Wakuu hivi kweli ni haki?
Katika kila taarifa ninayo kutana nayo au kuisikia kuhusu mapacha walio ungana kutenganishwa ni kweli madaktari huwa wanafanikiwa katika jukumu hilo la kuwatenganisha ila huwa haichukui muda mmoja kati ya mapacha hao hufariki au wote kwa pamoja na ni wachache wanaobahatika kubaki wote wakiwa hai
Soma zaidi:Mapacha walioungana walipwa mshahara wa mtu mmoja
Sasa kama kuwatenganisha mapacha walio ungana itaongeza idadi ya watoto kufariki duniani kwanini watoto walioungana na hawana changamoto yoyote itakayo athiri uhai wao wasitenganishe ila watenganishwe wale walio na changamoto?
Au mnasemaje wakuu