rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 18,016
- 25,640
Nchi za Japan na Ivory Coast zitaishangaza dunia kwenye hii michuano ya kombe la dunia.
Nchi za Japan na Ivory Coast zitaishangaza dunia kwenye hii michuano ya kombe la dunia.
Ni timu nzuri ila makocha wetu ndio tatizo, Pepe alitakiwa aingie mapema. Mchezaji kachoka hadi kushika magoti, wana hazina ya wachezaji webgi wazuri gane walitakiwa wanalize mapema.Hako ka ivory kamechabangwa na mjerumani jana hiyoo😄 bora kaondolewe kabisa abaki morocco na egypt tu wanaweza kutuwakilisha afrika. Hao orange watatuaibisha tu