusiana na Maisha Unaopaswa kuujua mapema Kabla Hata ya kufikisha miaka 18

    Ukweli ni Kwamba MAISHA NI KUPANGA NA KUPANGA NI KUCHAGUA Na cha kusikitisha ni kwamba… KILA SIKU UNACHAGUA — hata bila kujua. Kila jambo unalofanya ni uchaguzi: – Unapochagua kulala badala ya kusoma... – Unapochagua kula bata badala ya kuwekeza... – Unapochagua kulalamika badala ya...
Back
Top Bottom