Kama Lamine Yamal hawatamwahi mapema sana atapotea

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,329
Reaction score
23,260
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
 
Lamine ana miaka 17 tuu, angalia madogo wa miaka 17 mtaani kwako wapoje. Na yeye sio Messi.

Halafu kwa sababu unajua sana kuhusu mpira na namna ya mtu ku behave ili awe mchezaji mzuri kwanini hatukuoni hata hapo Yanga Princess tu?
 
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Mtoto wa kiume wewe

Hebu Acha kuhangaika na maisha ya watu
 
Yumo
Dogo ana utoto mwingi sana. Kwa umri wake Messi alishaamua kuwa serious. Ila huyu namwona kama asipowahiwa kushauriwa anaweza potea mamoja.

Ana michezo michezo mingi na kuanza kulewa sifa mapema. Anatakiwa aongeze juhudi na kuwekeza kwenye ball. Akianza kutaka ishi kistar umri huu ni ngumu sana kuja fika 25 au 30 akiwa bado ni mali.

Kama yumo humu na uhakika atafanyia kazi haya ninayo sema. Cha msingi tu akubali kujifunza na aache ujuaji huyu dogo. Sijui anatumia ID gani.
Yumo humu nahisi kama sio mwenye id ya Lucha basi ni huyu Betelgeuse
 
Dogo yupo cool tu.

Hana mambo mengi.
Screenshot_20250427-025200_Facebook.jpg
 
Back
Top Bottom