Nitajieni majina ya Kibena ya mapacha??

Nitajieni majina ya Kibena ya mapacha??

Room 28

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2013
Posts
1,075
Reaction score
1,722
Wale wa mkoa wa Njombe,mbeya,Iringa
Nipeni majina ya kibena kwa ajili ya mapacha.

Haya ni baadhi ila si ya mapacha
1.Atupele
2.Atugavie
3.Alatuhiga
4.Alanzawe
5.Amsho
6.Tulazabihwa






NB: msiniletee ya majina ya kizungu wala kiarabu
 
Back
Top Bottom