mapema

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wakusoma 12

    JamiiForums Tanzania CCM anzisheni mchakato wa kutafuta mgombea wa urais ili waombaji watafute wadhamini mapema acheni kushupaza shingo.

    Huu ni ushauri tu maana imeandikwa kwenye "ashupaye shingo atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa" inatoka katika Biblia, hasa katika kitabu cha: "Mtu ashupaye shingo baada ya kukemewa mara nyingi, atavunjika ghafula, wala hatakuwa na dawa." "Atavunjika ghafula" maana yake ni kwamba...
  2. jerry spare parts service

    JamiiForums Tanzania Lack of Proper Diagnosis Tools – Sababu Kubwa ya Magari Mapya Kuungua au Kuharibika Mapema

    Moja kati ya sababu kuu zinazochangia magari mapya – hata yale yenye namba mpya kama plate E – kuharibika mapema, ni ukosefu wa vifaa sahihi vya utambuzi wa matatizo (diagnosis tools) kwenye karakana nyingi hapa nchini. Katika miaka ya karibuni, magari mengi yamekuwa ya kisasa zaidi, yakiwa na...
  3. Kimbesa11

    JamiiForums Tanzania Polepole angekuwa anajijua kuwa hana mvuto wa kisiasa asijengejiuzulu, kwa kutoa shutuma za uongo na upotoshaji amejipoteza kisiasa

    Kuna watu wakishapata madaraka basi wanajiona washakuwa maarufu kiasi cha kuanza dharau na majigambo, kiasi cha kuona wao ndiyo wenye sifa zaidi kuliko wengine kitu ambacho si sikweli ni ulimbukeni tu wa madaraka. Mbaya zaidi wanafikia hatua hata ya kutowaheshimu wale waliowaheshimisha kwa...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania Asingewajibika kwa hiyari, angewajibishwa mapema iwezekanavyo kwa mujibu wa sheria za matumizi mabaya ya ofisi

    Haingewezekana tena kumbakiza ubalozini kama muwakilishi wa Tanzania huko ng'ambo. Pamoja na matumizi mabaya ya ofisi na rasilimali za umma kwa anasa binafsi, kukengeuka na kushindwa kabisa kutekeleza wajibu wake wa kidiplomasia kama Balozi, Polepole alijikita zaidi katika kuhujumu sera na...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mapema hata kabla majina matatu hayajarudi wanaCCM wameonyesha mpasuko mkubwa

    Kauli hizi zimetawala Tanzania nima. Jina la huyu lisiporudi mimi nitakuwa upande wa fulani. Jina la huyu lisiporudi mimi sipigi kura. Jina langu lisiporudi mimi ninazila. Mpasuko mkubwa sana mapemaaa
  6. matunduizi

    JamiiForums Tanzania Mungu anaongea na kutenda mapema kwa njia ya sadaka kuliko maombi makavu

    KWA Mungu SADAKA ni KITU kikubwa kuliko Maombi. Maombi yakichanganywa na sadaka matokeo yake yanakuwa sio ya kawaida. Watu maarufu katika Biblia kabla hawajafanya chochote walitoa sadaka. Mungu hakuwaacha. Hata Yesu alipoingia hekaluni hakukaa chumba cha maombi, alikaa pembeni ya sanduku la...
  7. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide)

    Laptop Yako Inakaribia Kufa – Huu Ndio Mwongozo wa Kuiokoa Mapema (Step-by-Step Maintenance Guide) Watu wengi wanakumbwa na balaa moja: laptop inazima ghafla au kupungua speed kila siku. Na mara nyingi siyo hardware mbovu – ni matunzo duni. Leo nakupa mpango wa msaada wa dharura – step-by-step...
  8. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Safina ya Nuhu imeonekana, basi ni kweli hata Moto wa Milele upo. Tutubu Mapema!

    Wakuu, kweli Mungu anatupenda. Ameona jinsi wanadamu walivyo wabishi na wagumu kuamini, akawatumia wanasayansi wasaidie kuthibitisha habari zilizoandikwa katika Biblia. Ripoti za wanasayansi za kupatikana kwa mabaki ya Safina ya Nuhu ni onyo kwa kizazi chetu. Safina ya Nuhu ilitengenezwa kabla...
  9. Pdidy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hamna supu ya ngamia wa crdb cup huko tujuzeni mapema?

    MH Ali KAMWE TUPE MREJESHO kama kuna supu ya NGAMIA WA CRDB Tena tujiandae mapema NBC mlitupa suprise tukashindwa kuja YANGA Moja daima
  10. Genius Man

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito

    Mlio single muwe mnalala mapema mnafanya network inakuwa nzito.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Huu Hapa Ukweli Mchungu Kuhusu MAFANIKIO Unaopaswa Ku-ufahama Mapema Sana Kabla Hata ya Kufikisha Miaka 25. Wengi Hujutia Sana Kwa Kuchelewa Kuufahama

    Ukweli Mchungu ni Kwamba.... Kila kitu kinachotokea kwenye maisha yako kina mzizi mmoja: NAMBA. Na cha kushangaza zaidi? Namba hazidanganyi. Hazisahau. Hazisamehi. Kipato chako ni namba Matumizi yako ni namba Akaunti yako ya benki ni namba Uwekezaji wako ni namba. Na hata kufeli kwako —...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Kauli na mambo kama haya yaliashiria tangu mapema kabisa viatu vya mama Tanzania havimtoshi sema tulipuuzia

    Watumishi wengi walielewa tofauti kauli ya mama kila alipohutubia alisema. "HILI NALO MKALITIZAME" Hii kauli huko Zanzibar kwa watu wa pwani inamaanisha kwenda kumaliza tatizo! Lakini ukiwa waambia watumishi wa Tanzanja Bara kwamba HILI NALO MKALITIZAME; Kwa vichwa vya watu wa bara halina...
  13. Bata batani

    JamiiForums Tanzania Usipochukua hatua mapema ewe kijana Nilichogundua 40 years kwa mwanaume ni umri wa majuto,fedheha na kejeli

    Kwa kifupi tuu Nina miaka michache nifike 40 mambo mengi nimeyaona wanaume wenzangu wanavyopitia wakati mgumu katika ndo,mahusiano,fursa,ajira, n.k Kiukweli ukiwa kama kijana wa kiume usipojipanga mapema ktk age kuanzia 25 hadi 35 ukifika huu umri tegemea kejeri,fedhea,majuto tena usiombe ufike...
  14. Inside10

    JamiiForums Tanzania Elimu Ya Tanzania Kwa Watoto Wa Primary Na Secondary Schools Hazina Likizo?! Kipindi Hiki Cha Likizo Nawaona Alfajiri Na Mapema Wakiwahi Shuleni..!!

    Kama mada inavyojieleza kipindi hiki cha alfajiri na mapema nakutana na watoto wadogo kwenye usafiri wa umma.. wakiwahi shuleni. Je, Ndio sera mpya ya elimu?!
  15. Fbn

    JamiiForums Tanzania "Kwa Nini Watumishi wa Umma Hulipwa Mafao Makubwa Baada ya Kustaafu Badala ya Kuwezeshwa Mapema?"

    Hali hii ya Tanzania, ambapo mtumishi wa umma analipwa pesa nyingi wakati wa kustaafu badala ya kusaidiwa mapema kununua gari, nyumba, au kufanya uwekezaji akiwa bado anafanya kazi, inazua maswali mengi kuhusu watumishi. Tuanze na maswali ambayo ye mtazamo wa kuchokoza fikra: "Je, Mafao ya...
  16. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Watanzania wenzetu mliopo Israel na Iran, ni vyema mkaondoka katika nchi hizo mapema

    Huyu jamaa alikuwa anatafutwa kuguswa kwa bahati nzuri ameguswa,
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Comments za no reform no election zimeyeyuka mapema mitandaoni

    Zilikuwa siku tatu zenye kuwapa faraja makamanda kuwa kampeni yao sasa inaeleweka baada ya dada wa taifa kulamba deal la kuieneza kampeni yao ya no reform no election. Kiukweli mitandaoni kuliwaka moto kila akaunti ya mtu mashuhuli ilivamiwa na comments, kama unavyojua watanzania wanaweza...
  18. Sigonella Island

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania General wa Israel kaliwa kichwa mapema

    General wa Israel aliyechelewa kuingia kwenye mapango ametafunwa mara moya na makombora ya Iran 🇮🇷🇮🇱 | BREAKING: Highly credible reports confirm the Israeli Navy Commander has been killed in Iran’s precision ballistic missile strike — a seismic blow to Tel Aviv’s military command.
  19. W

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Yote haya ni kwasababu huu ni mwaka wa uchaguzi wa TFF na Yanga wameanza kujipanga mapema kuhakikisha wanachukua uongozi.

    Uchaguzi wa TFF upo karibu, kama sio mwezi wa 8 basi wa 9. Yanga wameanza kujipanga mapema sana kuhakikisha Karia harudii alichokifanya uchaguzi uliopita kwa kuengua wapinzani wake wote na kujipa uongozi. kwa mujibu wa Katiba ya TFF anaweza kuchaguliwa kwa terms mbili, Karia ameshamaliza...
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Chukua hii mapema kabisa ya kuhusu makubaliano ya Siri na ya Kimkakati kati ya Yanga, Simba, TFF na Serikali juu ya Mechi yao

    Ile ya Simba SC kusema / kutangaza kuwa Mechi na Yanga SC ya tarehe 15 Juni Ipo ni Geresha / Zuga tu. Hata hizi Press Conference mbili za juzi za Yanga SC na zenyewe ni Zuga / Geresha tu. Kwakuwa Yanga SC wamegomea Kucheza na Simba SC tarehe 15 Juni, 2025 kama ilivyopangwa na Bodi ya Ligi na...
Back
Top Bottom