Hivi kumbe inawezekana watu wakawa ni mapacha lakini wasifanane. Hii nimeona leo, mmoja yupo South America, mwingine yupo Africa. Huyu wa America juzi hapa katoa kibali kwa Wafaransa wanyonye mafuta, huyu huku wa Africa katoa Bandari, Mbuga.
Hii jinsia kweli huu mwaka itatunyoosha. Alafu kama...